Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] fake id zinabeba watu sanaKuna mazwazwa yanaweza kuja kuanika siri zao hapa,,ngoja tuyasubiri.
Kwani wanatumia majina yao halisi?!Kuna mazwazwa yanaweza kuja kuanika siri zao hapa,,ngoja tuyasubiri.
Haha! We dare to talk openly.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] fake id zinabeba watu sana
Pathetic! Huoni kufanya hivyo ni sawa na kuwachochea hawa jamaa wenye kampeni ya "KATAA NDOA, NDOA NI WIZI, NDOA NI UTAPELI" Wazidishe wanachokifanya licha ya kutokujulikana majina yao,,that's why nimewaita mazwazwa tu,,hawatajua walifanyalo.Kwani wanatumia majina yao halisi?!
Umechomesha mkuu wamekimbiaKuna mazwazwa yanaweza kuja kuanika siri zao hapa,,ngoja tuyasubiri.
🤣Ndivyo ilivyoKuna jamaa niliona comment yake kwenye thread moja anasema ana miaka 15 kwenye ndoa hajawahi kufurahia ndoa zaidi ya mwaka ule wa kwanza na siku za kwanza za ndoa na anajutia mpaka leo .
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Wamekaushaushuhuda umekuwa mgumu hata iwe kmya tushajua , hio droo mshindane nyie sisi hatuingii huko kwenye ndoa hamna lolote.
Wamefungua code chap,asingeandika mapema😃🤸🤸Umechomesha mkuu wamekimbia