Msishangae
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 363
- 267
Unajichanganya sana,Amri kumi inaingiaje hapo?... iliwahusu Adam na kizazi chake hadi pale Mungu alipobadili sheria. Kwani mwanzo palikuwa na Amri Kumi? Zilikuja baadaye kutokana na mahitaji ya wakati vivyo hivyo kwa masuala ya ndoa na mengineyo kama utawala, n.k.
Maneno ya Mungu zaeni mkaijaze nchi yasikusumbue sanaTunazungumzia kauli ya ‘mzaane mkaijaze dunia’ , ambayo ndio imetumika kama ndoa mnavyodai, kwamba mmdai imewahusu wote Adam na hawa na vizazi vyao hadi pale sheria mpya ilivyokuja (lack of consistency by the way), kwahiyo vizazi vyote vya Adam na Hawa walikuwa wamefungishwa ndoa na kila kljinsia tofauti iliyokatiza mbele yao kwa hiyo kauli ya Mungu? Kama wanyama?
Mungu alimuumba mwanadamu na kumfanya awe na Uhuru wa kuchagua siyo awe anaongozwa kwa lazimaHapa ni kama Mungu anawaumba watu ili wakosee makusudi na kisha awachome moto. Alishindwa nini kuwaaumba binadamu waliokamilika ili wazingatie maagizo yake?
Yaani umuumbe mtu pasipo ridhaa yake na kisha na bado unamuumba akiwa na kasoro halafu eti akikosea unamchoma moto wakati yeye mwenyewe Mungu ndio kafanya makusudi kukuumba hivyo
Hakuna ambae anaumbwa na element za uzinzi wala wizi waka unyang'anyi.
Mungu watu wote anawaumba sawasawa kabisa..
Nisome vizuri mkuu.
Nimesema sote tuna roho zenye uhuru wa kuchagua,sikusema sawasawa.
Kabla ya kula mti wa ujuzi wa mema na mabaya, nani aliwafundisha namna ya kufanya ngono ili wazaane? Na walizaana kabla au baada ya kula mti wa ujuzi?Sijui mnatoa wapi tafsiri hizi,maana Muu aliagiza Adamu na Hawa mkewe wazae wakaijaze dunia hapo ni Mara baada ya kukamilisha uumbaji soma Mwanzo 1:26 na kuendelea,lakini sura ya tatu inatuonesha namna ni namna gani walikosa kwa kula mti wa ujuzi wa mema na mabaya,ndiyo maana baada yahayo Mungu akawafukuza katika bustani ya Edeni wasije wakala matunda ya mti wa uzima
Uhuru wa kuchagua huwa anapewa kabla au baada ya kuletwa duniani? Kama ni baada ya kuletwa duniani inakuwaje hatmanyake inakuwa imeshafahamika kabla ya kuletwa duniani? Kuna haja gani ya kusema tunaweza kuamua kwa uhuru wakati tayari tumeshahukukiwa kabla hata ya kuumbwa? How?Mungu alimuumba mwanadamu na kumfanya awe na Uhuru wa kuchagua siyo awe anaongozwa kwa lazima
Ujuzi lazima unafungamana na kuziprogram nafsi, kwasababu yeye ndiye anayeumba mtu kila kitu hivyo mtu hawezi kwenda kufanya matendo ya uovu ikiwa yeye Mungu hajataka huyo mtu akatende uovu. Ikiwa mtu anatenda uovu basi hakuna shaka kuwa Mungu mwenyewe ndiye ametaka huyo mtu akatende huo uovu.Anajua kwa sababu ana ujuzi juu ya mambo yetu ya baadae.
Na ujuzi huo hajaufungamanisha na kuziprogram nafsi zetu,yeye atabaki anajua tu bila kututenza Nguvu tuyapitie yale anayoyajua,atabaki anajua,kuhusu kutenda sisi tuna hiyari yetu.
tujadili hapa kwenye neno uliloweka kaenye mabano "uwezo" nadhani litatupa taswira ya kuona ni namna gani mmoja achague jambo tofauti na mwingine. Ikiwa wote wameumbwa na Mungu mmoja, na kisha wote kupewa uwezo ulio sawasawa na wengineo bila shaka tunategemea wote wafanye maamuzi yaliyo sawasawa (wafanye chaguzi moja linalofanana kwa wote) kwasababu hakuna walichozidiana. lakini Kama maamuzi ya uchaguzi yanatofautiana basi bila shaka huo uwezo unazidiana kati ya mmoja na mwingine.Walichozidiana ni matumizi yao ya nafsi.
