UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Unachodai ni nini haswa?. Magufuli amekufa?(inajulikana) kwa uzembe wa Madaktari? au hatuna weledi wa mambo ya Afya?..Magufuli alijitia ujuaji kwenda JK na Mzena mnajua kilichomtokea.
Mabango ya kusifu kila kitu afanyacho mkulu yamezidi sasa. Kila anapotimiza majukumu yake ya kikatiba anamiminiwa sifa luluki kana kwamba anawatendea wananchi matendo ya hisani.1. Katiba Mpya.
2. Tume Huru.
3. Tume ya Ukweli, Haki, na Upatanishi.
Kama mambo hayo hayajatekelezwa MABANGO ya kujisifu ya kazi gani?
Na mabango yanatengenezwa kwa kutumia KODI za wananchi wengi wao wakiwa masikini.
Kwa hiyo umekosa hadi usingizi ulivyoona hayo?Kwa nini unajipa homa?Acha kumfuatilia kama ambavyo hana muda na wewe.Akiwa 'nyumbani kwake' huko Ubelgiji, makamu wenyekiti wa mitandaoni wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu ameandika hivi mtandaoni.
View attachment 2564267
Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano ambaye technically ameshika upande wa mpini?
Si amesema hadharani kuwa mchakato unakuja na utakuwa shirikishi? tena ameyasema hayo baada ya maridhiano na chama cha Lissu!
Kwamba Lissu hana uvumilivu au hakubaliani na msimamo wa chama chake ama ni kukosa tu hekima na busara?
Alafu hili la kudai hela zake kila mara hili ni nini hasa? Kwamba ndio sera yake endelevu? Si alisema amelipwa huyu? 🤣🤣🤣
Na hiyo viza ya Ubelgiji inachukuwa miezi mingapi kuihuisha?? Au ndio yaleyale ya akina Liberatus Mwang'ombe ya kurudi wakati wa uchaguzi alafu wakiangukia pua haooo wanakimbilia zao 'makwao' kwa mabeberu?
Wewe huoni kwamba huyo 'partner' anawatumia wenzake kwa manufaa yake mwenyewe, bila hata ya kutimiza hata moja la makubaliano?Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano ambaye technically ameshika upande wa mpini?
Inafaa pia kujiuliza, hizi kampeni hasa ni za nini wakati huu?1. Katiba Mpya.
2. Tume Huru.
3. Tume ya Ukweli, Haki, na Upatanishi.
Kama mambo hayo hayajatekelezwa MABANGO ya kujisifu ya kazi gani?
Na mabango yanatengenezwa kwa kutumia KODI za wananchi wengi wao wakiwa masikini.
akili ndogo utaijua tu. nchi hii ifutwe waumbwe wengine. ssaa wewe una faida gani interms of kuleta mabadiliko?Akiwa 'nyumbani kwake' huko Ubelgiji, makamu wenyekiti wa mitandaoni wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu ameandika hivi mtandaoni.
View attachment 2564267
Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano ambaye technically ameshika upande wa mpini?
Si amesema hadharani kuwa mchakato unakuja na utakuwa shirikishi? tena ameyasema hayo baada ya maridhiano na chama cha Lissu!
Kwamba Lissu hana uvumilivu au hakubaliani na msimamo wa chama chake ama ni kukosa tu hekima na busara?
Alafu hili la kudai hela zake kila mara hili ni nini hasa? Kwamba ndio sera yake endelevu? Si alisema amelipwa huyu? 🤣🤣🤣
Na hiyo viza ya Ubelgiji inachukuwa miezi mingapi kuihuisha?? Au ndio yaleyale ya akina Liberatus Mwang'ombe ya kurudi wakati wa uchaguzi alafu wakiangukia pua haooo wanakimbilia zao 'makwao' kwa mabeberu?
Kwani maridhiano kulikuwa na mgogoro upi? Hawa watu wanabembelezwa sana na hawana utu. Eti mikutano ya hadhara, utoto mtupu! Kama walikataa uchaguzi baada ya kugaragazwa vibaya 2020, wakumbuke kwamba hatujafanya uchaguzi mpya, rais huyu pia alitokana na uchaguzi ule. Walimkataa jpm lkn wsnamkubali huyu, halafu wote wanatokana na ccm ile ile ambayo wanadai iliiba kura.[emoji23]
Kaona alichoahidiwa akijatekelezwa ila anaonekana kwenye mabango tu.
