Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
- Thread starter
-
- #581
Unamfaham illuminatiGermany, Na nchi nyingi bara la ulaya wanautambua uchawi, Na kipo chuo cha uchawi ( Humo wanafundishana rituals na mambo mengi )
Kwahiyo tengua kauli kuwa ni Africa na Asia
Wewe ni ...... hata hujanielewaNdiyo, ni dhahiri ulikuwa hujui. Sabb ungejua wala usingekomalia kwamba majina ya mwisho ya mtoto ni lazma yawe ubin wa baba.
yes majina watapewa utotoni.
point yako ya majina nimekuzima imeisha, umehamia nyingine. Hahahah!
Hiyo hiyo point yako ya date of birth pia nayo nakuprove wrong,
👇🏽
ifanyike experiment, watoto watano (5) waliozaliwa siku moja kisha wapewe majina yanayofanana mpaka ubin. Wote wote watano (5) wapewe full name liwe MAYER AMSCHEL ROTHSCHILD.
Je, unataka kutuaminisha kwamba date of birth na majina yatadetermine watakua vip, au watakuwa akina nani? 🤔
Si umesema jina linaumba, sasa je hao watakuwa kama MAYER AMSCHEL ROTHSCHILD?
Horoscope ni utapeli, jina na DOB haviamui hatma ya mtu.
Sasa kama unakubali kuwa imani ya uchawi imejenga mizizi kwenye jamii katika maisha yao ya kila siku basi ndio maana mimi nikataka wewe ambaye umezunguka kote huko kutafuta uhalisia basi ndio ungeelezea uhalisia wa mambo ulivyo kutokana na experience yako ya kuzunguka huko na kukutana na hizo imani, sasa cha ajabu unasema umezunguka kote huko halafu et umekutana na masimulizi tu tena unafananisha na issue ya kuibiwa nyeti na kusema ndio imani za uchawi zilizopo kwenye jamii.Hamna mtu aliyepinga, lakini kwa upande wangu nadhani na wadau wengine hatakubaliani kwa stori tu. Wewe ndiye unayejua uje uelezee na ukiulizwa swali sio unazunguka kujitetea na kuprove you are right. No one needs to know if you are right or no what we need ni kufahm ukweli wa yanayosemwa.
Ukisema Kuna majini, vibwengo na vitu vingine elezea na pengine onesha mfano ili dai lako liwe la kweli.
Wewe hiyo chuma ulete unaisikia tu hauelewi hauna hata maelezeo kujua inafanywa vp(bila kujali kama chuma ulete ni kweli) ila unaenda kuipinga kisa tu haujasikia madai ya chuma ulete bank.Ukitaka kujua masuala ya chuma ulete ni upuuzi, yaani target yao inasemekana ni kupata pesa kimiujiza kupitia biashara yako, mahali kama bank ndio pesa zipo lakini pesa za bank ili utoe au uweke lazima ziwe verified na program ya computer ambayo sidhani kama computer hudanganya zaidi ya kufuata maelekezo yake. Sasa huo wizi wa kimiujiza sijawahi kusikia bank hata siku moja wameibiwa kupitia mtindo huu ukweli ni kwamba huu ni mchezo kama michezo mingine na hamna miujiza ya wizi wa pesa
Tuletee uthibitisho wa benki iliyowahi kuibiwa kupitia chuma ulete, au biashara kubwa ambazo zinaendeshwa kisomi. Sifahamu na pia kwa sasa nadhani ni hofu ya watu kwenye jamii.Wewe hiyo chuma ulete unaisikia tu hauelewi hauna hata maelezeo kujua inafanywa vp(bila kujali kama chuma ulete ni kweli) ila unaenda kuipinga kisa tu haujasikia madai ya chuma ulete bank.
Tatizo mnataka watu tuamini au tukubaliane na nyinyi kitu ambacho kwa mtu anayetumia logic haiwezekani. Hakimu mahakamani huwa hakimbilii upande mmoja na kushikilia huko lazima apime two sides na kutafuta ukweli.Sasa kama unakubali kuwa imani ya uchawi imejenga mizizi kwenye jamii katika maisha yao ya kila siku basi ndio maana mimi nikataka wewe ambaye umezunguka kote huko kutafuta uhalisia basi ndio ungeelezea uhalisia wa mambo ulivyo kutokana na experience yako ya kuzunguka huko na kukutana na hizo imani, sasa cha ajabu unasema umezunguka kote huko halafu et umekutana na masimulizi tu tena unafananisha na issue ya kuibiwa nyeti na kusema ndio imani za uchawi zilizopo kwenye jamii.
Kwa sababu ukisema ni masimulizi tu tafsiri yake ni kwamba hakuna wenye kujihusisha na hayo mambo kwenye maisha ya kila siku isipokuwa ni story tu ambazo watu wanasimuliana basi kama kuibiwa nyeti na ndio maana mmekuwa mkirudia kusema tunatishana.
Sasa inawezekana ikawa sisi tunashindwa kutoa maelezo yenye kueleweka au nyie ndio hamna nia ya kutaka kuelewa ndio maana mara mtasema uchawi ni masimulizi hakuna aliyewahi kushuhudia kila mtu kasikia tu, mara mtasema ni placebo effect, mara ni tricks tu, mara magonjwa ya akili, mara ni vitu ambavyo hatuvielewi tu ila sio uchawi.
Sijawahi kusikia bank ikidai imeibiwa kwa chuma ulete ila wewe unaniambia nikuletee utbibitisho wa bank kuibiwa kwa chuma ulete!Tuletee uthibitisho wa benki iliyowahi kuibiwa kupitia chuma ulete, au biashara kubwa ambazo zinaendeshwa kisomi. Sifahamu na pia kwa sasa nadhani ni hofu ya watu kwenye jamii.
