Je, kuna wanandoa wanajutia kuoa au kuolewa na wanatamani ndoa ivunjike?

Je, kuna wanandoa wanajutia kuoa au kuolewa na wanatamani ndoa ivunjike?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam JF

Swali kwa wanandoa je, vipi hali ilivyo huko kuna ambao mnaojutia kuoa au kuolewa na mnatamani ndoa zivunjike mjiunge kundi lenye kura turufu ya maisha ya raha hapa duniani? Hasa hili kundi letu la uchakataji usio na mipaka.

Inshallah naamini tuko na jumapili njema kabisa.

Wadiz.
 
Mpka ujutie inamana hukufanya wala kufanyiwa vetting ya kutosha. Sema tu kwa sisi wanaume unaweza ukakutana na mchepuko mpka ukajiuliza kwa nini hukuanza kumuona yeye ili uweke ndani halafu mkeo ndio awe mchepuko[emoji2297]
 
Back
Top Bottom