Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Nilikwambia kwamba kila kitu ni universe.Sasa wewe hutaki imani hutaki na Sayansi. Unaamini wewe unayoyawaza yapo sahihi.
Sasa hiyo universe uliijulia wapi kama hukuambiwa kuna universe?
Kila kitu kilichopo nikiwemo mimi na wewe tumezaliwa na tupo ndani ya Universe.
Wala huhitaji kuambiwa, you just observe and you see.
Narudia tena kukwambia,Ninavyojua wewe huna vifaa vya kuchunguza universe. Uwezo wa macho yako upo limitedi.
Universe is everything. It includes all space, all the matter and energy that space contains, it includes time and it even includes me and you.
Kuichunguza universe ni kujichunguza pia wewe, Maana hata mimi na wewe ni part ya Universe hiyohiyo.
Tatizo lako una amini kwamba sayansi na imani ndio zina majibu ya kweli ya kila kitu ambacho hujui.Kama sayansi hutaki na Imani nayo huitaki Sitaki kukuita jina baya.
Nenda shule kijana ukasome ujifunze. Usiubanie ubongo wako kujifunza.
Unashindwa kujua kwamba, Hata hizo Sayansi na imani ni Mawazo tu ya wanadamu kama wewe waliojaribu kuwaza kama wewe unavyowaza leo hii.
Wakaweka mawazo yao kwenye vitabu ambavyo wewe ndio unatakiwa kuvichunguza na kupima, Je hayo mawazo yao yana ukweli kiasi gani na uongo kiasi gani?
Sasa wewe kwa vile wanasayansi waliandika Bing-Bang ndio chanzo cha universe, Unachukua unakariri na kumeza hivyo hivyo bila kuchunguza ukweli wake na uthibitisho.
Wala hujiulizi hiyo Big bang ni kweli au uongo?
Kwa vile Bible imeandika, Mungu ndio chanzo cha ulimwengu, unachukua unakariri na kumeza hivyo hivyo bila kuchunguza na kupima kubaini ukweli wa mafundisho hayo.
Kwa vile Quran iliandikwa, Allah ndio chanzo cha ulimwengu, unameza hivyo hivyo bila kuchunguza ukweli wake na uthibitisho.
Hata huko shuleni mmefunzwa ujinga kukariri vitu bila kuhoji.
Kwa vile Aristotle alisema na wewe unachukua hivyo hivyo mkichwa mkichwa bila kuhoji na kuchunguza.
The issue is,Imani na Sayansi zipo hapa kutusaidia kujua how the world operates.
Kama kila kitu kilichopo kitahitaji chanzo chake, Hata chanzo cha kila kitu, kitahitajika kuwa na chanzo chake.
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo chanzo, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe pasipo chanzo.
Na kama si kila kitu kilichopo kinahitaji chanzo, Hata Universe haihitaji chanzo.
Huhitaji imani wala sayansi kuelewa nilichokwambia.