Hakuna hata wenye kuwalazimisha kukubali uchawi hapa wenyewe ndio mmeleta mada halafu watu wakichangia kutokana na experience zao mnaona mnalazimishwa kukubali uchawi, mnaita watu wajinga wengine mnasema wazi mnatamani hata kurusha ngumi tungekuwa karibu.Tatizo mnataka watu tuamini au tukubaliane na nyinyi kitu ambacho kwa mtu anayetumia logic haiwezekani. Hakimu mahakamani huwa hakimbilii upande mmoja na kushikilia huko lazima apime two sides na kutafuta ukweli.
Sasa kama mimi namfahamu uchawi ni Imani potofu za kwenye jamii. Hazina uthibitisho halisi unataka nielezee nini tena ndio nilicho kuona siwezi kurukia kueleza nisiyo ya fahamu kwa lengo la kufurahisha watu.
Toa maelezo yaliyonyooka huo uchawi uliona wapi, ni tukio gani na je hicho kitu root yake ni uchawi maana kuna matukio ya kawaida mtasema ni uchawi kwasababu ya kutokujua kitu. Hivi ndivyo tutaelewan sio uzunguke kuattack watu alafu unatoa weak points kwaajili ya kujitetea.
Hadi sasa my main point ni matukio mengi yanayoitwa uchawi ni tafsiri ya kutoelewa chanzo halisi si kama tunavyodhani. Mkuu ungetoa uchambuzi wako alafu ntakuja na mifano kadhaa kwenye jamii ukichunguza utagundua hamna uchawi kuna reason nyuma yake.
min -me Yoda mbona huyu mdau anajitetea sana?Hakuna hata wenye kuwalazimisha kukubali uchawi hapa wenyewe ndio mmeleta mada halafu watu wakichangia kutokana na experience zao mnaona mnalazimishwa kukubali uchawi, mnaita watu wajinga wengine mnasema wazi mnatamani hata kurusha ngumi tungekuwa karibu.
Sasa kama mnaona sie michango yetu inataka tuwafanye nyie mkubali uchawi basi ndio maana hatuwezi kuelewana maana wenzetu kumbe mnapambana ili msiaminishwe hizo imani.
Cha kufanya wewe njoo na hiyo mifano ya kwenye jamii na uelezee reason nyuma yake maana ndio kitu ambacho nilitaka ili tujifunze.
SawaAc
Uongo
Muelewe tu mkuu, wabongo wengi hawajazoea mijadala na midahalo migumu kama hii inayotanguliza facts mbele. Hata hivyo hapa JF watu wanajitahidi kuwa na uvumilivu, mdahalo kama huu ukiupeleka mtaani mfano bar au kwenye kijiwe cha kahawa utaleta mtafaruku mkubwa sana na kutoelewana. Mtaani nje ya JF watu wengi wanaopiga story za uchawi, mapepo, majini n.k Mimi huwa hata huwa sibishani nao mara nyingi, nawasikiliza tu then naishia kuwapuuza.
Kaka sio Siri Mimi NAOGOPA SANA SANAAAAAA kumgusa mtu beganii asije sema IMEPOTEA nikazua TAHARUKIIMtu kama Chizi Maarifa, ukimgusa tu lazima aseme nyeti yake imepungua 😂.
Maana nimeona Uzi wake akiwatetea wanaodai wamebakiwa na vibamia baada ya kuguswa bega.
Bwana mdogo yule alinikoromea kiasi cha kushangaza....Halafu unaweza kukuta uliyemgusa ni Monetary doctor 😂😂.
Mzee Yoda, unasimama upande upi wa uchawi upo au haupo?Muelewe tu mkuu, wabongo wengi hawajazoea mijadala na midahalo migumu kama hii inayotanguliza facts mbele. Hata hivyo hapa JF watu wanajitahidi kuwa na uvumilivu, mdahalo kama huu ukiupeleka mtaani mfano bar au kwenye kijiwe cha kahawa utaleta mtafaruku mkubwa sana na kutoelewana. Mtaani nje ya JF watu wengi wanaopiga story za uchawi, mapepo, majini n.k Mimi huwa hata huwa sibishani nao mara nyingi, nawasikiliza tu then naishia kuwapuuza.
Hakuna uchawi mkuuMzee Yoda, unasimama upande upi wa uchawi upo au haupo?
Halafu cha ajabu wakishughulikiwa huwa uchawi hausaidii.Anayeamini uchawi muacheni, sababu ni ujinga wake ndio unamtuma hivyo... ila akisababisha taharuki au madhara kwa jamii lazima ashughulikiwe,.. tena ashughulikiwe vikali bila huruma!
Kaka, kaka , kaka.Hakuna uchawi mkuu
Uzuri mmoja JF kweli watu wengi ni waelewa. JF ni tofauti na social media kama Facebook. Huwa napenda sana mijadala ya humu na baadhi ya wachangiaji wanaofikiria nje ya box. Ingawa Kuna vilaza wenye point hafifu, they don't think out if box.Muelewe tu mkuu, wabongo wengi hawajazoea mijadala na midahalo migumu kama hii inayotanguliza facts mbele. Hata hivyo hapa JF watu wanajitahidi kuwa na uvumilivu, mdahalo kama huu ukiupeleka mtaani mfano bar au kwenye kijiwe cha kahawa utaleta mtafaruku mkubwa sana na kutoelewana. Mtaani nje ya JF watu wengi wanaopiga story za uchawi, mapepo, majini n.k Mimi huwa hata huwa sibishani nao mara nyingi, nawasikiliza tu then naishia kuwapuuza.