Je hapa Nina mke kweli?atumia laki tatu ndani ya wiki3 akiwa ugenini katika harus

Raha ya mwanamke ni kumuomba mwanaume walke hela. hata kama anayo inaashiria kwamba anakuheshimu na anatambua nafasi yako kama mwanaume na baba
 
Mi napenda kukaa kwangu kwa watu sisikii raha ,kuna watu wanapenda kuzurura kuna mke wa ndugu yangu ni safari kila mara mara harusi mara sijui mgonjwa akienda ameenda nadhan hampendi mmewe anaona tabu kuishi nae
Kwa kweli mimi kabla ya huu mwaka kuisha nina plan ya kwenda nyumbani kwetu na nitakaa si chini ya miezi miwili.
 
sasa hivi matumizi ya mkeo ndio uyalete hapa?
 
Raha ya mwanamke ni kumuomba mwanaume walke hela. hata kama anayo inaashiria kwamba anakuheshimu na anatambua nafasi yako kama mwanaume na baba
 
Mi napenda kukaa kwangu kwa watu sisikii raha ,kuna watu wanapenda kuzurura kuna mke wa ndugu yangu ni safari kila mara mara harusi mara sijui mgonjwa akienda ameenda nadhan hampendi mmewe anaona tabu kuishi nae
Mkuu uko kama mm, mimi naweza nikaenda sehemu may be nje ya mkoa km ni siku chache niko radhi nikae lodge coz mambo ya kubanana banana sipendi...
 
🀣🀣🀣🀣🀣 Anayetumia hela vizuri ina maana budget yake Ni Laki Kwa mwezi mzima wenye siku 30 na ana watoto 2!!
Huyo muumbe mwenyewe!!
NitamtAfuta alafu nimuleta hapa jf mumuone
 
Inategemea ulivyomzoeza,wengine 50,000 tu kama katoa milioni, mwingine hiyo uliyotoa ni ya sabuni!
 
Hivyo vicoba ni vyake na wakivunja hulambi hata thumni
 
Kwa kweli mimi kabla ya huu mwaka kuisha nina plan ya kwenda nyumbani kwetu na nitakaa si chini ya miezi miwili.
Sasa hapo ni kwenu ni tofauti na na kwa marafiki au ndugu
 
Sema malembeka18 unaishi kwa tabu sana.

Wewe kila uzi wako unalalamika tu unaishi ulimwengu gani wewe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…