Je, hii kauli ya Lissu ni kukosa hekima, kutokujali au ndio changa la macho kwa wananchi baada ya tuhuma za kulamba asali?

Mimi nilishawaambia zamani tu kuwa lisu #dishlimetilt - upstairs kuna walakini, sijui ni kwa nini hamuelewi?
Naona mnasubiri mpaka aanze kuokota makopo ndiyo muuelewe huo ukweli. Basi endeleeni!
 
Umekurupuka na ugaidi tena. Umedai na kuomba watu wawe focused na masuala matatu, magufuli ameingia vipi?
..Magufuli alijitia ujuaji kwenda JK na Mzena mnajua kilichomtokea.
Unachodai ni nini haswa?. Magufuli amekufa?(inajulikana) kwa uzembe wa Madaktari? au hatuna weledi wa mambo ya Afya?

Wacha ugaidi
 
1. Katiba Mpya.

2. Tume Huru.

3. Tume ya Ukweli, Haki, na Upatanishi.

Kama mambo hayo hayajatekelezwa MABANGO ya kujisifu ya kazi gani?

Na mabango yanatengenezwa kwa kutumia KODI za wananchi wengi wao wakiwa masikini.
Mabango ya kusifu kila kitu afanyacho mkulu yamezidi sasa. Kila anapotimiza majukumu yake ya kikatiba anamiminiwa sifa luluki kana kwamba anawatendea wananchi matendo ya hisani.

Lisu amegusia maeneo nyeti ambayo yanapaswa kufanyiwa kazi kwa haraka, kuliko kuendekeza propaganda za kutaka kumjenga mtu binafsi kwa malengo ya baadaye ya kisiasa. Ukweli upo wazi kabisa ndani ya madai yake.

Hakuna haja ya kutaka kuuzunguka mbuyu, ni lazima chepeo litambulike kama chepeo na wala siyo kupamba lugha na kuliita kijiko kikubwa, kisa eti ni kutaka kumfurahisha mtawala. Uwepo wa maridhiano haiwi sababu ya kutaka kukwepa wajibu wa kuzungumzia makandokando mengine kwa kadiri yanavyojitokeza.
 
Akiwa 'nyumbani kwake' huko Ubelgiji, makamu wenyekiti wa mitandaoni wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu ameandika hivi mtandaoni.
View attachment 2564267

Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano ambaye technically ameshika upande wa mpini?

Si amesema hadharani kuwa mchakato unakuja na utakuwa shirikishi? tena ameyasema hayo baada ya maridhiano na chama cha Lissu!

Kwamba Lissu hana uvumilivu au hakubaliani na msimamo wa chama chake ama ni kukosa tu hekima na busara?

Alafu hili la kudai hela zake kila mara hili ni nini hasa? Kwamba ndio sera yake endelevu? Si alisema amelipwa huyu? 🤣🤣🤣

Na hiyo viza ya Ubelgiji inachukuwa miezi mingapi kuihuisha?? Au ndio yaleyale ya akina Liberatus Mwang'ombe ya kurudi wakati wa uchaguzi alafu wakiangukia pua haooo wanakimbilia zao 'makwao' kwa mabeberu?
Kwa hiyo umekosa hadi usingizi ulivyoona hayo?Kwa nini unajipa homa?Acha kumfuatilia kama ambavyo hana muda na wewe.
 
1. Katiba Mpya.

2. Tume Huru.

3. Tume ya Ukweli, Haki, na Upatanishi.

Kama mambo hayo hayajatekelezwa MABANGO ya kujisifu ya kazi gani?

Na mabango yanatengenezwa kwa kutumia KODI za wananchi wengi wao wakiwa masikini.
Inafaa pia kujiuliza, hizi kampeni hasa ni za nini wakati huu?

Ni nini lengo lake hasa!
 
Akiwa 'nyumbani kwake' huko Ubelgiji, makamu wenyekiti wa mitandaoni wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu ameandika hivi mtandaoni.
View attachment 2564267

Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano ambaye technically ameshika upande wa mpini?

Si amesema hadharani kuwa mchakato unakuja na utakuwa shirikishi? tena ameyasema hayo baada ya maridhiano na chama cha Lissu!

Kwamba Lissu hana uvumilivu au hakubaliani na msimamo wa chama chake ama ni kukosa tu hekima na busara?

Alafu hili la kudai hela zake kila mara hili ni nini hasa? Kwamba ndio sera yake endelevu? Si alisema amelipwa huyu? 🤣🤣🤣

Na hiyo viza ya Ubelgiji inachukuwa miezi mingapi kuihuisha?? Au ndio yaleyale ya akina Liberatus Mwang'ombe ya kurudi wakati wa uchaguzi alafu wakiangukia pua haooo wanakimbilia zao 'makwao' kwa mabeberu?
akili ndogo utaijua tu. nchi hii ifutwe waumbwe wengine. ssaa wewe una faida gani interms of kuleta mabadiliko?
 
