Na suluhisho kuwapa watu elimu iliyo bora na sio kulaumu wanayoyafanya kwa huko kukosa kwao elimu, unakuta hadi leo bado watu wanampima mtu ukimwi kwa kuangalia muonekano wa mtu.Miaka inavyozidi kwenda ndio watu wajinga wanaongezeka
Ndio maana nimesema sawa mkuu ongea wewe mimi nanyamaza maana inaonekana huwa nakukwaza sana.Wewe ndio unaropoka upo, hivyo thibitisha kama upo ,maneno yako ya porojo ni kama hadithi za nyeti kupotea tu , nimekupa njia za kuthibitisha bado unaleta porojo tu
Haunikwazi popote pale , kwanza sikujui , just mdau kama nilivyo mimi , unadai uchawi upo , thibitisha ukweli huo ili tuweze kutofautisha huu ni uchawi na hizi ni propaganda tu kama zile za nyeti kuibiwaNdio maana nimesema sawa mkuu ongea wewe mimi nanyamaza maana inaonekana huwa nakukwaza sana.
Pigia mstari ushahidi wa "kutosha wa kisayansi", Sayansi inaenda na ushahidi(facts), pia kuna baadhi ya facts za kisayansi hasa zinazohusiana na biology zinabadilika kwa sababu ya mambo mbalimbali kama vile hali ya hewa, life style, resistance na hata kupanukan kwa elimu na teknolojia.Sio hivyo tu, kwenye miaka ya 1960s watu waliaminishwa nadharia potofu kuhusu cholestrol na hadi kutiwa hofu kula vyakula vyenye cholestrol, ila baadaye ikajulikana watu walijazwa hofu kwa kitu ambacho hakikuwa na ushahidi wa kutosha wa kisayansi.
Ungelifahamu hilo suala lilivyokuwa hata usingetoa majibu hayo.Pigia mstari ushahidi wa "kutosha wa kisayansi", Sayansi inaenda na ushahidi(facts), pia kuna baadhi ya facts za kisayansi hasa zinazohusiana na biology zinabadilika kwa sababu ya mambo mbalimbali kama vile hali ya hewa, life style, resistance na hata kupanukan kwa elimu na teknolojia.
Sawa mkuu hakuna uchawi wewe umeshinda, umeweza kuthibitisha kuwa uchawi hakuna kama ilivyothibitika ukimwi haukuwa uchawi.Haunikwazi popote pale , kwanza sikujui , just mdau kama nilivyo mimi , unadai uchawi upo , thibitisha ukweli huo ili tuweze kutofautisha huu ni uchawi na hizi ni propaganda tu kama zile za nyeti kuibiwa
Nafahamu vizuri sana pia kwamba big corporations huwa zinatumia pesa kupindisha na kuchafua tafiti za kisayansi na sera za afya kwa faida zao na maslahi binafsi.Ungelifahamu hilo suala lilivyokuwa hata usingetoa majibu hayo.
Kamfano kadogo tu haujaona wa nyeti walivyo umbuliwa ?Sawa mkuu hakuna uchawi wewe umeshinda, umeweza kuthibitisha kuwa uchawi hakuna kama ilivyothibitika ukimwi haukuwa uchawi.
Ndio hivyo mkuu tafiti hazifanywi bure hivyo majibu lazima yamfurahishe aliyetoa pesa zake, hali ndio ipo hivyo.Nafahamu vizuri sana pia kwamba big corporations huwa zinatumia pesa kupindisha na kuchafua tafiti za kisayansi na sera za afya kwa faida zao na maslahi binafsi.
Sio lazima.Ndio hivyo mkuu tafiti hazifanywi bure hivyo majibu lazima yamfurahishe aliyetoa pesa zake, hali ndio ipo hivyo.
Haina haja mkuu kwenye haya maisha watu wana experience zao tofauti, ndio maana unakuta watu hawaamini Mungu ila wanaamini vitu vyengine kutokana na experience yake na hicho kitu japo hakuna ushahidi wa kisayansi.Kamfano kadogo tu haujaona wa nyeti walivyo umbuliwa ?
Ila madai ya uwepo wa uchawi umeyatoa wewe , ungefanya kuni prove wrong
Mtu akupe pesa zake ili ufanye utafiti kuhusu tiba ya maji ya kunywa?Sio lazima.
