joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Hiyo pesa inayowekwa kwenye clause ya kuuzwa siyo msahafu, inabadilika katika mazungumzo. Timu ikitokea kumtaka mchezaji ndiyo maana wanakaa mezani. Kawaida karibu mara zote huwa haifiki hiyo bei iliyowekwa katika mkataba. Si kila siku hizi timu zinasajili wachezaji na kuweka hiko kipengele cha dola milioni 1, niambie nani wamewahi kumuuza kwa bilioni 2.Hahaha. Kishabiki maneno yako yanafurahisha kweli sababu Yanga si timu ninayoipenda.
Ila tukirudi kwenye Fact,
Nikuulize, Agent wa Mzize yule aliyesaini mkataba uliopita na Yanga ndiye huyu huyu anayetaka Mzize aondoke kwa ofa iliyoletwa mezani ambayo Yanga wanasema mchezaji hana hiyo thamani ni ndogo?
Kama ndiye, inamaana kuna maslahi yake aliyapata kwa Mzize kusaini huo mkataba. Sasa ni kwamba hajui Mzize alisaini mkataba wa thamani gani?
Kuhusu Aziz, mkataba wake sidhani kama unafanana na wa Mzize. Inamaana makubaliano ya vifungu vya mkataba wa Aziz si sawa na vile vya Mzize.
Ok mkuu, kwahiyo kwanza tukubaliane kimkataba kuna uwezekano Yanga wapo sahihi kabla hatujahamia kiubinadamu na kihuruma.Hiyo pesa inayowekwa kwenye clause ya kuuzwa siyo msahafu, inabadilika katika mazungumzo. Timu ikitokea kumtaka mchezaji ndiyo maana wanakaa mezani. Kawaida karibu mara zote huwa haifiki hiyo bei iliyowekwa katika mkataba. Si kila siku hizi timu zinasajili wachezaji na kuweka hiko kipengele cha dola milioni 1, niambie nani wamewahi kumuuza kwa bilioni 2.
Ni sawa na watu wanavyosajili makampuni BRELA, kwenye kiwango cha mtaji ni kama wanafanya copy and paste ila wengi wanakuwa hawana huo mtaji.
Mikataba ya wachezaji ipo hivyo hivyo. Wanaweka tu viwango vya kuvunja mkataba au kumuuza mchezaji bila tathmini ya kweli ya thamani ya mkataba inayoendana na malipo anayopewa mchezaji. Ni mazoea tu na wachezaji kutokuwa na nguvu mbele ya hivi vilabu kwa sababu ya njaa.
Niliposema hayo ya Aziz Ki nilikuwa namaanisha, huwa hata hawafanyi follow up kujua kile walichokuwa wanakipigania ndiyo kilichofanywa na viongozi wao ama la. Ni kama wanaona wanatimiza wajibu wao kutetea chochote ambacho kinaonekana ndiyo msimamo wa klabu.
Siyo huruma au ubinadamu, Yanga kukataa kumuuza Mzize kwa bilioni 1.2 kuna harufu ya kukomoana au uswahili wa kubaniana rizki.Ok mkuu, kwahiyo kwanza tukubaliane kimkataba kuna uwezekano Yanga wapo sahihi kabla hatujahamia kiubinadamu na kihuruma.
Sasa huko kukomoana kupo kimkataba au la? Yaani Yanga wanamkomoa nje ya makubaliano ya mkataba?Siyo huruma au ubinadamu, Yanga kukataa kumuuza Mzize kwa bilioni 1.2 kuna harufu ya kukomoana au uswahili wa kubaniana rizki.
Japo unasema vile vifungu si msaafu lakini ndo rejea pekee inayotumika panapotokea mgogoro hivyo ni jukumu la wakala kuhakikisha mchezaji habanwi sana na vifungu. Sasa kama wewe uliyeusimamia mkataba usainiwe na ukapata na ka% kako ndo unalia tena kuwa mchezaji anaonewa na husemi kama mkataba umekiukwa moja kwa moja unaonekana unajanja janja.Mzize huyu huyu angeuzwa fasta kama ama angekuwa mchezaji wa kigeni au kama shida ni wakala wake, akiamua kumbadilisha. Hapo ndiyo utajua suala la vipengele sijui vya dola milioni 1 wala siyo ishu.
