mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
AONDOKE tumtupie majini
Atarogwa.Wamuachie akatafute malisho sehemu nyingine kwa maslahi yake, wasimng'ang'anie
Ila utopolo mnapenda sana uchawiYule Mama ni lunatic,anadhani anavyoweza mpangia mumewe nyumbani kwake ndivyo hivyo hivyo anaweza kuipangia Yanga
View: https://youtu.be/mNMFdBqeFhE?si=Y7yJ2hkwsjy6Rqgx
Usisikilize maneno ya vijiweni. Msikilize wakala mwenyewe anachosema.
Yaani tukusikilize wewe uliyeko Mpitimbi huko ndani ndani, tuache kumsikiliza muhusika mwenyewe? Unajipa umuhimu ambao hauna.Yaani tumsikilize huyo huyo tapeli wakala anayekata viuno tu bila facts??
Hakuna mwenye muda wa kuskiliza hizo porpjo za kijana anafamilia inamtegemea
Porojo nyingi, yanga ndio anaamua kumuuza au kutokumuuza. Kama anataka maslah ya mchezaji bila kuangalia klabu avunje yeye mkata ampeleke!. Acheni polojo na utchoko.Unataka rank gani? Nyie si ndiyo kila siku mnasema rank hazina maana yoyote?
Maslahi ya mchezaji ni mshahara na ni wazi huko Al Masry anaenda kulipwa zaidi ya mara mbili ya mshahara wake mnaomlipa hapo. na dalili zinaonyesha kuna miezi hamumlipi maana tayari mnaonyesha huyo ni kama mtumwa wenu.
Sheria za FIFA zipo kumlinda mchezaji ikiwemo masuala ya kulinda kiwango chake, manyanyaso na terms za mkataba. Hakuna timu inayogoma kumuuza mchezaji eti kisa ina wasiwasi anaweza kwenda kukalia benchi. Hivi unadhani unaongea na watu wa aina gani kwa hoja hizo?
Ana uhusika gani mhimu?, yaani yeye ndio awapangie yanga pesa ya kumuuza mchezaji aliye mali yao?. Bata kabisa wewe.Yaani tukusikilize wewe uliyeko Mpitimbi huko ndani ndani, tuache kumsikiliza muhusika mwenyewe? Unajipa umuhimu ambao hauna.
Wakala wa mchezaji wa Yanga SC Clement Mzize, Bi Jasmine Razaq amesema klabu ya Yanga ina roho mbaya kumzuia mteja wake kujiunga na klabu ya Al Masry ya Misri ambayo imetuma ofa ya dola 700,000 (Bilioni 1.8) kuhitaji huduma yake.
Yanga wanataka dola milioni 1 sawa na tsh Bilioni 2.6 ili kumuuza mshambuliaji huyo kwenda Al Masry.
"Yanga wanaroho mbaya miaka miwili iliyopita walikuwa wanamlipa milioni 2 kwa mwezi, sasa wanamlipa milioni 15, wamuache aende anategemewa na familia yake" Amesema Jasmine Razaq wakala wa Clement Mzize.
#halisimax #halisinewsflash
Kwani yeye Mzize anasarmaje,?Wakala wa mchezaji wa Yanga SC Clement Mzize, Bi Jasmine Razaq amesema klabu ya Yanga ina roho mbaya kumzuia mteja wake kujiunga na klabu ya Al Masry ya Misri ambayo imetuma ofa ya dola 700,000 (Bilioni 1.8) kuhitaji huduma yake.
Yanga wanataka dola milioni 1 sawa na tsh Bilioni 2.6 ili kumuuza mshambuliaji huyo kwenda Al Masry.
"Yanga wanaroho mbaya miaka miwili iliyopita walikuwa wanamlipa milioni 2 kwa mwezi, sasa wanamlipa milioni 15, wamuache aende anategemewa na familia yake" Amesema Jasmine Razaq wakala wa Clement Mzize.
