Je, dini inaweza kukupeleka kwa Mungu?

Je, dini inaweza kukupeleka kwa Mungu?

Sasa wewe hutaki imani hutaki na Sayansi. Unaamini wewe unayoyawaza yapo sahihi.

Sasa hiyo universe uliijulia wapi kama hukuambiwa kuna universe?
Nilikwambia kwamba kila kitu ni universe.

Kila kitu kilichopo nikiwemo mimi na wewe tumezaliwa na tupo ndani ya Universe.

Wala huhitaji kuambiwa, you just observe and you see.
Ninavyojua wewe huna vifaa vya kuchunguza universe. Uwezo wa macho yako upo limitedi.
Narudia tena kukwambia,

Universe is everything. It includes all space, all the matter and energy that space contains, it includes time and it even includes me and you.

Kuichunguza universe ni kujichunguza pia wewe, Maana hata mimi na wewe ni part ya Universe hiyohiyo.
Kama sayansi hutaki na Imani nayo huitaki Sitaki kukuita jina baya.

Nenda shule kijana ukasome ujifunze. Usiubanie ubongo wako kujifunza.
Tatizo lako una amini kwamba sayansi na imani ndio zina majibu ya kweli ya kila kitu ambacho hujui.

Unashindwa kujua kwamba, Hata hizo Sayansi na imani ni Mawazo tu ya wanadamu kama wewe waliojaribu kuwaza kama wewe unavyowaza leo hii.

Wakaweka mawazo yao kwenye vitabu ambavyo wewe ndio unatakiwa kuvichunguza na kupima, Je hayo mawazo yao yana ukweli kiasi gani na uongo kiasi gani?

Sasa wewe kwa vile wanasayansi waliandika Bing-Bang ndio chanzo cha universe, Unachukua unakariri na kumeza hivyo hivyo bila kuchunguza ukweli wake na uthibitisho.

Wala hujiulizi hiyo Big bang ni kweli au uongo?

Kwa vile Bible imeandika, Mungu ndio chanzo cha ulimwengu, unachukua unakariri na kumeza hivyo hivyo bila kuchunguza na kupima kubaini ukweli wa mafundisho hayo.

Kwa vile Quran iliandikwa, Allah ndio chanzo cha ulimwengu, unameza hivyo hivyo bila kuchunguza ukweli wake na uthibitisho.

Hata huko shuleni mmefunzwa ujinga kukariri vitu bila kuhoji.

Kwa vile Aristotle alisema na wewe unachukua hivyo hivyo mkichwa mkichwa bila kuhoji na kuchunguza.

Imani na Sayansi zipo hapa kutusaidia kujua how the world operates.
The issue is,

Kama kila kitu kilichopo kitahitaji chanzo chake, Hata chanzo cha kila kitu, kitahitajika kuwa na chanzo chake.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo chanzo, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe pasipo chanzo.

Na kama si kila kitu kilichopo kinahitaji chanzo, Hata Universe haihitaji chanzo.

Huhitaji imani wala sayansi kuelewa nilichokwambia.
 
Saa 9 HII Wewe kunja Goti umuombe MUNGU Muda huu wanasema mbingu zinakua zimefunguka ukiomba chochote Muda huu unatapa,

Ps: Muda huu ndio Muda ambao hata Wezi wakiiba huku wanamuomba Mungu hawakamatwi Muda huu walinzi wamelala wamechoka kukaa Macho
 
Nilikwambia kwamba kila kitu ni universe.

Kila kitu kilichopo nikiwemo mimi na wewe tumezaliwa na tupo ndani ya Universe.

Wala huhitaji kuambiwa, you just observe and you see.

Narudia tena kukwambia,

Universe is everything. It includes all space, all the matter and energy that space contains, it includes time and it even includes me and you.

Kuichunguza universe ni kujichunguza pia wewe, Maana hata mimi na wewe ni part ya Universe hiyohiyo.

Tatizo lako una amini kwamba sayansi na imani ndio zina majibu ya kweli ya kila kitu ambacho hujui.

Unashindwa kujua kwamba, Hata hizo Sayansi na imani ni Mawazo tu ya wanadamu kama wewe waliojaribu kuwaza kama wewe unavyowaza leo hii.

Wakaweka mawazo yao kwenye vitabu ambavyo wewe ndio unatakiwa kuvichunguza na kupima, Je hayo mawazo yao yana ukweli kiasi gani na uongo kiasi gani?

Sasa wewe kwa vile wanasayansi waliandika Bing-Bang ndio chanzo cha universe, Unachukua unakariri na kumeza hivyo hivyo bila kuchunguza ukweli wake na uthibitisho.

Wala hujiulizi hiyo Big bang ni kweli au uongo?

Kwa vile Bible imeandika, Mungu ndio chanzo cha ulimwengu, unachukua unakariri na kumeza hivyo hivyo bila kuchunguza na kupima kubaini ukweli wa mafundisho hayo.