Ukitaka kujua hiyo siyo sababu kuu, angalia mambo mangapi wanayazusha katika hoja zao. Mara wakala hatambuliki, mara wanalinda maslahi ya mchezaji ili anapokwenda asikose nafasi ya kucheza, mara wao ndiyo wamemuibua toka mitaani, mara kina Bangala. Wakati huo huo wanasema huyu wakala anamuharibia Mzize, jiulize kivipi? Wanasema Yanga iache kufanya naye kazi, sasa kumuacha Mzize si ndiyo njia ya kuachana na huyo wakala?
Ni kukomoana kwa sababu kama nilivyosema mchezaji mwenye quality hii hii ya Mzize wangemuuza kama hayo mambo mawili niliyotaja yasingekuwepo. Kiwango cha mauzo kilichopo kwenye mkataba siyo sababu kwa sababu kama nilivyosema hiko kiwango huwa kinazungumzika na isingekuwa unaoonekana ni msimamo wa viongozi wa Yanga wengi wangesema hiko ni kiwango kizuri sana kwa mchezaji kama Mzize.Sasa huko kukomoana kupo kimkataba au la? Yaani Yanga wanamkomoa nje ya makubaliano ya mkataba?
Japo unasema vile vifungu si msaafu lakini ndo rejea pekee inayotumika panapotokea mgogoro hivyo ni jukumu la wakala kuhakikisha mchezaji habanwi sana na vifungu. Sasa kama wewe uliyeusimamia mkataba usainiwe na ukapata na ka% kako ndo unalia tena kuwa mchezaji anaonewa na husemi kama mkataba umekiukwa moja kwa moja unaonekana unajanja janja.
Wewe una akili sana nyingi sana unaelewa tunachomaanisha kabisa bravo sanaMkuu, Mzize binafsi ntamtetea nikisikia mkataba wake unamruhusu aondoke halafu Yanga hawataki. Ila mpaka sasa mazingira yaliyopo ni Agent kukata viuno bila fact.
Agent aseme kwanini Yanga wamuuze Mzize kwa bei hiyo, na asiseme sababu za huruma huruma, aseme sababu za kimkataba maana akisema za huruma huruma atakuwa mnafiki, unless sio yeye alimsimamia wakati anasaini mkataba.
Mkuu kwa heshima yako naomba uishie hapa huyo mwenzio sijui ana uelewa gani? Mbishi kweli kweli yaaniSasa huko kukomoana kupo kimkataba au la? Yaani Yanga wanamkomoa nje ya makubaliano ya mkataba?
Japo unasema vile vifungu si msaafu lakini ndo rejea pekee inayotumika panapotokea mgogoro hivyo ni jukumu la wakala kuhakikisha mchezaji habanwi sana na vifungu. Sasa kama wewe uliyeusimamia mkataba usainiwe na ukapata na ka% kako ndo unalia tena kuwa mchezaji anaonewa na husemi kama mkataba umekiukwa moja kwa moja unaonekana unajanja janja.
Ila we jamaa utakuwa muha wewe sio bureNi kukomoana kwa sababu kama nilivyosema mchezaji mwenye quality hii hii ya Mzize wangemuuza kama hayo mambo mawili niliyotaja yasingekuwepo. Kiwango cha mauzo kilichopo kwenye mkataba siyo sababu kwa sababu kama nilivyosema hiko kiwango huwa kinazungumzika na isingekuwa unaoonekana ni msimamo wa viongozi wa Yanga wengi wangesema hiko ni kiwango kizuri sana kwa mchezaji kama Mzize.
Hili wimbi la sasa ni la kufuata upepo tu na kutimiza wanaodhani ni wajibu wao. Ukitaka kujua hilo, rudi kasome comments za hawa hawa Yanga wakati hizi fununu zilipoanza. Wengi waliunga mkono wakawa wanasema Yanga ifanye biashara. Wamekuja kubadilika baada ya kuona viongozi wao wametia ngumu.
Mkuu, bado hujajibu lakini iwapo huko kukomoa kupo kimkataba au la.Ni kukomoana kwa sababu kama nilivyosema mchezaji mwenye quality hii hii ya Mzize wangemuuza kama hayo mambo mawili niliyotaja yasingekuwepo. Kiwango cha mauzo kilichopo kwenye mkataba siyo sababu kwa sababu kama nilivyosema hiko kiwango huwa kinazungumzika na isingekuwa unaoonekana ni msimamo wa viongozi wa Yanga wengi wangesema hiko ni kiwango kizuri sana kwa mchezaji kama Mzize.
