Je, Kuna sheikh yoyote mwenye masters au phd kama ilivyo kwa maaskofu wengi?

Status
Not open for further replies.
Angalia kwanza kwenye masomo , uislamu una sheria zote za mahakama so unajitosheleza kwa nafasi , inakwua useme askofu ana phd ya sheria kwani bible haina sheria zake za mahakama ..Mkristo lazima usome kwa sababu Bible haina vit vingi kama ilivyo kweny uislamu .Bahati mbaya nikikiumbia nina degree ya sharia hautambui
 
Hii ni kati ya mada za kitoto nilizowahi kukutana nazo Jf.
Watu wa dini ni wabobezi kwenye masuala ya dini, kama vile Masheikh, Maulamaa, Maimamu, nk. Hawana haja ya kuwa na PHD dunia.
Wewe ndo mtoto unawezaje kujenga hoja Kwa dunia ya Leo bila elimu dunia? Ndo maana masheilk matamko na mahitaji yao mara nyingi Yana kuwa classified kama ni ugaidi.
 
Nakupinga! Tena kwa asilimia kubwa sana mkuu, huko uarabuni pia ni watu wavivu kupindukia UAE, Oman wamejaza wataalamu kutoka mataifa ya nje hasa India inahudumia sana ukanda huo

Dubai yale majengo yote unayoyaona yamjengwa na wakandarasi wa kigeni kwa 80% sio vibarua, kazi za ndani nk. kote wanafanya kazi wageni

Lkn elimu ni ugunduzi huwezi kusoma na usiitumie elimu yako kufanya kitu, sasa unaweza kutuambia ni bidhaa ipi waarabu wana shindana na wazungu, ikiwa hata hiyo elimu yao yenyewe wanaipata ulaya na USA
 
Kanisani sasa hawa elimu yenu haijitegemei ..Mimi nikiwa na miaka 12 nilikuwa na diploma ya Sharia ,ningweza kufanya kazi kwenye mahakama za kiislam ,nikikuambia wewe utakubali au mpaka nisome sheria za wazungu ndio utambue πŸ˜…πŸ˜…?

Most of vitu vya wakristo haviwezi kutatuliwa na bible lazima wajiongeze ila uislamu uko complete ; mfano wakristo hata suala la kuvunja ndoa na kugawa mali hawana utaratibu ,hawana utaratibu wa kila kitu ...Sasa chukulia mfano kanisani paanzishwa mradi kama bank au shule ,sasa zile bank hazina mwongozo kutokana na mafundisho yenu ila mnajua riba ni haram lakini mnaziendesha kwa mfumo wa kidunia yaani Mali ya bank ya kanisa ina riba ,shule ya kanisa ina ada ya juu zaidi sio kuwasaidia mayatima .
 
No, inshu sio sheria, kama choice ya mtu ni sheria sawa, but kuna mwingine anaweza kuwa daktar nk. Kwa mfano, wakatorik unapoanza mchakato wa kujiunga na masomo ya upadri muhimu uwe na elimu ya advance ( form six), ndiyo maana huwezi kuta padri ni kilaza, wote wasomi vibaya mno
 
Waarabu wana elimu tofauti kabisa ,wana vyeo vyao kwa vile hawavai suti ila ni wasomi ...Nima ndugu wanaishi huko umeongea uwongo mtupu ,nikachosababisba waarabu kama Saudi na Qatar kushirikiana na wazungu ni mikataba hata jeddah tower itajengwa na kampuni ya Trump.

Kama umeelewa nilichoandika basi unajua kama utabisha nitakufundishwa uchumi jinsi ulivyo ..Kwa nn hata majengo ya USA wanaweza kujenga kampuni za china ,na kule china wanaweza kujenga USA japo kwa sasa kuna mgogoro ambao unaona athari kwa pande zote.

Kupeana tender ni makubaliano ya sera ya uchumi wa dunia ,kwani kuna ulazima Iphone kwenda kufanyiwa assembling China? Soma uchumi utanielewa .
 
Ndio huyo shehe alitakakuja Tanzania kufanya mdahalo wa kidini? Watu wakalalamika sana mitandaoni kutokana na historia yake.
 
The best sheikh evaaaaaaaa!

Kama kuna siku nitakuja kusilimu basi itakuwa ni kwa ajili ya huyu sheikh. Yaani huwa anapiga mule mule. Au nadanganya madogo zangu Poor Brain na Intelligent businessman?

#MadakoMatale ❀
Mada kama hizi shimba unahisi kama ni uwanja wa nyumbani hivi....

Upo tayar uchelewe kazini au ibadani ila upitie nyuzi zako pendwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Mi nataka siku moja tu mkeo ashike simu aone hayo Mapicha picha sijui utajitetea vipi dadek zako πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚
 
Elimu hiyo na waislamu inajitosheleza ,kuna hisabu ,sira ,tarekhe ,kuna elimu ya anga vyote kwenye uislamu vipo ..kwa wakristo hawana wanafuata mwongozo wa wazungu.πŸ˜…πŸ˜…ukija Tanga utaona watu wakiitw miezi huu mfungo mosi ,mfungo pili na wanajua kila kitu kwenye uvuvi.

Kubali kwamba ukristo haujitoshelezi ,hakuna nchi inaongozwa kwa sheria za kikristo lazima waongezee za binadamu kwa sababu ukristo haujitoshelezi lazima uboost.

Wewe haujui hesabu hata za mirathi kwa sisi waislamu tumesoma .
 
Kuna mmoja nilisikia anasema eti kusoma philosophy ni laana na dhambi pia
 
prof Assad, prof Lipumba
 
Duh HAYA maajabu kwahyo unazani bila elimu hyo Dubai, UAE na Oman zingekua hapo zilipo hao unaosema wazungu ndo wanafanya Kila kitu unajidanganya sana na hili ndo tatzo lasisi ngozi nyeusi ujuaji mwingi na ubishi na ujinga, weka data hapa tuone wazungu wameshiriki kiasi Gani kuzibadilisha hizo nchi kushinda wazawa wenyewe ndo nitakuamni hayo unayoongea vingnevo ni ngonjera tu na pia Jua dunia ni Kijiji uwezi fanya Kila kitu pekee Yako ukiwa na Hela unatuma watu wengne wakufanyie Kaz ndo maisha yalivo
 
Uislam haupimwi kwa elimu ya Dunia Bali kwa kufuata uislam kamili, maadili yake na kujua Allah kaamrisha na anakataza nini, Ujue kusoma Qur aan na Elimu ya Dini kiujumla, PhD ni si kipimo kuwa huyo mwislamu kasoma Dini, hiyo itabaki hivyo,pia Uislam si Jina Bali Kufuata kikamilifu Wala hakuna swali utaulizwa je ulikuwa na PhD? Hakuna, PhD Yako ukifa ndo mwisho wake bila kujali umefaidika nayo ama la hiyo inakuwa imeisha, Mwislamu ni kushikamana na Uislam wake Wala si kuwa na PhD FAHAMU HIVYO.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…