Je kati ya mwanamke na mwanaume nani anafaidika sana kwenye mahusiano ama ndoa ?

Wapi nitapata mshangazi wa kunilea? Nina kila kitu isipokuwa pesa na mahali pa kula ama kulala
 
Wanawake tunafaidika na kila kitu, wanaume hawafaidi na chochote. Hivyo ni vyema mkaendelea kuhamasishana kujiondoa kwenye mahusiano/ndoa.

Au kuna option ile nyingine.
Eeeh ndio, ili wafaidike waambatane na wanaume wenzao nimefungua code
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Swali gumu sana?
Ukitaka kujua nani anafaidi mwanamke awe na pesa kwanza kabisa atafikiria kukaa pekeyake
Lakini napo bible ishasemaga
Mwanaume utakula kwa jasho
Mwanamke atazaa kwa uchungu
Asa mwanamke yeye akishazaa kwa uchungu basiiiiiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mzee tutafute hela
 
Ndoa ifanyike kwa dhumuni la kuwajenga watoto katika misingi mizuri ya malezi bora na maadili na sio kutazama nani mnufaika kwa ndoa kati ya wanandoa wawili tu.
Ndoa za siku hizi ni za kutunishiana misuli bibi na bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…