100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Israel alishapambana na Hezbollah ambao huwa wanavaa gwanda lakini walipigwa, walichofanya ni kushambulia makazi ya watu na kuua raia.Ni kweli. Ni ngumu sana kupambana na adui anayetumia 'human shields". Hata Osama Bin Laden na magaidi wengi wa pande hizo wanapenda sana kunitumia na ndio maana inakuwa hida sana kupambana nao. Lakini, ingekuwa ni battle ya askari kwa askari katika Uwanja wa vita, mbona mapema tu!
Russia kawamaliza ISIS pale Syria na walikua wanavaa nguo za kiraia.