Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

Hakuna demokrasia ya KiAfrika, Kiarabu, Kichina n.k demokrasia ni moja, hakuna utopolo kama demokrasia isiyo ya Kiafrika.
Kwani demokrasia isiyo ya KIAFRIKA imetoka mbinguni?!!!
 
Sasa ni either unafuata utamaduni wa demokrasia au hauufuati na Utamaduni wa demokrasia ni uhuru wa vyombo vya habari, tume huru ya uchaguzi, uhuru wa mihimili, uwanja sawa wa ushindani wa vyama, mahakama kuwa mtoaji wa haki kwa mashauri YOTE, bunge kuisimamia serikali.
Kama hufuati haya na mengineyo huna demokrasia bali una aina nyingine ya utawala.
Nani kakudanganya kwamba demokrasia inafanana dunia nzima.
Demokrasia ni utamaduni, kila mtu ana wa kwake. Kama unabisha, nenda ulaya halafu sema mini nataka ndoa ya wake wengi, halafu wasikilizie.
 
Waeshazoea kuwa hawa ni watoto wangu lazima wale na kuvaa na kusoma vizuri. Hawa wengine hawa naishi nao tu vyovyote itakavyokuwa,bora liende.wale wasile shauri yao, wavae wasivae watajijua wenyewe,wasome wasisome shauri yao hawana haki yoyote na wakidai haki yao watapigwa,watavunjwa miguu pasipo huruma.Wawe wanawake wawe wanaume.Hapo ndipo tulipofika.
Hilo ni tatizo sasa.
Kwa mfano suala la robo pensheni limekaribia kurudi.Mwaka 2019 kelele za wapinzani ziliwaokoa wastaafu.Sasa ikifika 2022 sijui itakuwaje

FB_IMG_1634677260717.jpg
 
Sasa ni either unafuata utamaduni wa demokrasia au hauufuati na Utamaduni wa demokrasia ni uhuru wa vyombo vya habari, tume huru ya uchaguzi, uhuru wa mihimili, uwanja sawa wa ushindani wa vyama, mahakama kuwa mtoaji wa haki kwa mashauri YOTE, bunge kuisimamia serikali.
Kama hufuati haya na mengineyo huna demokrasia bali una aina nyingine ya utawala.

Bro wangu kwa ufupi tu, kama unatumia knowledge of civics uligofundishwa na mwalimu wako. Bora tusiendelee. Tutapoteana tu muda si mrefu.
Ili ujue misingi ya demokrasia lazima uelewe vizuri kuhusu philosophy and comparative law. Kama hivi vitu huvijui. Bora ukae kimya.
 
Kidogo kidogo anatambulika duniani.....

Ninamtabiria makubwa kuwa ndiye atakayekuwa RAIS bora kabisa mwanamke kuwahi kutokea duniani......

SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA aaaamin🙏
Hilo haliwezekani kuna madudu mengi yamemzunguka
 
Kashawishi jambo gani ambalo bila yeye lilikuwa haliwezekani? Hebu tuache kuongea mambo yasiyokuwepo. Kama ana ushawishi kiasi hicho ameshindwa nini kukaa na washindani wake kisiasa ili wajadiliane Juu ya Siasa za kistaarabu na zenye kuchochea maendeleo?
Kashawishi Dunia kuwa Mbowe ni gaidi hatari alikimbilia kujificha Kenya na wenzie walikwisha hukumiwa alibakia Mbowe tuu.
Mother fix Sana yule alikula maharage ya wapi alipokuwa anahojiwa na BBC.
 
D

Tafuta Msamiati mwingine kuelezea hizo Siasa zenu za Africa. Shehe hawezi kujiita Padri wakati hatendi majukumu ya Upadri.
Majukumu yao yanatofautiana vp wakati wote huchunga kondoo zao kwa lengo moja la kumpendeza Mungu! Au mimi ndio sielewi vizuri…
 
Kashawishi Dunia kuwa Mbowe ni gaidi hatari alikimbilia kujificha Kenya na wenzie walikwisha hukumiwa alibakia Mbowe tuu.
Mother fix Sana yule alikula maharage ya wapi alipokuwa anahojiwa na BBC.
Time will tell the tale.
 
Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21.

Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia nzima.

Kwa Jarida hili la “The Muslim 500” kumtaja Rais Samia Kama Kiongozi Bora wa Mwanamke wa Mwaka itachochea nafasi ya kukuza uwekezaji hapa nchini pamoja na kuongeza Utalii na kuitangaza Tanzania katika ramani za kimataifa....!!!

View attachment 1979938
Hawa ni wapuuzi,. Samia ni rais wetu siyo sheha wala nini. Wasijipendekeze kumtumia kama wakatoliki wanavyomdandia Nyerere kutaka kumfanya mtakatifu wakati alisema yeye ni mwanaharamu kwa dini zote kwa vile mama yake alikuwa mke wa tano wa chifu Burito.
 
Katika awamu ya 5, kuna mwingine aliwahi sema, hotuba fulani ya rais fulani aloitoa bungeni kwao ilisababisha viongozi wa nchi fulani Ulaya, Marekani na Mashariki ya Mbali kufunga shughuli zao na watu kwa mabilioni kuisikiliza - muujiza fulani.

Sasa eti kuna gazeti "The Muslim 500" linalosomwa dunia nzima (hata Tz?!) limesema SSH ni kiongozi bora wa 2021-2021 mwenye ushawishi...nk. yaani, SSH hajamaliza mwaka kazini na mwaka wenyewe haujaisha, tayari gazeti linalosomwa dunia nzima limeshatoka na kuyasema hayo. Na mimi siku zote nlikuwa naamini tathmini hufanyika baada ya kipindi husika kumalizika, yaani ya 21-21 ingefanyika mwakani.

Sasa ikiwa tathmini ya mwaka 2021 inatoka kabla mwaka kwisha, tathmini hiyo ina maana kweli!? Je akitokea mwingine kabla ya Desemba? Au ndo maana halionekani kwetu ingawa linasomwa dunia nzima. Ngoja nlitafte huko Google
 
Hivi ninyi chawa aka kunguni mnaishi nchi gani??kwaiyo mnaona maisha yanaenda vizuri🤣
 
Mpeni muda six months huwezi ukampima mtu.
Gazeti la chama chake linalomjua vizuri limesema hagombei Tena na sijamsikia akikanusha habari ya gazeti la chama chake.
 
Back
Top Bottom