Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #61
Hakuna aliyepinga mabadiliko, bali tunahoji haya madhaifu yanayoanikwa. Maana tulikuwa tunaambiwa kila kitu kiko sawa.Mkuu kila zama na mambo yake na majira yake,usiishi kwa kukariri,kuna mada moja ilitolewa na mwanajf mmojavkuhusu Starlini waRussia .Akipofariki makamu wake akawa anabadili mambo,mmoja wa wajumbe akatuma memo kama kutoridhishwa.Mkuu akauliza nani katumavhuu vujumbe nimjibu?!Kimya.Akasema hata mimi nilikuwa nakaa kimya.Utakuwa umeekewa.🙆🙆🙆🙋
Tulia ww kila zama na kitabu chakeAu maza kashalishwa kaseti na yule mzee mwenye tabasamu muda wote,
au maza nae alimchukia hayati kama walivyofanya mabeberu?
Au maza kafurahi paka ametoka?
Au maza anajua yaliyomkuta mzee?
Au maza, au au au
Jiwe alikua anafanya kazi peke yake yaani ni one man show. Hao wengine walikua wanafata matakwa yakeJPM atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere
Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.
Hoja hapa sio kufukuza wenye vyeti feki. Tunahoji juu ya madhaifu yanayoanikwa sasa ina maana hakuwa anaambiwa ukweli?Ubora wake watakuja kuujua wajukuu zako si ww kama umefoji cheti na kuwazibia nafasi waliokesha miguu wameweka kwenye maji ukafukuzwa lazima utamuona ni mbaya lakini wale waliokuwa wanalia na kujipanga barabarani wanajua ubora wake
Hii nchi ilivyokubwa unaitawala mtu mmoja bila info?Jiwe alikua anafanya kazi peke yake yaani ni one man show. Hao wengine walikua wanafata matakwa yake
We kijana una umri gani? Madhaifu ya Jakaya yalikuwa wazi kabisa hata alipokuwa madarakani.Kumbukumbu zinabainisha ata JK alipomaliza muda wake maoni na michango katika mitandao yalikuwa yakionesha kama vile hakufanya chochote..ngoja tuone Mama kama atawakomesha mafisadi..
Ngoja tuone kama ajira zitaongezeka na gharama za kujiajiri kama zitashuka..
Labda ulisoma wakati wa Nyerere! Elimu ya bure ilitoweka kuanzania mwaka 1985, ikaanza kama mchango wa elimu Sh20 na kadri siku zilivyokwenda ndipo karo ilikuwa inaongeza; imepita miaka 30 ndipo elimu ya bure ikarudi tena.Suala la elimu bure kwa nchi hii wala sio jambo la ajabu kabisa sisi tumesoma elimu huku tukinywa uji,daftari likiisha unaonda kwa mwalimu wa soma anasaini unaenda zako stoo unapewa daftari,tulikuwa hatukai chini kama sasa hivi dawati moja wanafunzi wawili na madawati yanabaki ya kumwaga tu
Nadhani kipindi hicho we bado ulikuwa kwenye bomba
Hii takwimu ya kuwa enrollment ni 98% alafu 50% wanaacha shule kwa ujauzito uliipata wapi?Shida unaangalia Enrollment sio quality ya elimu. Yaani ina faida gani 98% wawe enrolled alafu takwimu zinaonyesha zaidi ya elfu 50 wana drop kila mwaka sababu ya ujauzito. Let alone umesikia wanaomaliza la saba hawajui kusoma wala kuandika, well hakuna madawati, Ufaulu la saba kati ya private na public n.k hivi hayo mambo hamyaoni au nyie mmekazana na enrollment tu.
Huyo jamaa alikuwa jeshi la mtu mmojaMimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.
Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
Hata JPM alikuwa sehemu ya Baraza la Mawaziri la Rais Mkapa na akadumu hadi baraza la Mawaziri la JK , amekaa 20 years as a minister, akauza nyumba zote za serikali, na akajiuzia na nyingine akawapa mahawara zake, huyo huyo alipoingia JK ikabidi JK ahangaike kujenga nyumba mpya maana viongozi wapya walikuwa wanakaa mahotelini na kwenye appartments and it was expensive and too risky.Hakuna aliyepinga mabadiliko, bali tunahoji haya madhaifu yanayoanikwa. Maana tulikuwa tunaambiwa kila kitu kiko sawa.
Haya yote yanatokea hata shingo haijakatikaMimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.
Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwe unakunywa basi mara kwa mara maji yenye limao au ndimu ili kupunguza hasira.
AlijichokeaHaya yote yanatokea hata shingo haijakatika
Achana na hasara ni ufisadi wa kutisha piaKwahiyo Yale maukuta yote ni Hasara kwa Taifa tu.
Burudoza!Mkuu unajua maana ya tinga-tinga?
Hata uchumi wakati huo ulikuwa upo chini Sana na mazingira magumu mnooo,Sasa kwanini iliwezekana na kwa nini ishindikane leo?Kipindi unachosemea ww Watanzania hawafiki milioni 15 wanaenda shule ni chini ya 4% sasa hv mpo milioni 60 wanaoenda au waliofikisha umri wa kwenda shule 98% wanaenda shule uoni kuna tofauti kubwa ?
Kama ushauri wake ulikua hausikilizwi jeJPM atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere
Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.