Kwa vile Quran iliandikwa, Allah ndio chanzo cha ulimwengu, unameza hivyo hivyo bila kuchunguza ukweli wake na uthibitisho.

Hata huko shuleni mmefunzwa ujinga kukariri vitu bila kuhoji.

Kwa vile Aristotle alisema na wewe unachukua hivyo hivyo mkichwa mkichwa bila kuhoji na kuchunguza.

The issue is,

Kama kila kitu kilichopo kitahitaji chanzo chake, Hata chanzo cha kila kitu, kitahitajika kuwa na chanzo chake.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo chanzo, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe pasipo chanzo.

Na kama si kila kitu kilichopo kinahitaji chanzo, Hata Universe haihitaji chanzo.

Huhitaji imani wala sayansi kuelewa nilichokwambia.
Mzee unaandika maneno meeengi but pointless.
Issue ya kila kitu kuwa na chanzo unaleta wewe mwenyewe. Sijawahi kuiongelea na sitakuja Kuiongelea.

Wewe umesema unaamini Katika universe. Nikakueleza idea ya universe imekuja kutokana na somo la cosmology.

Aristotle na wengine walikuwa champion wa Physics. Walufanya researhes. But wakaja kugundua there is not only physical things which make world to existence, ndio tukaja na Metaphysics maana yake beyond physics

Wewe umefanya research ipi. Publication yako iko wapi. Ukitaka kila mtu anachowaza kiwe kweli itakuwa dunia ya ovyo ovyo. Wewe leta proof zako hapa tuzione. Siyo maneno yako haya ya Kijima

Watu wamefanya researches kwa kutumia vifaa.

Wewe unakuja na imani zako za kijima na utuambie unaamini katika universe!!! 😀 😀 😀 Tofauti yako ni ipi sasa ya wewe na wazee waliokuwa wanaabudu kwenye mibuyu?

Kwa mujibu wa cosmology, Universe has the beginning

Wewe upo na proof ipi kuwa universe has no beginning?

Remember universe is not everything
 
Kama unasema universe is not everything,

Sina muda wa kubishana na wewe maana hata huelewi unavyo viongea.

Unataka mabishano yasiyo na tija.

Lets end here.

Kajifunze kwanza universe ni nini.
 
Tatizo lako unadhani mimi nabishana na wewe. Mimi hapa nakuelimisha.

Unaposikia neno universe wewe unajua ni nini? Huenda hujui ni kitu gani unakitetea. Unajiandikia tu. 😀 😀 😀

Level yako ya uelewa ni ndogo mno.

Idea ya universe imetokana na Cosmology
Universe has Beginning. Nenda kasome kuhusu Singularity halafu uje tena. Inakubidi uende shule miaka 10 ndio uweze kujadiliana na mimi.

Nilikuuliza unajua Universe ni nini? Ukaanza kutapatapa tu.

Universe imeelezwa vizuri sana kwenye cosmology nenda kasome ujifunze. Nenda kasome big bang theory.

Wewe unakuja na Imani zako za kuabudu Universe ambayo huijui, upo tofauti gani sasa na Mkristo, Muislam, Muyahudi ambao wanaabudu Mungu ambaye hawajawahi kumuona?

Dig deep down wewe ni kilaza fulani tu
 
Una elimisha upumbavu hujui hata universe ni nini.

Unasema universe is not everything.

Damn fool.
 
Mzee wewe ongea trash words but the truth is, wewe hujui chochote.

Wewe unajua basic things tu 😀 😀 hujui hata universe ni nini.

Kwakuwa discussion imekuwa nzito kwako unatafuta exit point. 😀 😀 Nina elewa unaona aibu kujiona kuwa kumbe wewe ni mpumbavu nambari moja.

Unapotaka kuongelea Universe kwa matamanio yako tu, huo ni wendawazimu.

Watu wameunda telescopes wanaona mbali. Halafu jamaa fulani tu kutoka Nangurukuru aje kutuletea mawazo ya kipumbavu, eti universe is everything. Ujinga kabisa.

Kuanzia leo nenda kajifunze kuhusu Universe ukishaelewa uje hapa tujadiliane.

Also you have to be honesty, nimekupatia elimu ya bure. Nishukuru
 
Nenda kalete andiko linalosema au research inayosema,
Universe is not everything.

Kisha tuje tuendelee na mada.

Maana naona nabishana na kichwa maji tabularasa asiyejua hata universe ni nini.

Kama huwezi kuja na hilo andiko linalosema "Universe is not everything"

Then, Find someone of your league to parallel your mediocrity.
 
Mzee wewe ongea trash words but the truth is, wewe hujui chochote.

Wewe unajua basic things tu 😀 😀 hujui hata universe ni nini.

Kwakuwa discussion imekuwa nzito kwako unatafuta exit point. 😀 😀 Nina elewa unaona aibu kujiona kuwa kumbe wewe ni mpumbavu nambari moja.

