Je, kuna baadhi ya Familia zimebarikiwa?

Connection ni muhimu sana kwenye kufanikiwa pia.

Usi Log Out mkuu tutakosa mawazo yako yaliyo tukuka kama haya.
 
Umegongelea msumari kiongozi. Big up
 
Nimekataa tamaa kwa kweli sioni njia ya kutoboa mimi binafsi. Ninachoshukuru ni kwamba mtoto wangu amefanikiwa na ameshaanza kujitegemea so sina mzigo wowote. Nakula vzr lakini mafanikio binafsi hayapo.
Usikate tamaa, ila kama umeweza kukuza watoto wako na wana jitegemea kuna kazi kubwa umefanya.
 
Malezi
 
It's true kuna families ni blessed wanafanikiwa na kuna families ni cursed wanalaaniwa. Blessing na curses zinatokana na karma za matendo ya wazazi wao. Familia zenye mafanikio, wazazi wao walitenda mema, familia zenye majanga, wazazi wao walifanya majanga.

Baraka na laana ni mambo ya powers, vibali na karma. Karibu mitaa hii

- "Will Powers!", "Faith Healing!"-Nguvu za Kufanya Miujiza ya Uponyaji kwa Imani. Kila Mtu Anazo!

- Vijana Waahidiwa Utajiri Kwa Shurti la Kuweka Agano la Kutohama Efata-Mtume na Nabii Mwingira!.

P
 
Can you break generational curses?

If yes, how?
 
Safi mkuu,waelekeze pia namna ya kuvunja hizo generational Curses
 
Mkuu umetema madini kweli kweli.

Je hao wasio hama kwenye kanisa lake wana pokea makontena toka China ? Wana fanikiwa kwenye mambo yao?
 
sure
 
Kwetu sisi wote vipanga.
mnaweza kuwa wote vipanga lakini bado msiwe na mafanikio sana
Hii ni kama unaongelea ukipanga wa darasani
liko kabila ambalo wamebarikiwa sana kuwa vipanga na akili nyingi lakini yetu mkoa wao uko kwenye list ya mikoa masikini nchi hii.
Kinachotakiwa hapo ni ukipanga uwe wa juu sana au moderate lakini wana mafanikio makubwa kimaisha nitatolea mfano familia ya MO na Bakhresa.
Hawa kielimu wako moderate sio vilaza sana wala sio vipanga sana lakini wana mafanikio makubwa mno kiuchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…