Mungu katuumba na nafsi zisizo na ukomo katika kuyaendea mambo.
Kwa hiyo juhudi zako ndio zitazidisha utashi wa nafsi yako.sote ametuumba na nafsi zenye uwezo wa kufanya mambo pale tutakapofanya juhudi na kuyaendea wenyewe.
Hivyo mwenye kisu kikali ndo atakula nyama.
Labda nikupe mfano hivi
Nafsi zetu ni kama kapu ambalo halina kitu,kule kutokuwa na kitu ndo kila mmoja aliumbwa hivyo.
Kwa maana kila mmoja nafsi yake iliumbwa na nafasi(uwezo)wa kutia kitu fulani katika ile nafasi ya kapu(nafsi)
Kilichoingia kwenye kokwa sio funza, ni mayai ambayo ni microscopicAya maswali mengine bhana unaweza uliza funza kaingiaje kwenye kokwa la embe
Nimeshakueleza kuwa ujuzi huo haufungamani ku kuziprogram nafsi,hiki kipengele ni muhimu sana ukikielewa.Ujuzi lazima unafungamana na kuziprogram nafsi,
Mungu haingilii maamuzi ya mja,yaani Mungu hajatufanya sisi kuwa maroboti.kwasababu yeye ndiye anayeumba mtu kila kitu hivyo mtu hawezi kwenda kufanya matendo ya uovu ikiwa yeye Mungu hajataka huyo mtu akatende uovu
Shida nikuwa unafikiria mambo ya Mungu kwa muono wa uwezo wa kibinadamu.Mungu kutokana na uwezo wake alijua fika kabisa kuwa huyu mtu niliyemuumba akienda duniani atakuwa muovu na atakuwa ni wa motoni, nafasi ya huyu kurekebishika haikuwa pindi akifika duniani bali ni pale pale alipokuwa anaumbwa kabla hata hajapelekwa duniani. Kitendo cha kumwacha aende duniani akiwa anajua kuwa nini atachoenda kufanya basi hakuna shaka kapenda iwe ivyo. Au unataka kuniambia Mungu hana uwezo wa kumbadilisha huyo mtu pindi anamuumba ili akienda duniani asichague uovu?
Ujuzi huo haifungamani na kumtenza nguvu(kumlazimisha mja)kwa namna yeyote ile.Mungu kutokana na uwezo wake alijua fika kabisa kuwa huyu mtu niliyemuumba akienda duniani atakuwa muovu na atakuwa ni wa motoni,
Mungu anajua anachokifanya,hivyo kumrekebisha mtu huyo maana yake wakati anamuumba hakujua kua ni muovu ndio maana anataka amrekebishe.nafasi ya huyu kurekebishika haikuwa pindi akifika duniani bali ni pale pale alipokuwa anaumbwa kabla hata hajapelekwa duniani.
Mungu Alishaamua kuwa amewaleta watu katika chumba cha mitihani.Kitendo cha kumwacha aende duniani akiwa anajua kuwa nini atachoenda kufanya basi hakuna shaka kapenda iwe ivyo
Nilichogundua ni kwamba Kuna Baadhi ya mambo unayatoa kwenye uwezo wa Mungu. Mungu anaumba package yote kwa binadamu kwanzia hardware (mwili) mpaka sofware (akili na utashi) hapa naona kwenye software ndipo unapopaweka kando uwezo wa Mungu. Huyu mtu anayechagua mema, anafanya kutokana asilimia ya utimilifu wake katika mfumo wa software yake aliyowekewa na Mungu. Na huyu anayefanya au kuchagua uovu pia anafanya kwa kuongozwa na mfumo wa software yake aliyowekewa na Mungu pia. Hakuna binadamu anayejiwekea utashi wa aina yake. Nakupa mfano unaohusiana na wewe mwenyewe.Na akisema awaumbe watu wote wema basi hakuna maana ya kutuleta duniani ili tujaribiwe nafsi zetu kwa sababu wote tushakuwa wema.
