Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Kifikra na kihulka sifanani na Musiba hata chembe....Huyu ni Musiba wa awamu hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifikra na kihulka sifanani na Musiba hata chembe....Huyu ni Musiba wa awamu hii
Chungu lakini ni dawa,meza utapona.Utopolo mtupu
Ccm ni watu wa hovyo sanaKifikra na kihulka sifanani na Musiba hata chembe....
Kwani demokrasia isiyo ya KIAFRIKA imetoka mbinguni?!!!
Nani kakudanganya kwamba demokrasia inafanana dunia nzima.
Demokrasia ni utamaduni, kila mtu ana wa kwake. Kama unabisha, nenda ulaya halafu sema mini nataka ndoa ya wake wengi, halafu wasikilizie.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna demokrasia ya KiAfrika, Kiarabu, Kichina n.k demokrasia ni moja, hakuna utopolo kama demokrasia isiyo ya Kiafrika.
Hilo ni tatizo sasa.Waeshazoea kuwa hawa ni watoto wangu lazima wale na kuvaa na kusoma vizuri. Hawa wengine hawa naishi nao tu vyovyote itakavyokuwa,bora liende.wale wasile shauri yao, wavae wasivae watajijua wenyewe,wasome wasisome shauri yao hawana haki yoyote na wakidai haki yao watapigwa,watavunjwa miguu pasipo huruma.Wawe wanawake wawe wanaume.Hapo ndipo tulipofika.
Sasa ni either unafuata utamaduni wa demokrasia au hauufuati na Utamaduni wa demokrasia ni uhuru wa vyombo vya habari, tume huru ya uchaguzi, uhuru wa mihimili, uwanja sawa wa ushindani wa vyama, mahakama kuwa mtoaji wa haki kwa mashauri YOTE, bunge kuisimamia serikali.
Kama hufuati haya na mengineyo huna demokrasia bali una aina nyingine ya utawala.
Hilo haliwezekani kuna madudu mengi yamemzungukaKidogo kidogo anatambulika duniani.....
Ninamtabiria makubwa kuwa ndiye atakayekuwa RAIS bora kabisa mwanamke kuwahi kutokea duniani......
SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA aaaamin🙏
Kashawishi Dunia kuwa Mbowe ni gaidi hatari alikimbilia kujificha Kenya na wenzie walikwisha hukumiwa alibakia Mbowe tuu.Kashawishi jambo gani ambalo bila yeye lilikuwa haliwezekani? Hebu tuache kuongea mambo yasiyokuwepo. Kama ana ushawishi kiasi hicho ameshindwa nini kukaa na washindani wake kisiasa ili wajadiliane Juu ya Siasa za kistaarabu na zenye kuchochea maendeleo?
Majukumu yao yanatofautiana vp wakati wote huchunga kondoo zao kwa lengo moja la kumpendeza Mungu! Au mimi ndio sielewi vizuri…D
Tafuta Msamiati mwingine kuelezea hizo Siasa zenu za Africa. Shehe hawezi kujiita Padri wakati hatendi majukumu ya Upadri.
Time will tell the tale.Kashawishi Dunia kuwa Mbowe ni gaidi hatari alikimbilia kujificha Kenya na wenzie walikwisha hukumiwa alibakia Mbowe tuu.
Mother fix Sana yule alikula maharage ya wapi alipokuwa anahojiwa na BBC.
Hawa ni wapuuzi,. Samia ni rais wetu siyo sheha wala nini. Wasijipendekeze kumtumia kama wakatoliki wanavyomdandia Nyerere kutaka kumfanya mtakatifu wakati alisema yeye ni mwanaharamu kwa dini zote kwa vile mama yake alikuwa mke wa tano wa chifu Burito.Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21.
Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia nzima.
Kwa Jarida hili la “The Muslim 500” kumtaja Rais Samia Kama Kiongozi Bora wa Mwanamke wa Mwaka itachochea nafasi ya kukuza uwekezaji hapa nchini pamoja na kuongeza Utalii na kuitangaza Tanzania katika ramani za kimataifa....!!!
View attachment 1979938
Hakuna maendeleo bila kuwa na uhusiano mwema na mataifa mengine....!!!Kuturudisha katika uhusiano MADHUBUTI na jumuiya ya kimataifa ......
Hivi ninyi chawa aka kunguni mnaishi nchi gani??kwaiyo mnaona maisha yanaenda vizuri[emoji1787]
Hakika mkuu wangu 👍Hakuna maendeleo bila kuwa na uhusiano mwema na mataifa mengine....!!!