Alikuwa analipwa million 2 katika wakati Ambao Hana quality Yanga ika m- shape na kumfanya awe na quality na baada ya hapo wakaanza kumlipa ml15 so tatizo liko wapi hapo !? Mlitaka alipwe mshahara mkubwa wakati misimu miwili iliyopita hakuwa matured enough wakulipwa pesa hizo na Kuinufaisha team as individual player Angalau kwasasa kile anacho kioffer kinaonekanaJamani mwee milioni 2 halafu wa nje wanatetemekewa..
Hapa lile shangingi lao sijui laban wala hulioniFROGS FC WANA roho mbaya sana MAMMBWA Hawa...Hawa jamaa kama ni kuwawekea sumu ningewawekea wafe wote uongozi wote na wote wanaosapoti kijana huyu kunyanyaswa hivi
You said that truthHuyu wakala Yanga lazima wakatae kufanya nae kazi watamfanyia zengwe mpaka basi,, ila pia maneno ya wakala hayajakaa poa sip profeshino na ni mbaya kwa carrier ya mchezaji.
Al masry ni klabu ndogo sasa anaenda kufanyaje hapo?
Yanga wameamua kumfungia vioo. Lakini swali la Msingi pia linabaki, BIBIE NI WAKALA WA WAPI? MBONA HATAMBULIKI NA FIFA? maana FIFA wanasheria ya kuwatahini na kuwapa Vyeti tambuzi mawakala wote kabla ya kufanya kazi!
Huku klabu moja kutoka uarabuni Kuwait imetuma ofa ya 900000 dollar na yanga wanataka kumuuza mzize Qatar kwa maslahi mapana ya mzize mwenyewe na yanga mwenyewe!
Its Pancho
Wewe unalalamika utadhani Yanga ni genge la bibi yako. Yaani eti Al Masry timu ndogo. Al Masry ni timu kongwe kuliko Yanga na ina budget kubwa kuliko hako katimu kako ka kihuni.Na sasa anataka kumpeleka mzize popote apate hela yoyote ile sasa yanga na al masry wapi kuna future zaidi ya mzize mwenyewe kucheza?
For sureHicho kimwanamke kinalazimisha biashara ili kipate 10%! Sijui hao Al Masry wamemuahidi kumlipa dola ngapi iwapo atafanikisha hilo dili la kumuuza Mzize kwa bei anayotaka yeye!
Halafu kuongea mambo ambayo hayana ushahidi, ni dalili ya mtu mwenye gubu.
😂😂😂 You can't be seriousHata hio 15 ni ndogo sana sema basi tu at least hamna hamna angekunja hata 40 hivi au 50 /Mwezi angalau angalau kidogo
Unajitia aibu haujui tu. Eti Kuwaiti ndiyo bora kwa Mzize kuliko ligi ya Misri? Kwanza hakuna dili la Kuwaiti wala la Qatar lililopelekwa kwa Wakala wa Mzize. Na pia wakala wa mchezaji anaangalia maslahi ya mchezaji kuanzia mshahara na marupurupu mengine. Siyo jukumu la klabu eti kuangalia maslahi ya mchezaji huko atakapouzwa, kadanganye wajinga wenzio.Hapana Mzize hana mambo hayo na anafurahia sana kucheza soka lake.
Huyu mama ndiyo kichomi hapo anapiga hesabu ndefu za kuingiza pesa yake bila kujali mchezaji wake anakokwenda kuna future yoyote kwa carrier yake ya soka?
Au ndiyo msimu mmoja kisha arudi bongo?
Huyu sio wakala ni muharibifu tu bongo wakala ni mmoja tu anayetambuliwa na FIFA sio hawa madalali
Hapo ataanza kumjaza mchezaji sumu mpaka basi
Kwahiyo unataka niseme uongo?Wewe unalalamika utadhani Yanga ni genge la bibi yako. Yaani eti Al Masry timu ndogo. Al Masry ni timu kongwe kuliko Yanga na ina budget kubwa kuliko hako katimu kako ka kihuni.
Unarukaruka kama maharage ya Mbeya. Mara sijui hatambuliki FIFA, mara kuna timu ya Kuwait. Yaaani unajaribu kushika lolote ili uonekane una hoja kumbe upuuzi mtupu.