[emoji23]

Kaona alichoahidiwa akijatekelezwa ila anaonekana kwenye mabango tu.

Mlipeni 24% kilichobaki ili muendelee kuweka mabango ya maridhiano
Kwani maridhiano kulikuwa na mgogoro upi? Hawa watu wanabembelezwa sana na hawana utu. Eti mikutano ya hadhara, utoto mtupu! Kama walikataa uchaguzi baada ya kugaragazwa vibaya 2020, wakumbuke kwamba hatujafanya uchaguzi mpya, rais huyu pia alitokana na uchaguzi ule. Walimkataa jpm lkn wsnamkubali huyu, halafu wote wanatokana na ccm ile ile ambayo wanadai iliiba kura.
 
1. Katiba Mpya.

2. Tume Huru.

3. Tume ya Ukweli, Haki, na Upatanishi.

Kama mambo hayo hayajatekelezwa MABANGO ya kujisifu ya kazi gani?

Na mabango yanatengenezwa kwa kutumia KODI za wananchi wengi wao wakiwa masikini.
Mnajisumbua akili bure.
Tume ya ukweli na haki ya kazi gani? Tume huru ya uchaguzi mnafikiri ndo itakuwa na watu gani ili iwe huru?
Katiba pendekezwa ipo so ili tuendelee tutaanzia pale tulopoishia kwa mujibu wa sheria.
 
Akiwa 'nyumbani kwake' huko Ubelgiji, makamu wenyekiti wa mitandaoni wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu ameandika hivi mtandaoni.
View attachment 2564267

Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano ambaye technically ameshika upande wa mpini?

Si amesema hadharani kuwa mchakato unakuja na utakuwa shirikishi? tena ameyasema hayo baada ya maridhiano na chama cha Lissu!

Kwamba Lissu hana uvumilivu au hakubaliani na msimamo wa chama chake ama ni kukosa tu hekima na busara?

Alafu hili la kudai hela zake kila mara hili ni nini hasa? Kwamba ndio sera yake endelevu? Si alisema amelipwa huyu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na hiyo viza ya Ubelgiji inachukuwa miezi mingapi kuihuisha?? Au ndio yaleyale ya akina Liberatus Mwang'ombe ya kurudi wakati wa uchaguzi alafu wakiangukia pua haooo wanakimbilia zao 'makwao' kwa mabeberu?
Hizo ndo sifa za walamba Asalj
 
Inaoneka huko belgiji game ni tight sana sahizi
Sio sa hizi huko ni choo cha kike.
Kuna kila kabila la kiafrica unalijua ww,yaani wana kijiji kabisa wanakula ugali kisamvu na mbawa za kuku kwa mama ntilie wa kicongo na west wametapakaa huko
Adanganye mengine watu washapita huko zamani sana sana
 
Liberatus Mwangombe sio mtanzania alishachukua uraia wa Marekani. Wanamchora tu na hiyo michezo yake ya kitoto siku akijaa atajua hajui 🤣
Uliloandika unadhani yeye mjinga kwamba hajui chochote?.
 
Tokea lini Lissu ana hekima?
Watu wafuatao huwezi kukaa nao au kufanya nao siasa za ustarabu Tanzania na kuwa chini ya uongozi wa Chama chochote Tanzania hata iweje, labda kichaa ataweza kukaa nao

1: Tundu Lissu (Busara zero, mbishi sana naturally hadi anajibishia yeye mwenyewe)
2: Zitto Kabwe (huyu mnafiki na muongo sana)
3: Dr. Slaa (huyu mnafiki sana)
4: Prof Lipumba, huyu hata hajielewi anafanya nn, hana siasa hana sera hana mwelekeo, but most Prof mwishoni wa kila carrier yao wako confused like Lipumba, so is normal.

Usije jaribu kuingia makubaliano eti mnaongea kupata siasa safi na hao hapo juu, utapoteza muda wako na fedha na kila kitu, ni watu tofauti, sbb haiwezekani, wako hivyo ktk genes zao.
 
Tena hii ni mara ya nyingine Lissu anarudia kosa la kijinga, nakumbuka alifanya mazungumzo ya faragha na mheshimiwa rais akiwa Ubelgiji, harakaharaka akakimbilia mitandaoni kuropoka walichoongea. Hajui ni wakati gani wa kuongea na wakati gani wa kunyamaza, hana uvumilivu kabisa.
 
Back
Top Bottom