min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Ndoa za hivyo ni bora zisiwepo kabisaNdoa za siku hizi ni za kutunishiana misuli bibi na bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoa za hivyo ni bora zisiwepo kabisaNdoa za siku hizi ni za kutunishiana misuli bibi na bwana
Nawamudu hawa usiwe na pureshaMi sijasema , umesema wewe 😂😂😂😂
Mnatest km incubator iko vizuri na kujua usiriazi wetu,😁😁😁😁😁😁
Nilishuhudia bwana anavuta Sportsman bibi naye anaaigiza SM au EmbassyNdoa za hivyo ni bora zisiwepo kabisa
Eeh muhimu sana, mambo ya kutia huruma ndoani hayafaiMnatest km incubator iko vizuri na kujua usiriazi wetu,
Hapo nimepoa sasa 😂😂😂Nisamehe mdogo wangu mzuri.
Unajua kwanini nimejibu vile? Hii mada ishaletwa mara nyingi sana, na mwanzo ilikuwa inajadiliwa serious not anymore! 😂
Shemeji leo umeenda OPWanawake tunafaidika na kila kitu, wanaume hawafaidi na chochote. Hivyo ni vyema mkaendelea kuhamasishana kujiondoa kwenye mahusiano/ndoa.
Au kuna option ile nyingine.
Itabidi tuhamie kule mkuu 😃😃😃Bora Chaputa mbona hawana haya? 😂
😀😀😀Nilishuhudia bwana anavuta Sportsman bibi naye anaaigiza SM au Embassy