#halisimax #halisinewsflash
Nyingi kwakooooAtulie acheze mpira asiwe na tamaa. Milion 15 kwa mwezi ni nyingi sana.
Nyingi kwakoooo
Achana na huyo dalali atakusumbua sana, anajifanya anamjua sana Mzize kuliko Mshindo Msola alitemuokota iringa huko wakati anacheza ndondo tu na ufundi ujenziWakala wa mchezaji wa Yanga SC Clement Mzize, Bi Jasmine Razaq amesema klabu ya Yanga ina roho mbaya kumzuia mteja wake kujiunga na klabu ya Al Masry ya Misri ambayo imetuma ofa ya dola 700,000 (Bilioni 1.8) kuhitaji huduma yake.
Yanga wanataka dola milioni 1 sawa na tsh Bilioni 2.6 ili kumuuza mshambuliaji huyo kwenda Al Masry.
"Yanga wanaroho mbaya miaka miwili iliyopita walikuwa wanamlipa milioni 2 kwa mwezi, sasa wanamlipa milioni 15, wamuache aende anategemewa na familia yake" Amesema Jasmine Razaq wakala wa Clement Mzize.
#halisimax #halisinewsflash
Laana gani? Mimi nina mchezaji wangu halafu wewe unanipangia bei ebo!Wakala wa mchezaji wa Yanga SC Clement Mzize, Bi Jasmine Razaq amesema klabu ya Yanga ina roho mbaya kumzuia mteja wake kujiunga na klabu ya Al Masry ya Misri ambayo imetuma ofa ya dola 700,000 (Bilioni 1.8) kuhitaji huduma yake.
Yanga wanataka dola milioni 1 sawa na tsh Bilioni 2.6 ili kumuuza mshambuliaji huyo kwenda Al Masry.
"Yanga wanaroho mbaya miaka miwili iliyopita walikuwa wanamlipa milioni 2 kwa mwezi, sasa wanamlipa milioni 15, wamuache aende anategemewa na familia yake" Amesema Jasmine Razaq wakala wa Clement Mzize.
#halisimax #halisinewsflash
Huyo mwanamke akaimbe mipasho,biashara ni kukubaliana bei siyo mambo ya roho mbaya.Halafu nyie si mnao wachesaji? Chukua fursa hiyo uza wa kwako.Yanga wanataka thamani halisi ya mchezaiiWakala wa mchezaji wa Yanga SC Clement Mzize, Bi Jasmine Razaq amesema klabu ya Yanga ina roho mbaya kumzuia mteja wake kujiunga na klabu ya Al Masry ya Misri ambayo imetuma ofa ya dola 700,000 (Bilioni 1.8) kuhitaji huduma yake.
Yanga wanataka dola milioni 1 sawa na tsh Bilioni 2.6 ili kumuuza mshambuliaji huyo kwenda Al Masry.
"Yanga wanaroho mbaya miaka miwili iliyopita walikuwa wanamlipa milioni 2 kwa mwezi, sasa wanamlipa milioni 15, wamuache aende anategemewa na familia yake" Amesema Jasmine Razaq wakala wa Clement Mzize.
#halisimax #halisinewsflash
huo ni uongo bro,yanga wamepata dili la qatar na wamelikubali hilo dili na wakatoa ruhusa waongee na mchezaji,huyo mama kwa njama zake kakataa hilo dili kwasababu hapati 10%Mzize kapewa mshahara wa 70m,huyo mama analazimisha apewe milioni 150 kwa mwezi.Asilete uongo huyo mamaWakala wa mchezaji wa Yanga SC Clement Mzize, Bi Jasmine Razaq amesema klabu ya Yanga ina roho mbaya kumzuia mteja wake kujiunga na klabu ya Al Masry ya Misri ambayo imetuma ofa ya dola 700,000 (Bilioni 1.8) kuhitaji huduma yake.