Je kati ya mwanamke na mwanaume nani anafaidika sana kwenye mahusiano ama ndoa ?

Waache mishangazi ili wawe wakabaji? Mishangazi ni fursa, atakayeitumia fursa vizuri anapata manufaa anayeitumia vibaya atajuta baadae. Vijana msiwasiklize hawa matapeli wao hawataki kustaafu halafu wanataka wawazibie nyie fursa adhimu hizo, mimi nasema endeleeni nao mishangazi yenu na muichune kisawasawa.
 
🀣🀣 aaaaah weeee punguza hasira
Nimetumia ile principle ya kumwambia mtu anachotaka kusikia.

Kwa kweli sioni wanachopata wanaume πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwahiyo bora wajitoe tu.

We unaona je? Kuwa na mtu ana nguvu kama wewe, ana mwili kama wako, ana pesa kama zako (as if wanaume wote wanapesa) excuse my manner.

I think it will be more funnier.
 
Haya mambo ya pesa yamevuruga sana mahusiano 🀣 na maana ya upendo🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…