Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani akaanunue ardhi tupu na kuanza kuchimba ili kutafuta kitu ambacho hajakiweka?Katafute Duara uchimbe dhahabu utajirike kwa shortcut.
Ni mrembo Namba moja kwa TanzaniaHhh sinyorita ni nani hhhh
Kwanini Geita mkuu? Na siyo Katoro,Bukoba,Mwanza,Kahama,Musoma na kwingineko.Wakuu nataka kuja geita vipi wakuu naweza pata mwangaza kidogo chocjote mtu anafamu?
Aidha lodge bei cheee, mishe nknk
Unaenda Geita kutokea wapi? DAR auBac ngoja nkajioneee
Kwanini iwe bukoba,mwanza,kahama,musoma na si geita mkuuuKwanini Geita mkuu? Na siyo Katoro,Bukoba,Mwanza,Kahama,Musoma na kwingineko.
Geita unaenda kwa lengo lipi?
Unaulizia lodge bei chee zenye range ya kiasi gani mpaka kiasi gani?
Geita ni mji wa kiserikali na kimadini pia ,ila mzunguko wake haueleweki kwa sababu alisimia kubwa ya wakazi wa pale ni wafanyakazi wa mgodini GGM na serikali hvyo Mara nyingi siku za Wiki unakuta pamepoa....lodge zinalipa sana hapo geita,ila mambo ya maduka sidhan sanaUna abc mkuu unipe
Kama kuna madini nafkiri bc kutakuwa na washkaji wenye pesa mnoo,Geita ni mji wa kiserikali na kimadini pia ,ila mzunguko wake haueleweki kwa sababu alisimia kubwa ya wakazi wa pale ni wafanyakazi wa mgodini GGM na serikali hvyo Mara nyingi siku za Wiki unakuta pamepoa....lodge zinalipa sana hapo geita,ila mambo ya maduka sidhan sana