Mlipeni 24% kilichobaki ili muendelee kuweka mabango ya maridhiano
Mnajisumbua akili bure.1. Katiba Mpya.
2. Tume Huru.
3. Tume ya Ukweli, Haki, na Upatanishi.
Kama mambo hayo hayajatekelezwa MABANGO ya kujisifu ya kazi gani?
Na mabango yanatengenezwa kwa kutumia KODI za wananchi wengi wao wakiwa masikini.
Hizo ndo sifa za walamba AsaljAkiwa 'nyumbani kwake' huko Ubelgiji, makamu wenyekiti wa mitandaoni wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu ameandika hivi mtandaoni.
View attachment 2564267
Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano ambaye technically ameshika upande wa mpini?
Si amesema hadharani kuwa mchakato unakuja na utakuwa shirikishi? tena ameyasema hayo baada ya maridhiano na chama cha Lissu!
Kwamba Lissu hana uvumilivu au hakubaliani na msimamo wa chama chake ama ni kukosa tu hekima na busara?
Alafu hili la kudai hela zake kila mara hili ni nini hasa? Kwamba ndio sera yake endelevu? Si alisema amelipwa huyu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na hiyo viza ya Ubelgiji inachukuwa miezi mingapi kuihuisha?? Au ndio yaleyale ya akina Liberatus Mwang'ombe ya kurudi wakati wa uchaguzi alafu wakiangukia pua haooo wanakimbilia zao 'makwao' kwa mabeberu?
Sio sa hizi huko ni choo cha kike.Inaoneka huko belgiji game ni tight sana sahizi
Mpaka saizi naona kabisa kuna kitu hakipo sawa, hata wale die hard fans wa CDM wanalijua hilo.Na Time hii [emoji1787] Lissu na Mbowe watakuja kugombana tu
Uliloandika unadhani yeye mjinga kwamba hajui chochote?.Liberatus Mwangombe sio mtanzania alishachukua uraia wa Marekani. Wanamchora tu na hiyo michezo yake ya kitoto siku akijaa atajua hajui 🤣
Ila wewe ,unadhani mama hajui kinachoendelea kuhusu hilo ?Hoja ya Lissu ina nguvu , naiunga mkono , wanafiki wanaomdanganya Hangaya ndio wanatumia picha hizi kupotosha jamii , hatutakubali
Hii ina uhusiano gani na mada tajwa?akili ndogo utaijua tu. nchi hii ifutwe waumbwe wengine. ssaa wewe una faida gani interms of kuleta mabadiliko?
Huku niliko ndio kunakucha muda huu, nimelala kwa amani kabisa 🙂.Kwa hiyo umekosa hadi usingizi ulivyoona hayo?Kwa nini unajipa homa?Acha kumfuatilia kama ambavyo hana muda na wewe.
Tena hii ni mara ya nyingine Lissu anarudia kosa la kijinga, nakumbuka alifanya mazungumzo ya faragha na mheshimiwa rais akiwa Ubelgiji, harakaharaka akakimbilia mitandaoni kuropoka walichoongea. Hajui ni wakati gani wa kuongea na wakati gani wa kunyamaza, hana uvumilivu kabisa.Watu wafuatao huwezi kukaa nao au kufanya nao siasa za ustarabu Tanzania na kuwa chini ya uongozi wa Chama chochote Tanzania hata iweje, labda kichaa ataweza kukaa nao
1: Tundu Lissu (Busara zero, mbishi sana naturally hadi anajibishia yeye mwenyewe)
2: Zitto Kabwe (huyu mnafiki na muongo sana)
3: Dr. Slaa (huyu mnafiki sana)
4: Prof Lipumba, huyu hata hajielewi anafanya nn, hana siasa hana sera hana mwelekeo, but most Prof mwishoni wa kila carrier yao wako confused like Lipumba, so is normal.
Usije jaribu kuingia makubaliano eti mnaongea kupata siasa safi na hao hapo juu, utapoteza muda wako na fedha na kila kitu, ni watu tofauti, sbb haiwezekani, wako hivyo ktk genes zao.