Hili wimbi la sasa ni la kufuata upepo tu na kutimiza wanaodhani ni wajibu wao. Ukitaka kujua hilo, rudi kasome comments za hawa hawa Yanga wakati hizi fununu zilipoanza. Wengi waliunga mkono wakawa wanasema Yanga ifanye biashara. Wamekuja kubadilika baada ya kuona viongozi wao wametia ngumu.
🤣🤣🤣dah una maswali makali sana mzee huyu hajibu hili atakwepa tuSasa huko kukomoana kupo kimkataba au la? Yaani Yanga wanamkomoa nje ya makubaliano ya mkataba?
Hahaha, itakuwa anachangamsha kijiwe tu sio kwamba kweli haelewi. Si unajua ubishi wetu wa utani wa jadi tukiamua hatukosi majibu.Mkuu kwa heshima yako naomba uishie hapa huyo mwenzio sijui ana uelewa gani? Mbishi kweli kweli yaani
Hahaha, Sijawahi sifiwa na mwana Yanga mkuu. Hii itaingia kwenye kumbukumbu.Wewe una akili sana nyingi sana unaelewa tunachomaanisha kabisa bravo sana
Natumia neno kukomoa kwa sababu mazingira ya yanayoendelea yanaonyesha hivyo. Mzize siyo mchezaji wa kukataa kumuuza kwa bilioni 1.2 bwana.Mkuu, bado hujajibu lakini iwapo huko kukomoa kupo kimkataba au la.
Mfano, umesaini mkataba na mimi kuwa Simba ikishinda utaweka hadharani majina yako ma3 na picha yako na kulipa kila mwanaJF elfu moja, na mimi nikasema Simba ikifungwa ntakupa elfu kumi. Ni dk ya 70, Simba inaelekea kufungwa. Ukija kwangu ukasema unataka unipe elfu kumi tuvunje mkataba kiubinadamu ni suala linalozungumzika na naweza kukubali, ila nikisema hapana ili nikukomoe, mkataba unakufunga na mimi nakuwa sijakukomoa nje ya mkataba maana tulikubaliana kwa maandishi.
Ndo maana nakuuliza, huko kumkomoa Mzize kupo kimkataba au la?
Tatizo lenu ndiyo hilo. Mkipingwa, mnadhani ni kwa sababu ya Usimba na Uyanga. Mimi nikiona upuuzi unafanyika siunyamazii. Simba wenyewe nimewakosoa mara ngapi na hata sasa nimejipa likizo ya kutoishabikia.Ila we jamaa utakuwa muha wewe sio bure
Hadi huyo Tsh Namfahamu ni simba kindakindaki kabisa lakini hajitoi ufahamu kama wewe elewa tunachomaanisha anakuelewesha ilivyo haegemei popote kama wewe unataka auzwe hivi hivi tu mkataba aliosaini buy clause yake ikoje??
Sio swala kuuza tu basi bali mkataba ukoje?? Kama wanaweza wanaweza ununua mkataba basi kama DUBE pale azam shida nini? Hakuna mkataba usiovunjika ila tu vipengele vyake ukiufuata
Hata kama anachangamsha lakini sio namna hii tangu muda sana anaongea vitu havieleweki hata maswali uliyomuuliza hajajibu anakwepa kwepa yaani ilimradi aonekane na yeye yupo tuHahaha, itakuwa anachangamsha kijiwe tu sio kwamba kweli haelewi. Si unajua ubishi wetu wa utani wa jadi tukiamua hatukosi majibu.
Mpira sio vita wala nini lakini leo Umenyooka sana kuna sehemu umenikosoa na mimi wala sikukataa nikakubali ila huyu mwamba sasa 🤣Hahaha, Sijawahi sifiwa na mwana Yanga mkuu. Hii itaingia kwenye kumbukumbu.
Sio huyo tu watu wangapi wamskurekebisha hapa lakini bado unakaza fuvu??? Hebu sema mwenyewe naona tukupe kombe sasa baki naloTatizo lenu ndiyo hilo. Mkipingwa, mnadhani ni kwa sababu ya Usimba na Uyanga. Mimi nikiona upuuzi unafanyika siunyamazii. Simba wenyewe nimewakosoa mara ngapi na hata sasa nimejipa likizo ya kutoishabikia.
Yaani umeungwa mkono na mwanasimba, ushajiona umeshinda jackpot.