Je, ikitokea Rais Muislam amefariki, atapewa heshima zote kama heshima anayoipata Rais asiye Muislam?

Sasa kutokujengea kaburi ndio uzuri. Kuna uzuri gani sasa kwenye hilo?

Nyie watu huwa mnachekesha sometimes.

Ni sawa na mtu aanze kujisifu kukaa kwenye nyumba ya nyasi huku akimcheka anayekaa kwenye ghorofa.
 
Nadhani wewe si mzima,what makes you think this way.Ridiculous.
 
kitu ambacho sijaelewa kwanini wamemzungusha mikoa yote hiyo, tofauti na Baba wa Taifa ingawa nilikua mtoto ila nakumbuka aliagwa Taifa akapelekwa Butiama kuzikwa.
 
Unaweza nipa sababu ya why mnazika mapema? Sababu yenye mantiki na sio sababu ya utamaduni kama kufuga ndevu, au kuvaa suruali fupi au kuvaa kanzu.

Nipe kitu chenye mashiko like, why so necessary

Mtu anapokufa yake ya duniani yamekwisha. Sherehe zote munajifanyia nyinyi mulio hai.
 
Kama una baba yako amewahi kuwa raihs au ni rahisi tumpe dawa ya panya tuangalie itakuaje maana hamimi cjui atazikwa je
*Nyambafu
 
Unaweza nipa sababu ya why mnazika mapema? Sababu yenye mantiki na sio sababu ya utamaduni kama kufuga ndevu, au kuvaa suruali fupi au kuvaa kanzu.

Nipe kitu chenye mashiko like, why so necessary
Mashiko kwako wewe, nini, wakati umeelezwa ni sababu za kiimani. Ndugu yangu kwenye imani na tamaduni za watu wengine wewe huwezi pata mashiko, na ndiyo maana huamini hivyo.
 
tatizo sio kuzikwa tatizo umewafanyia nini watanzania wanao kuzika. kuzika hata Mkimzika kwa saa 1 au siku 20 ni juu yenu. Je kawafanyia nini watu wake.
Sidhani kama ndicho anachotaka kujua, mwenye mada.
 
Sitak sabab za kuambiwa..nataka sabab zenye mantik..yaan kama asipozikwa kutatokea nn kibaya etc...
 
Mashiko kwako wewe, nini, wakati umeelezwa ni sababu za kiimani. Ndugu yangu kwenye imani na tamaduni za watu wengine wewe huwezi pata mashiko, na ndiyo maana huamini hivyo.
Umenena vyema.
 
Sitak sabab za kuambiwa..nataka sabab zenye mantik..yaan kama asipozikwa kutatokea nn kibaya etc...
Km hizo sio za kimantiki baasi..nayafata maandiko yangu!km hujaelewa au ubishi wako binafs kwako byee Broo..but ht ukiamua kumuweka mwezi we muweke tu hakuna baya litakalotokea!

Lakum diyyn kum waliyadiyn!!!
 
Tumien akili..Mungu kawapa akil muweze kuchakata mambo sio mnaenda kama maroboti..tumien akili muslim..ndomana dunia nzima iko against nyiny sabab ni kama maroboti..mnaambiwa jilipue unajilipua kwel.[emoji16]
Kumbe we una yako mengine kwa heri!
 
Inasemekana pia kuwa maiti asipozikwa mapema huwa inateseka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…