Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

Unamchagua Polisi kuwa DG wa TISS what a joke
Hamna shukrani, watu mlikuwa mnadomezwa kwenye viroba kila siku alipoingia tu, hayo mambo yakakoma, watu sijui kumbukumbu wanakua haeanza au tatizo ni mzanzibari[emoji23][emoji23]
 
Hamna shukrani, watu mlikuwa mnadomezwa kwenye viroba kila siku alipoingia tu, hayo mambo yakakoma, watu sijui kumbukumbu wanakua haeanza au tatizo ni mzanzibari[emoji23][emoji23]
Deputy DG aliyepelekwa RAS Tabora baada kutoka Uchafu ulikoma. Kipilimba alikuwa powa. Tunajua mama anakuja na mtu safi
 

huna akili, umeandika comment ndefu iliyojaa ujinga.

kwa hiyo kama ikatokea unamuona jirani yako amedhuru watu kwa panga, utamuacha aende zake bila kumchukulia hatua kwasababu alichofanya hakijaleta threat kwa usalama wa nchi?.
 
Deputy DG aliyepelekwa RAS Tabora baada kutoka Uchafu ulikoma. Kipilimba alikuwa powa. Tunajua mama anakuja na mtu safi
Sasa Deputy director anaeeza kufanya vitu kwa miaka mitatu mfululizo Director asijue au asihusike?
 
Halafu hizi rubish zinapendwa sana kutapikwa na genge la wauza ngada lililohenyeshwa na huyo mtu mwenye mult Identities, hamuachi tukasikia na mengine!

Sijui Tiss, sijui nini vitu nwanaume umejipinda saa nzima kujaza server kwa mambo yasioeleweka!

Unavyosema kitenzi "makosa" bila kuandika makosa hayo ya mlalamikiwa, taswira yake inasomeka haraka kuwa ni majungu jiko yaitwayo vijembe yametawala!

Fafanua jambo lieleweke tulichangie sote tubangue mbongo.

Usitumie nguvu nyingi kuendelea kumchafua mtu kwa hoja nyepesi zosizokuwa na mashiko.

Nadhani umenielewa kama wa kuelewa.
 
Pumbavu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vp wamekuvuruga nini mkuu? Siyo kwa povu hili, nimecheka mbele za watu. Pole mkuu ndiyo maisha wew tulia dawa ikuingie
 
Dah maisha haya makonda aliyetikisa dar na nchi nzima leo hii ndo anakimbia jiji na hajulikani alipo kweli tuishi na watu vizuri tusijisahau.
 
Hujui hata majukum ya TISS ni yapi Yani hapo ulipo unahisi wanaruhusiwa hata kukamata mtu na kumfikisha mahakamani kumbe hawana hayo mamlaka
 
Yale maringo ya kusema yeye ndio mwenye maisha ya raha sijui nini
Unafikiri yalikuwa hayaendi na pesa za dhuluma?

Na ukijitengenezea maadui unatengeneza wa kukulinda kwa hela zako za wizi

Sasa jamaa anaweza kusindikizwa kabisa na kuondoka au ameisha sepa tayari kwa msaada

Subiri aanze ku tweet akiwa nje
 
Hii kauli si njema sana hasa kwa mkuu wa nchi...."Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi"


Amuondoe halafu akuweke wewe ? Tanzania Nchi Yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…