Yaani mbembelezw muungano kwa mwili wa marehemu?? Mwenyewe alisema anataka afanywe hivyo?? Nadhn nashukuru si ndugu yangu vinginevyo angekiwa ndugu yangu ningeweka historia ktk taifa!!,huwez mzungusha marehemu Kama sanamu la maonesho kwa faida zenu mnaobaki,yy kashamaliza ya duniani,Ni Haki yake kupumzika haraka,kwanza hata wafiwa wanapata faraja mapema ndugu Yao anapohifadhiwa,siku zote za kumzungusha Ni kuwaongezea majonzi wanafamilia
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Ni busara tu, kama wafuasi wa CCM na Serikali walienda kwa kuwa Serikali ilipeleka kule, pointi ni kuwa hawakuomba kupelekewaKama hawana huo utamaduni mbona walienda kuaga
ASSHOLE QUESTIONNinahitaji kufahamu kama ikiwa tumepata msiba wa rais ambaye ni muislamu,je atapata heshima ya kuagwa kama anayoipata rais ambaye si muislamu?
Au taratibu za kidini zitafuata mkondo wake? Mfano Rais afariki asubuhi mchana wa saa saba azikwe na habari yake iishie hapo?
Ni busara tu, kama wafuasi wa CCM na Serikali walienda kwa kuwa Serikali ilipeleka kule, pointi ni kuwa hawakuomba kupelekewa
Mzee uzuri wa uislamu hata kama wew ni malkia elizabeth zitafuatwa tu, tena kama wazee wameshika dini hata kaburi lako halitajengewa kama maalim seif,kwa upande wa wenzetu ukienda kwenye makaburi yao unajua kabisa huyu alkuwa anajiweza huyu hajiwez a njoo huku kwetu makaburi yote udongo tu labda umjue mtu kutokana na kibao chake cha kaburiIla inabidi ili suala waliangalie upya, yaani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu, yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya Watanzania ingekatika kirahisi.
1.Tunaamin kuwa duniani tunapita na malipo halali na ya haki hutoka kwa mungu,hivyo mtu anapokufa huwa anaona nini anachoenda kukipata hasa kama ni wa peponi huwa anaona mnamchelewesha kwenda kukutana na pepo yakeUnaweza nipa sababu ya why mnazika mapema? Sababu yenye mantiki na sio sababu ya utamaduni kama kufuga ndevu, au kuvaa suruali fupi au kuvaa kanzu.
Nipe kitu chenye mashiko like, why so necessary
si ndio upumbavu tunaousema, unawapelekea Waislam maiti wakaiangalie ili iweje? maana wao hawana hizoMkuu kwa sasa serikali ipo chini ya Rais kutoka wapi? Either waliomba au hawakuomba muungano umempeleka JPM zenji
Mbona kwa maalum seif haikua hivyo?Waislam ukifariki asubui,Jioni Tunazika pale Kisutu [emoji120]
si ndio upumbavu tunaousema, unawapelekea Waislam maiti wakaiangalie ili iweje? maana wao hawana hizo
Mbona umemruka maalim seif?Hayati Dr Omar alifariki Alfajir jion yake akazikwa Pemba siku hiyo hiyo
Sheikh Jumbe alizikwa siku hiyo hiyo
Mwamba Abeid Karume alizikwa kesho yake kwa kuwa alipigwa risasi late hours
The same to Simba wa Vita Mzee Rasheed Kawawa
Kiufupi kila Mtu anazikwa kulingana na mila na desturi aliyoishi nayo japo ilikuwa tofauti kidogo kwa Mwakilishi wa Waganga wa Kienyeji kwny Bunge la Katiba mzee Kingunge ambae alikuwa Mpagan lakin akazikwa kwa iman tofauti
kwani nimetoa povu? nimeita kitu cha kipumbavu (kwa maoni yangu) ni kuw ni upumbavu, kwani kuna kosa hapo?Mkuu wao hawajakasirika wewe povu la nini? Zenji kuna wakristo pia na makanisa yapo mengi tu
👉👺💀☠️Binafsi na wengine wengi wenye akili hujua kwamba Mungu yupo.
Labda mtu asie na akili ndio ataamini tofauti.
kwani nimetoa povu? nimeita kitu cha kipumbavu (kwa maoni yangu) ni kuw ni upumbavu, kwani kuna kosa hapo?
Nmesema sabab zenye mantiki..hujanipa sabab badokwa mujibu wa dini yetu ya kiislam tumeamrishwa kufanya haraka mambo makuu matatu kwa mwanadamu pindi yatokeapo
kwanza, mtu mwenye kutaka kuslimu akitokea lazima iwe haraka asilimishwe
pili, mwenye kutaka kuoa, ikitokea mtu amefata taratibu zote za kuanzia barua ya posa mpaka mahari bas ndoa yatakiwa ifanyike kwa haraka haina kusubiri
tatu, mtu akifariki hatumueki dini imeamrisha mtu azikwe haraka na wala asinadishwe kama marehem raisi anavofanywa, kuna aibu ndogo ndogo za maiti lazima zisitiriwe na bahati nzuri wanaobahatika kukuona ni baadhi ya ndugu zake sio wote
kwa hiyi tunafata vile tumeamrishwa na Allah S.W
mwengine anaruhusiwa kunisahihisha
Sababu ni respect na kumuaga tu...hakuna nyingne..huoni watu wanavyomlilia..pumbavu nipe sabab zaa y mnawah mzika ingali watu wanawish wamuageSabbau ya msingi ya kumchelewesha marehemu na kumzungusha Kama gari bovu Ni Nini?? Yaan nn tumepqta kama taifa kwa kumfanyisha ziara marehemu??
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Nmekuuliza nawee unaniuliza.una akiliNa sababu yenye mashiko ya kuzungusha maiti barabarani wiki moja ni ipi?
Au ya kukaa na marehemu hata siku 5 ni ipi kama sio huo huo utamaduni?
Hyo namba mbili ni off kabisa...ulishawai mskia mtu aliyeko kwenye koma ...akizinduka huwa anasimulia nn.?hebu google au ingia youtube kdogo1.Tunaamin kuwa duniani tunapita na malipo halali na ya haki hutoka kwa mungu,hivyo mtu anapokufa huwa anaona nini anachoenda kukipata hasa kama ni wa peponi huwa anaona mnamchelewesha kwenda kukutana na pepo yake
2. Kwenye mwili wa binadamu kinachotoka ni roho hivyo mwili wake unahisi na kushuhudia kila kitu hvyo kama ukimfinya ataumia,ukimsema atasikia hivyo ukimpeleka kwenye friji yale maumivu atayaskia vile vile kama yuko hai tofauti yake itakuwa ni hawezi kusema tu, hivyo tunaamini kumtembeza na yote hayo ni kama mateso kwa marehemu
Ngoja tusubiri tuone itakuaje, maana hata ukisema kwa Marais wastaafu trends ilivyo ni kama hapa chini,Ninahitaji kufahamu kama ikiwa tumepata msiba wa rais ambaye ni muislamu,je atapata heshima ya kuagwa kama anayoipata rais ambaye si muislamu?
Au taratibu za kidini zitafuata mkondo wake? Mfano Rais afariki asubuhi mchana wa saa saba azikwe na habari yake iishie hapo?
Hata Yeye alifariki Mchana Znz kesho yake akasafirishwa kwao kuzikwa , hakutembezwa 'kukata kiu'ya WaombolezajiMbona umemruka maalim seif?
Nahisi kuna mwenye akili mmoja huko juu alikushauri Fungua uzi wako wa malumbano unayohitaji wewe.👉👺💀☠️