Aliyefedhesha atafedheheshwa, alifuta nyayo za JK acha na yeye afutwe tuMimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.
Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
Nyumbu hiliMimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.
Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
Hakuna kitu Magufuli amewahi kufanikiwa kwa kuwa alidhani ana akili sana na maono wakati yeye intellectually ni average student. Angalia uuzaji nuumba za Serikali, ununuzi kivuko cha Bagamoyo, meli ya Thailand na Biashara ya korosho. Yote ni maduduMimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.
Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
ww na nani?Huyu mama anaenda kutuuza soon
Alikuwa mjuaji na hakushaurika!JPM atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere
Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.
Ww kiazi kweli, kipind hicho nchi ilikua bado hata haijaagusa uchimbaji wa madini...kilimo cha mkonge tuu watu wakasoma bure. Hao watu mil 60 wamedondoka kutoka sayar ya mars? Niishie hapo!Kipindi unachosemea ww Watanzania hawafiki milioni 15 wanaenda shule ni chini ya 4% sasa hv mpo milioni 60 wanaoenda au waliofikisha umri wa kwenda shule 98% wanaenda shule uoni kuna tofauti kubwa ?
Nyerere alisema katiba yetu nimbaya,rais akija dikteta anaweza kujiamulia kufanya atakavyo hakuna wakumzuia!Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.
Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
Umewaza kama mimi big up sana mkuuHapa kuna mambo mawili wengi mmechanganya, kuna majadiliano na maafikiano. Inawezekana kabisa katika baadhi ya mambo Rais akamuita Makamu wake wakakaa kujadiliana. Haimaanishi kwamba Rais analazimika kukaa na Makamu wake kujadiliana kila jambo.
Lakini suala jingine ni kwamba, katika majadiliano hayo kama ikampendeza Rais kumuita Makamu wake wakajadili basi Rais hafungwi na ushauri wowote unaotolewa na Makamu wake.
Kwenye majadiliano na wakuu wetu wa kazi Mara nyingi kuna mengi yanaweza kujitokeza na katika hayo huwa unatokea kabisa boss wako akaamua kutokubaliana na ushauri wako simply ana maono yake especially kulingana na cheo alichonacho na legacy anayotaka kuiacha.
Kilichomkuta Rais Samia Suluhu Hassan sio kwamba tu alikuwa ushauri wake haupokelewi lakini waweza kuona wazi kwamba hakuwa kabisa na mtazamo wa approach za mtangulizi wake.
Mama approach yake ni diplomatic na anapenda majadiliano ukiangalia meko hakuwa mtu wa majadiliano akikupigia simu ni kuulizia jambo fulani au kukupatia maelekezo fullstop.
Jiwe hakutaka ushauri hata wa watangulizi wake waliompa uwaziri kwa miaka yote, alikuwa hapokei simu kabisa aliona Tanzania ni kama yake sasa. Only mtu aliyekuwa anamuweza ni uncle Ben.
Jamaa alikaa almost mwezi mzima hajaform baraza la mawaziri kajifungia tu pekee hataki hata Makamu wake ashiriki, mpaka mzee Mkapa alipoenda kumwambia usipotangaza baraza mapema kuna bunge fupi la November to December linakuja mawaziri wako watashindwa kutetea serikali watapigwa Pini, ndio akastuka na kutangaza.
Unaweza kuona huyu mtu alikuwa anajiona yeye ndio anafaa kushinda mtu yeyote. Kidogo hapa mwishoni naona na afya ilianza kuwa mbaya alikuwa anawaachia wafanye wenyewe wateule wake na ndipo walipompiga hela ya kutosha.
Nachoweza kusema ni kwamba, mama hakuwa kwenye nafasi ya kulazimisha jiwe apokee ushauri wake. So kwa sasa mwacheni afanye yake nae alikuwa na maono yake na kila mtu ana maono yake lakini bahati mbaya hatuwezi kuwa wote viongozi.
Kwa sasa legacy ni ya mama anasema KAZI IENDELEE let's hope nae atatupeleka kwenye stage nyingine nzuri zaidi.
Hatujabisha maana nyinyi mlikuwa wanufaika wakubwa kuliko tabaka la chini,, hasa walala hoi au wenye kipata cha chini,, haitaji kuwa na uwezo wa kufikiri kwamba huyu mtu alikuwaje,, vise versa alikuwa mtu siyo sahihi kwa taifa hiliJPM atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere
Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.
Kumbuka chama pendwa ni kile kile na watu wake ni wale waleAu maza kashalishwa kaseti na yule mzee mwenye tabasamu muda wote,
au maza nae alimchukia hayati kama walivyofanya mabeberu?
Au maza kafurahi paka ametoka?
Au maza anajua yaliyomkuta mzee?
Au maza, au au au
@mgaka12, laiti kama ungesoma post zilizotangulia, wala usingeuliza swali la kifala kama hili!JPM atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere
Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.
Bila kumuondoa dc simanjiro madini yataendelea kuibiwa tu.Mpaka jwtz wameambiwa waangalie namna wanavyolinda mererani. Madini yanaibiwa kama kawa. Mama ni mkweli.
πππMarehemu alikua mental fresh yani mirembe doz
Kama madini yanatoroshwa kama zamani sasa unafaida ganiKwahiyo Yale maukuta yote ni Hasara kwa Taifa tu.
Hii ndio maana ya 'kuzinguana'.Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.
Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
AUAu maza kashalishwa kaseti na yule mzee mwenye tabasamu muda wote,
au maza nae alimchukia hayati kama walivyofanya mabeberu?
Au maza kafurahi paka ametoka?
Au maza anajua yaliyomkuta mzee?
Au maza, au au au
Kwani lazima aseme 'mzinguaji' ndio alikuwa anapiga dili?Kama madini yanatoroshwa kama zamani sasa unafaida gani