Je kati ya mwanamke na mwanaume nani anafaidika sana kwenye mahusiano ama ndoa ?

Je kati ya mwanamke na mwanaume nani anafaidika sana kwenye mahusiano ama ndoa ?

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
naomba mnisaidie kujibu ili swali

maana watafiti hewa wamenichanganya na mchoro wao huu chini

gender benefits.jpg
 
Waache mishangazi ili wawe wakabaji? Mishangazi ni fursa, atakayeitumia fursa vizuri anapata manufaa anayeitumia vibaya atajuta baadae. Vijana msiwasiklize hawa matapeli wao hawataki kustaafu halafu wanataka wawazibie nyie fursa adhimu hizo, mimi nasema endeleeni nao mishangazi yenu na muichune kisawasawa.
 
🤣🤣 aaaaah weeee punguza hasira
Nimetumia ile principle ya kumwambia mtu anachotaka kusikia.

Kwa kweli sioni wanachopata wanaume 😂😂 Kwahiyo bora wajitoe tu.

We unaona je? Kuwa na mtu ana nguvu kama wewe, ana mwili kama wako, ana pesa kama zako (as if wanaume wote wanapesa) excuse my manner.

I think it will be more funnier.
 
Nimetumia ile principle ya kumwambia mtu anachotaka kusikia.

Kwa kweli sioni wanachopata wanaume 😂😂 Kwahiyo bora wajitoe tu.

We unaona je? Kuwa na mtu ana nguvu kama wewe, ana mwili kama wako, ana pesa kama zako (as if wanaume wote wanapesa) excuse my manner.
Haya mambo ya pesa yamevuruga sana mahusiano 🤣 na maana ya upendo🤣
 
Back
Top Bottom