.
Hili hoja hujalijibu mkuu, nasubiri jibu pia hapa kwenye hii hoja yangu.tujadili hapa kwenye neno uliloweka kaenye mabano "uwezo" nadhani litatupa taswira ya kuona ni namna gani mmoja achague jambo tofauti na mwingine. Ikiwa wote wameumbwa na Mungu mmoja, na kisha wote kupewa uwezo ulio sawasawa na wengineo bila shaka tunategemea wote wafanye maamuzi yaliyo sawasawa (wafanye chaguzi moja linalofanana kwa wote) kwasababu hakuna walichozidiana. lakini Kama maamuzi ya uchaguzi yanatofautiana basi bila shaka huo uwezo unazidiana kati ya mmoja na mwingine.
Sorry mkuu hapa naibia kuandika,natamani ningekuwa nimetulia sehemu kando lakini harakati bize kwa sana nyakati hizi,ila najitahidi kureply.Hili hoja hujalijibu mkuu, nasubiri jibu pia hapa kwenye hii hoja yangu.
Uwezo sawa sawa upi unaokusudia ?Ikiwa wote wameumbwa na Mungu mmoja, na kisha wote kupewa uwezo ulio sawasawa na wengineo bila shaka
Mungu nafsi kaiumba na uwezo wa kupokea mambo na hiyo nafsi kukua katika yale mambo ambayo imeyapokea.bila shaka tunategemea wote wafanye maamuzi yaliyo sawasawa (wafanye chaguzi moja linalofanana kwa wote) kwasababu hakuna walichozidiana.
Maamuzi ya uamuzi yanatofautiana kutokana na mazingira ambayo nafsi hizo yamelelewa.lakini Kama maamuzi ya uchaguzi yanatofautiana basi bila shaka huo uwezo unazidiana kati ya mmoja na mwingine.
hapa mkuu umejibu lakini jibu lako halina uhalisia. Mimi nimekulia katika mazingira ya watu walevi, na wavuta bangi lakini sivuti bangi wala sinywi pombe..
Kwa hiyo kama nafsi itakuwa imekulia katika mambo ya kutisha na kikatili basi nafsi hii haitoona shida kuchagua kuuwa na kuibia watu.
Sasa nafsi hii inakuwa imechagua uovu kwa sababu ndo ilikulia katika mazingira hayo ya uovu.
Na nafsi ingine imekulia katika ustaarabu na mazingira ya uwoga,bila shaka nafsi hii sasa itaishi katika mazingira ya uoga na itakuwa inaogopa kuchagua mambo ya kutisha kama vile kuua,na kuiba kama ile nafsi ya juu.
Sasa nafsi hizi zilizoumbwa na Mungu mmoja zimekuwa na matokeo tofauti ya kuchagua mambo ya kufanya kwa sababu ya yale mazingira ambayo nafsi hizo zimelelewa kwayo.
Kwa hiyo Nafsi ambazo zina origin moja lakini zinatofautiana maamuzi kwa sababu zilipotoka kwenye orijin yao zililelewa katika mazingira tofauti tofauti hivyo bila shaka zitakuwa na chaguzi tofauti tofauti.
Tukumbuke kuwa nafsi zimeumbwa na uwezo wa kukua na kujengeka kutokana na yale inayoyapokea.
Hivyo uwezo wa nafsi kuchagua lipi afanye na lipi asifanye BILA KUANGALIA UBAYA NA UZURI basi uwezo huu Mungu kaupa nafsi zote.kwa maana kila nafsi ina uwezo huo.
Maamuzi ya uamuzi yanatofautiana kutokana na mazingira ambayo nafsi hizo yamelelewa.
Iyo unajua wewe ila huku uswahilini kwetu ndio twajua ivoKilichoingia kwenye kokwa sio funza, ni mayai ambayo ni microscopic