MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Sheikh (pia huandikwa Shehe katika baadhi ya maeneo ya Afrika ya Mashariki) ni cheo au heshima inayotolewa kwa mtu mwenye elimu, busara, au uongozi wa kijamii au wa kidini, hasa katika jamii za Kiislamu. Asili ya neno "Sheikh" ni kutoka lugha ya Kiarabu "شيخ" ambayo maana yake ya awali ni mtu mzee au kiongozi mwenye hekima, lakini kadiri muda ulivyopita, neno hili limekuwa likitumiwa pia kumaanisha mtu mwenye maarifa ya dini ya Kiislamu au kiongozi wa kidini.No , uko out of topic mkuu, mada ni viongozi wa dini , na sio mtu binafsi
Amevumbua nini huyo shekhe? au anamsaada gani kwa taifa?Kamsome Sheikh Ahmad Rusaganya advance kasoma PCM na ana masters ya education in physics and mathematics.
Ukitaka wengine nakutajia.
Nipo nakula VIPAPATIO vya samaki.😅😅😅😅... Angalia usije ukala vipapatio vya bundi mkuu
Upo sahihi Sanaa.Watu wanaichukulia poa sana Elimu ya dini. Laiti wangesoma historia za Wanazuoni wetu, wasingeandika huu ujinga. Halafu anamtolea mfano Sheikh Rusaganya ? Anachekesha sana.
Huwa tunawaambia watu hivi "Ijue haki kwanza utawajua wenye haki ni kina nani.".
Na ndio elimu za hao Masheikh, yaani za kudandia dandia. Ni Masheikh wa Muhadhara na matukio.
Dahh 😁😁😁😁Nipo nakula VIPAPATIO vya samaki.
Tupatie cv ya askofu yyt mwenye dr au PhD nikuonyeshe PhD za mashekheSaalam!
Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali.
Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango hicho! Sasa , elimu zinazotolewa na dini ni kulingana na wito wa dini ya kiislamu, au ni utamaduni wao kwamba hakuna haja ya kuwa na elimu nje ya maswala ya dini.?
Nb , uzi huu ni kwa ajili ya kujifunza zaidi
Hakuna haja ya CV , we leta orodha ya mashekhe wenye phD hapa bongo tuwajue, sio phD za ubwabwa au makalio au majini, yaani phD inayohusiana na faculty tofauti na Dini.Tupatie cv ya askofu yyt mwenye dr au PhD nikuonyeshe PhD za mashekhe
Kwa hiyo kikwete alishaingia mskitini kuswalisha? , tunazungumzia maana asilia ya usheikh achana na hayo makorombwezo mengineyo yasiyo na maana.Sheikh (pia huandikwa Shehe katika baadhi ya maeneo ya Afrika ya Mashariki) ni cheo au heshima inayotolewa kwa mtu mwenye elimu, busara, au uongozi wa kijamii au wa kidini, hasa katika jamii za Kiislamu. Asili ya neno "Sheikh" ni kutoka lugha ya Kiarabu "شيخ" ambayo maana yake ya awali ni mtu mzee au kiongozi mwenye hekima, lakini kadiri muda ulivyopita, neno hili limekuwa likitumiwa pia kumaanisha mtu mwenye maarifa ya dini ya Kiislamu au kiongozi wa kidini.
Katika baadhi ya tamaduni, Sheikh anaweza pia kuwa kiongozi wa ukoo au kabila, hasa katika jamii za Kiarabu na Kiislamu. Hata hivyo, matumizi ya neno hili yanaweza kutofautiana kulingana na eneo, mila, na madhumuni.
Soma hizo maana halafu niambie hiyo op unatokea wapi
Ona viazi wengine hawa wa kukurupuka!Amevumbua nini huyo shekhe? au anamsaada gani kwa taifa?
Acha kelele nyingi. Onyesha CV Ya mmoja wao kama kweli wameisoma kwa ngazi hiyo.Hakuna haja ya CV , we leta orodha ya mashekhe wenye phD hapa bongo tuwajue, sio phD za ubwabwa au makalio au majini, yaani phD inayohusiana na faculty tofauti na Dini.
Zinawasaidia mengi, kwanza kuendesha taasis ambazo ziko chini ya kanisa. Vyuo, hospitali, mashule.hizo PhD zinawasaidia nini kwenye masuala ya kikanisa?
😂Al Duktur Mufti Abubakar Zuberi. Ana Masters ya kutangaza kuandama kwa mwezi feki.
Uliwa na miaka 12 diploma ya sharia? From chuo gani kinachotambulika na mamlaka hapa tz? Ni sharia au sheria?Kanisani sasa hawa elimu yenu haijitegemei ..Mimi nikiwa na miaka 12 nilikuwa na diploma ya Sharia ,ningweza kufanya kazi kwenye mahakama za kiislam ,nikikuambia wewe utakubali au mpaka nisome sheria za wazungu ndio utambue 😅😅?
Most of vitu vya wakristo haviwezi kutatuliwa na bible lazima wajiongeze ila uislamu uko complete ; mfano wakristo hata suala la kuvunja ndoa na kugawa mali hawana utaratibu ,hawana utaratibu wa kila kitu ...Sasa chukulia mfano kanisani paanzishwa mradi kama bank au shule ,sasa zile bank hazina mwongozo kutokana na mafundisho yenu ila mnajua riba ni haram lakini mnaziendesha kwa mfumo wa kidunia yaani Mali ya bank ya kanisa ina riba ,shule ya kanisa ina ada ya juu zaidi sio kuwasaidia mayatima .
Wavaa kibazi ni watu wajinga sanaHii ni kati ya mada za kitoto nilizowahi kukutana nazo Jf.
Watu wa dini ni wabobezi kwenye masuala ya dini, kama vile Masheikh, Maulamaa, Maimamu, nk. Hawana haja ya kuwa na PHD dunia.
Dr SuleSaalam!
Mimi binafsi sijawahi husikia kuna sheihk mwenye bachelor degree, masters au hata phd kama ilivyo upande wa maaskofu wa madhehebu mbalimbali.
Sasa pengine mimi ndiye sijui au niko nyuma ya wakati kama ambavyo nafahamu ya kuwa sijawahi kumsikia wala kumwona sheikh msomi kwa kiwango hicho! Sasa , elimu zinazotolewa na dini ni kulingana na wito wa dini ya kiislamu, au ni utamaduni wao kwamba hakuna haja ya kuwa na elimu nje ya maswala ya dini.?
Nb , uzi huu ni kwa ajili ya kujifunza zaidi
Ni PhD, sio phd. Ndugu mleta madaSaalam!

Ila wavaa kobazi sijui nani aliwatenda hivi. Mtu anaambiwa akifa atapata mabikra 72 na yeye anakubali huo ujinga. Mudi alioa katoto kabisaKwahiyo unashindanisha mabingwa wa kukariri.. 😀 😀
PhD kwenye nchi kama hii ni useless maana zinatumika kudai Fungu la 10 badala ya kubadilisha Mind-set za Watumwa..