Nataka unielezee upana wake , wewe kila siku unadai hivi , tukipinga unalalamika kuna kitu hatuelewiHaina haja mkuu kwenye haya maisha watu wana experience zao tofauti, ndio maana unakuta watu hawaamini Mungu ila wanaamini vitu vyengine kutokana na experience yake na hicho kitu japo hakuna ushahidi wa kisayansi.
Masuala ya imani za kichawi ni mapana sana kuliko hiki kinachobishaniwa humu mitandaoni.
Kwamba sayansi ni ujinga mtupu? 🤔Sayansi ni ujinga tupu, eti tumeona mwezi sehemu ambayo binadamu hawajawahi ona wamejuaje kama ni upande hatujawahi ona?
Kawaida sana,Mtu akupe pesa zake ili ufanye utafiti kuhusu tiba ya maji ya kunywa?
Yes, wafanyabiashara aggressive will do that just to get pesa. Hata kwenye sayansi watu wanapigwa.Nafahamu vizuri sana pia kwamba big corporations huwa zinatumia pesa kupindisha na kuchafua tafiti za kisayansi na sera za afya kwa faida zao na maslahi binafsi.
Nieleze tena mkuu wakati ushasema unataka uthibitisho na si maneno matupu? Unajua hata nyie mngekuwa mnatoa maelezo yenye kueleweka basi hata sie tungeona hicho mnachodai mmefanya utafiti kuhusu uchawi lakini haipo hivyo tukijaribu kuelezea mnakimbilia kudai uthibitisho.Nataka unielezee upana wake , wewe kila siku unadai hivi , tukipinga unalalamika kuna kitu hatuelewi
Mapenzi ,kesi ,ugomvi maradhi unathibisha vipi ni uchawi na sio sababu nyingine tu ambazo wewe huenda haujazijua ?Nieleze tena mkuu wakati ushasema unataka uthibitisho na si maneno matupu? Unajua hata nyie mngekuwa mnatoa maelezo yenye kueleweka basi hata sie tungeona hicho mnachodai mmefanya utafiti kuhusu uchawi lakini haipo hivyo tukijaribu kuelezea mnakimbilia kudai uthibitisho.
Nimeeleza humu kuwa uchawi unahusika kwenye mambo mengi kama kesi,mapenzi,maradhi,kwenye maugomvi n.k Lakini sisi hapa hatuyajadili hayo kwa kina hapa tunazungumzia zaidi imani potofu kuliko uchawi wenyewe.
Unamwambia mtu akuroge ili ndio ukubali uchawi upo wakati unajua aina ya uthibitisho ambao mnautaka ni ule wa kisayansi tu kwa sababu tofauti na huo hamuwezi kuukubali.
Naomba ufike Tanga wilaya ya Handeni alafu ujue ulete mrejesho.Wazee, I'm curious kufahm hili jambo kwa undani zaidi. Nimetembea hadi Sumbawanga nikitafuta uhalisia wa mambo haya, lakini nilichokutana nacho ni simulizi tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha uwepo wa uchawi.
Inanifanya nione kama hii ni sawa na stori za wanaume kuibiwa nyeti zao zinaenea sana kwa maneno, lakini ukichunguza kwa karibu, unakosa uthibitisho wa wazi na inaonekana ni oketo(ujinga).
Sasa nauliza tena kwa uwazi:
Uchawi upo kweli, au ni simulizi tu zinazojengwa na hofu, imani, au mazingira ya jamii?
Kwa upande wangu binafsi, ninaelekea kuamini kuwa ni stori tu lakini niko tayari kusikia uzoefu au ushahidi kutoka kwa yeyote aliyewahi kushuhudia hili jambo moja kwa moja.
Tafadhali toa hoja sio vitisho!
Kwa msisi kuna kitu gani hao wazigua tumeishi nao miaka na miaka hakuna kitu, na wao ni stories za kusikia tuNaomba ufike Tanga wilaya ya Handeni alafu ujue ulete mrejesho.
Fika hapa
Kwa msisi
Kwadikwazu
Sindeni
Haya ni maeneo baadhi tu.
Hakurogi ufe Ila wanakuroga ujifunze.