Mtu aliyetumia Billion 12 kutibiwa atajali katiba huyu?Alipoenda kutibiwa India akakaa sana huko nina wasiwasi na whahindi walichofanya, kuna fyuzi ziling'olewa kwa huyu baba. Yaani hana hata aibu. Lakini haya mambo yana mwisho
Chadema wameamua kuwafukuza uanachama wanachama wao kwa vifungu vya katiba yao.Mimi ninachosimamia sio Ndugai, ninachosimamia ni taratibu. Ndugai bado hajavunjwa katiba sasa hivi. CHADEMA wafuate taratibu, then waje kulalamika. Kama walivyokuja na taarifa kwamba hata form za kina Mdee bado zipo ofisini kwao, wafanye hivyo.
Kama unafuatilia siasa za US, utaona team Trump inavyodharirika mahakamani. Ni rahisi kupiga domo, lakini bila documentation hamna kitu mfumo unawezakufanya
PointlessMtu aliyetumia Billion 12 kutibiwa atajali katiba huyu ?
Yalipofanyika hatua gani zilichukuliwa? Kwanini tunapenda kulalamika tu?Yalifanyika kwa Mwambe na kwa akina Silinde,Lijuakali,Lwakatare n.k,lakini matokeo yake yalikuwaje mjomba?.
Wapeleke taarifa TumeChadema wameamua kuwafukuza uanachama wanachama wao kwa vifungu vya katiba yao.
Hivi sasa ubunge wa akina Halima hauwahusu.
Hawana haja ya kwenda mahakamani kumfukuza uanachama halima.
Bora tungeambiwa hivyo, wala sio kubwa ila inavunjwa sanaaa kwa wenye uelewa wanajua mengi sanaMbona hatuja sikikia JPM kama C in C akisema kila mtanzania kulala mwisho saa mbili usiku?
Ili iweje sasa we mzee bana?Wapeleke taarifa Tume
Nafikiri hila la Spika ni dhahiri kabisa Katiba imevunjwa tena ibara ya 71(1)(e). Huko kwingine ni ibara gani inavunjwa?Bora tungeambiwa hivyo, wala sio kubwa ila inavunjwa sanaaa kwa wenye uelewa wanajua mengi sana
Yapo mengi tu, umesahau hata lile la Lema kunyimwa dhamana kwa maagizo toka juu? Na mengine mengi tu.Nafikiri hila la Spika ni dhahiri kabisa Katiba imevunjwa ten ibara ya 71(1)(e). Huko kwingine ni ibara gani inavunjwa?
Ahaaa. Hizo ni hisia tu dhamana aliponyimwa Hakimu alisema nini?Yapo mengi tu, umesahau hata lile la lema kunyimwa dhamana kwa maagizo toka juu? Na mengine mengi tu.
Hahahaahhaahhaa Ubunge wakujitegea nini?"......... mbunge atapoteza ubunge wake kama uanachama wake utakoma kwenye chama kilichompa ridhaa ya kugombea ubunge." - (Wale 19 hawakupewa ridhaa na chama chao, bali walipewa ridhaa ya kuapishwa kuwa wabunge na mamlaka nyingine ambayo siyo CHADEMA) kwa hiyo hawatapoteza ubunge wao na mimi nawashauri wasijiuzuru kwa sababu spika amesema ni wabunge halali na CDM haina ugomvi na ubunge wao kama watakuwa wabunge wa kujitegemea.
Oohh!! Basi hata ishu ya ndugai kwako bado huamini km sheria inavunjwa.Ahaaa. Hizo ni hisia tu dhamana aliponyimwa Hakimu alisema nini?
Siamini vipi? Mimi nimeona kabisa ibara ya 71(1)(e) imevunjwa.Oohh!! Basi hata ishu ya ndugai kwako bado huamini km sheria inavunjwa.
Ulishudia kwa macho yako kura zinaibiawa? Au picha za wahuni wa Twitter ndio ushahidi wako?
Kafuatilie ndio utajua pia,Siamini vipi? Mimi nimeona kabisa ibara ya 71(1)(e) imevunjwa.
Umesema vema mkuu. Uwendawazimu wote unaoendelea hapa nchini umeanzishwa na una baraka zote za yule mzee mpaka nimeanza kuamini uenda kweli sio mtanzania. Yaani kavuruga kila kitu. Sasa mfumo mzima umejaa wendawazimu!Baada ya mtu mmoja kukanyaga kanyaga katiba,sheria,kanuni na taratibu,kila mmoja huko chamani na serikalini ni full kuiga bwana yule.
Hakuna "rule of law" tena huko Tanzania.
Kila mtu ni kambale.