Ni Qatar nimerekebisha muda sana naona unakaza fuvu sana kijana sijui una shida gani hasa?Unajitia aibu haujui tu. Eti Kuwaiti ndiyo bora kwa Mzize kuliko ligi ya Misri? Kwanza hakuna dili la Kuwaiti wala la Qatar lililopelekwa kwa Wakala wa Mzize. Na pia wakala wa mchezaji anaangalia maslahi ya mchezaji kuanzia mshahara na marupurupu mengine. Siyo jukumu la klabu eti kuangalia maslahi ya mchezaji huko atakapouzwa, kadanganye wajinga wenzio.
Nyie ndiyo mpaka leo mnaamini na kuaminisha watu kuna wadhamini wa vilabu, eti mtu anatoa mabilioni ya pesa zake kwa mapenzi yake tu.
Duh kumbe ni pisi ya kwenda.Jasmine ni tapeli ambaye uwadaka wachezaji juu kwa juu
Unaknyesha namna ulivyo mfupi kichwani Nanaimo amesema kuwa jukumu la klabu ndio hilo???Kwanza hakuna dili la Kuwaiti wala la Qatar lililopelekwa kwa Wakala wa Mzize. Na pia wakala wa mchezaji anaangalia maslahi ya mchezaji kuanzia mshahara na marupurupu mengine. Siyo jukumu la klabu eti kuangalia maslahi ya mchezaji huko atakapouzwa, kadanganye wajinga wenzio.
Unataka rank gani? Nyie si ndiyo kila siku mnasema rank hazina maana yoyote?Kwahiyo unataka niseme uongo?
Nimesema ukweli kwa kupinga hoja zake zote Jasmine alizosema na kunyoosha ukweli unataka ukweli gani???
Unabisha na wewe kama nani???
Al masry kwenye rank ipo nafasi ya ngapi? Hebu tuone kwanza, sisi tunaongelea future kiujumla ya mchezaji ikiwemo nafasi ya kucheza sasa wewe unaleta porojo tu onyesha unachojua sasa!
Zaidi ni kuwa mchezaji hauzwi hovyo kama nyanya mnavyotaka al masry waongeze ofa yanga wanayotaka ya dola 900,000 mpaka 1,000,000.
Hutaki andamana
Upo sawa mkuu ila kuna watu kama huyu mwamba hapo juu anadai klabu haina mamlaka ya kupanga bei ya kuuza mchezaji ni wakala ndio anapanga! Unamshauri vipi huyo PASADENANdio shida ya ma- feminist sijui wakoje wanapenda sana ku- seek attention na sympathy
Swali la kujiuliza inakuwaje Kila mwaka ni yeye tu ndiye anaye ingia ktk conflict na Yanga .
Beside that kuhusu Ile issue ya Fei toto ni huruma tu iltumika baada ya SSH kuitaka Yanga imuachie Fei toto lakini Yanga walikuwa wapo sahihi mikataba inapaswa kuzingatiwa vyema na kufuatwa
Haimmliki ila ni waajiri wake kisheria na wana mkataba naye hivyo wana haki kumuuza na kujua anaenda wapi!Mchezaji siyo mtumwa. Yanga haimmiliki mchezaji yoyote, imewaajiri tu.
😂😂 Yaani ununue bidhaa sokoni uisafirishe Toka Moro kuipeleka dar ulipe wabebaji wa hiyo bidhaa na ulipie Usafiri wa kusafirisha hiyo bidhaa ulipie Eneo la kuhifadhi hiyo bidhaaUpo sawa mkuu ila kuna watu kama huyu mwamba hapo juu anadai klabu haina mamlaka ya kupanga bei ya kuuza mchezaji ni wakala ndio anapanga! Unamshauri vipi huyo PASADENA
Hebu mshauri kidogo na mpe elimu sahihi inakuwaje mchezaji mwenye mkataba klabu inamuuza?? Wanazingatia nini hasa?
Sasa nimeshajua tayari upande uliopona dalili zinaonyesha kuna miezi hamumlipi maana tayari mnaonyesha huyo ni kama mtumwa wenu.
Unapuyanga tu hauna lolote la maana unalosemaNi Qatar nimerekebisha muda sana naona unakaza fuvu sana kijana sijui una shida gani hasa?
Yote hayo hujayaona ila umekazia hili kweli naona kabisa una akili fupi sana sana
Hapa ni ukweli tu kama umezoea uongo nenda kauchukue huko mimi na wewe nani anajitia aibu??
Hebu nitokee hapa sina muda wa kumskilizia poyoyo