Unapotaka kuongelea Universe kwa matamanio yako tu, huo ni wendawazimu.

Watu wameunda telescopes wanaona mbali. Halafu jamaa fulani tu kutoka Nangurukuru aje kutuletea mawazo ya kipumbavu, eti universe is everything. Ujinga kabisa.

Kuanzia leo nenda kajifunze kuhusu Universe ukishaelewa uje hapa tujadiliane.

Also you have to be honesty, nimekupatia elimu ya bure. Nishukuru
Screenshot_20240814-101505_2.jpg

Nenda kalete andiko lako linalo kwambia na linalosema kwamba,

Universe is not everything.

Nakungoja hapa, nione.
 
Screenshot_20240814-102441_1.jpg
 
View attachment 3069500
Nenda kalete andiko lako linalo kwambia na linalosema kwamba,

Universe is not everything.

Nakungoja hapa, nione.
Ndio maana nimekueleza nenda kasome Big bang uelewe acha kuweka screenshot ya vitu usivyovijua.

Unajua Singularity during the creation of the universe? Pale ulipochukua hizo screenshot ujione namna ulivyo empy head.
 
Tatizo una copy tu vitu ambavyo huvijui. Sasa anaposema Since its creation unaelewa maana yake? Who created it?

View attachment 3069543

Haya nijibu swali hilo kwanza kabla sijaendelea
Ulisema "universe is not everything"

Hujaleta andiko linalosema hivyo, Unaruka ruka.

Kalete andiko linalosema Universe is not everything.

Acha kuleta janja janja zako hapa.
 
Ndio maana nimekueleza nenda kasome Big bang uelewe acha kuweka screenshot ya vitu usivyovijua.

Unajua Singularity during the creation of the universe? Pale ulipochukua hizo screenshot ujione namna ulivyo empy head.
Nakwambia hivi, Kalete hilo andiko lililo andikwa
"Universe is not everything"

Tuanze kwenye definition kwanza, Maana wewe unaleta definition zako uchwara za vilabuni huko eti, universe is not everything.

Kalete hilo andiko lililo kufunza hivyo.

Yani hata definition ya universe hujui, unafosi fosi maelezo uchwara.
 
Ulisema "universe is not everything"

Hujaleta andiko linalosema hivyo, Unaruka ruka.

Kalete andiko linalosema Universe is not everything.

Acha kuleta janja janja zako hapa.
Unataka andiko lipi mzee. Wakati tayari wewe umeweka Screenshot inayoonesha Universe created 13 billions years ago. Tell us who created it?
 
Nakwambia hivi, Kalete hilo andiko lililo andikwa
"Universe is not everything"

Tuanze kwenye definition kwanza, Maana wewe unaleta definition zako uchwara za vilabuni huko eti, universe is not everything.

Kalete hilo andiko lililo kufunza hivyo.

Yani hata definition ya universe hujui, unafosi fosi maelezo uchwara.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Screenshot yako hii hapa hebu isome

1723625157161.png

Halafu umeelezwa ukubwa wake ni 10 billions light years. And Created 18 billions years ago.

1. Universe ipo na mwisho wake. Sasa tueleze baada ya mwisho wa universe kitu gani kinafuata? (Obvious hujui)

2. Universe Created 18 Billions years ago. Tell us who created it?

Jibu maswali hayo kwanza twende taratibu.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Screenshot yako hii hapa hebu isome

View attachment 3069595
Halafu umeelezwa ukubwa wake ni 10 billions light years. And Created 18 billions years ago.

1. Universe ipo na mwisho wake. Sasa tueleze baada ya mwisho wa universe kitu gani kinafuata? (Obvious hujui)

2. Universe Created 18 Billions years ago. Tell us who created it?

Jibu maswali hayo kwanza twende taratibu.
Leta andiko lililo kwambia kwamba,

Universe is not everything.

Mbona huleti?

Mpaka sasa hujaleta hilo andiko,
Unaruka ruka tu na kucheka cheka kama demu anaye tongozwa.
 
Unataka andiko lipi mzee. Wakati tayari wewe umeweka Screenshot inayoonesha Universe created 13 billions years ago. Tell us who created it?
Nataka andiko linalosema na lililo kufunza kwamba👇

Universe is not everything.

Wewe si ulisema universe is not everything?

Sasa thibitisha hii hoja yako na ulete andiko uliposoma hivyo.
 
Leta andiko lililo kwambia kwamba,

Universe is not everything.

Mbona huleti?

Mpaka sasa hujaleta hilo andiko,
Unaruka ruka tu na kucheka cheka kama demu anaye tongozwa.
Andiko lipi unalitaka wakati wewe ndiye uliyeleta screenshot ikionesha Universe created. There is somewhere at a certain time that universe created.

Sasa tuambia who created it?
 
Back
Top Bottom