Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

Unamchagua Polisi kuwa DG wa TISS what a joke
Hamna shukrani, watu mlikuwa mnadomezwa kwenye viroba kila siku alipoingia tu, hayo mambo yakakoma, watu sijui kumbukumbu wanakua haeanza au tatizo ni mzanzibari[emoji23][emoji23]
 
Hamna shukrani, watu mlikuwa mnadomezwa kwenye viroba kila siku alipoingia tu, hayo mambo yakakoma, watu sijui kumbukumbu wanakua haeanza au tatizo ni mzanzibari[emoji23][emoji23]
Deputy DG aliyepelekwa RAS Tabora baada kutoka Uchafu ulikoma. Kipilimba alikuwa powa. Tunajua mama anakuja na mtu safi
 
Kwanini unataka TISS ishughulike na Makonda?

Je, tuhuma za kijinai za Makonda zilihatarisha/zinahatarisha national security?

Acha kuwabebesha TISS lawama kwa issue ambayo it is not of their concern.

Makonda's actions or omissions (during his public service) hazijawahi kuwa 'threat' to national security.

Tuhuma dhidi ya Makonda ni jinai kama zilivyo jinai zingine as per our domestic laws ambapo criminal justice system iko wazi kabisa.

Hivyo, lawama zako, nadhani, zielekeze kwa public prosecution office pamoja na jeshi la polisi. Hata hivyo, hawa pia utawalaumu 'bure' tu... Kwa Sheria zetu na mifumo yetu ya utoaji haki nchini, polisi na DPP wanaweza kupigwa 'pini' from somewhere 'high' na wakakausha.

By the way, tusimhukumu Makonda kwa lawama za mitandaoni. Pamoja na mapungufu yake kiuongozi na kibinadamu, nadhani kuna mambo mengi naye ali-sacrifice usalama wake ili kuitumikia nchi. Hivyo, tusubiri, kama itatokea, public imhukumu before the court of law. Otherwise, tuendelee kunywa kahawa vilingeni. [emoji41]

-Kaveli-

huna akili, umeandika comment ndefu iliyojaa ujinga.

kwa hiyo kama ikatokea unamuona jirani yako amedhuru watu kwa panga, utamuacha aende zake bila kumchukulia hatua kwasababu alichofanya hakijaleta threat kwa usalama wa nchi?.
 
Deputy DG aliyepelekwa RAS Tabora baada kutoka Uchafu ulikoma. Kipilimba alikuwa powa. Tunajua mama anakuja na mtu safi
Sasa Deputy director anaeeza kufanya vitu kwa miaka mitatu mfululizo Director asijue au asihusike?
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )

Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi na ulichokifanya ni Kuwaondoa ( Kuwabadili ) tu Wakuu wa Vitengo ila Yeye unamuacha wakati kwa Matukio kadhaa na Muhimu yaliyotokea katika Kipindi chake yameshaonyesha kuwa hiyo nafasi ni Kubwa Kwake na haiwezi.

Na kwa taarifa zisizo rasmi bado ( ila binafsi ) naziona zina Ukweli zinadai kuwa huku kupotea Kwake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuna Mikono kadhaa ya Kiutaratibu kutoka kwa baadhi ya Watendaji wa Taasisi hii ( hiyo ) Nyeti kwani alijijengea ukaribu nao mkubwa na ikisemekana ( ikidaiwa ) kuwa huenda nae ni Mwenzao ( TISS Agent ) japo ninachelea Kulisadiki ( Kuliamini ) hili.

Sijalilaumu Jeshi la Polisi ( PT ) kwa Kutoonekana kwa Paul Makonda au UHAMIAJI au TAKUKURU kwa sababu zangu Binafsi ila hapa nalia na nakomaa zaidi na TISS kwani wanajua alipo Makonda na waache Kutufanya Watanzania ni Mambumbumbu.

Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa wala huyu Paul Makonda asingekuwa na Jeuri aliyokuwa nayo kwa Mamlaka yake ila TISS ilimlea, ikamdekeza, ikamchelewesha, akawasumbua, akawatumia ajuavyo na leo ndiyo yamekuwa haya na tumefikia hapa.

Natamani mno kuiona ile TISS imara iliyokuwa Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwani ndizo zilikuwa TISS Imara, zinazojitambua hasa Kiutendaji kiasi cha Kusifika na Kuogopeka sana ndani na nje ya Tanzania.

Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!
Halafu hizi rubish zinapendwa sana kutapikwa na genge la wauza ngada lililohenyeshwa na huyo mtu mwenye mult Identities, hamuachi tukasikia na mengine!

Sijui Tiss, sijui nini vitu nwanaume umejipinda saa nzima kujaza server kwa mambo yasioeleweka!

Unavyosema kitenzi "makosa" bila kuandika makosa hayo ya mlalamikiwa, taswira yake inasomeka haraka kuwa ni majungu jiko yaitwayo vijembe yametawala!

Fafanua jambo lieleweke tulichangie sote tubangue mbongo.

Usitumie nguvu nyingi kuendelea kumchafua mtu kwa hoja nyepesi zosizokuwa na mashiko.

Nadhani umenielewa kama wa kuelewa.
 
Halafu hizi rubish zinapendwa sana kutapikwa na genge la wauza ngada lililohenyeshwa na huyo mtu mwenye mult Identities, hamuachi tukasikia na mengine!

Sijui Tiss, sijui nini vitu nwanaume umejipinda saa nzima kujaza server kwa mambo yasioeleweka!

Unavyosema kitenzi "makosa" bila kuandika makosa hayo ya mlalamikiwa, taswira yake inasomeka haraka kuwa ni majungu jiko yaitwayo vijembe yametawala!

Fafanua jambo lieleweke tulichangie sote tubangue mbongo.

Usitumie nguvu nyingi kuendelea kumchafua mtu kwa hoja nyepesi zosizokuwa na mashiko.

Nadhani umenielewa kama wa kuelewa.
Pumbavu.
 
Tatizo kubwa sana la hii nchi Ni hili wimbi la vijana wengi kubugia POMBE KALI na BANGI.

Muda wote wanaona MARUWERUWE na kuhisi his vitu hata ambavyo HAVIPO.

Bashite akimbie kwa ISSUE gani kubwa hiyo?

Serikali mpaka sasa haijaonesha Nia ya KUMSHTAKI.

Clouds wenyewe ambao ndio WAHUSIKA ( VICTIMS) mpaka sasa wamejiweka pembeni, hawatoi ushirikiano Wala KUHUSIKA kwenye KESI.

Kilichopo Ni KUBENEA KUPIGA SIASA na kuuza vipeperushi vyake tu. Hakuna kitu serious chochote mpaka sasa zaidi ya UPUMBAVU na wapumbavu tu kupata vijiagenda vya kusukumia SIKU mitandaoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vp wamekuvuruga nini mkuu? Siyo kwa povu hili, nimecheka mbele za watu. Pole mkuu ndiyo maisha wew tulia dawa ikuingie
 
Dah maisha haya makonda aliyetikisa dar na nchi nzima leo hii ndo anakimbia jiji na hajulikani alipo kweli tuishi na watu vizuri tusijisahau.
 
Hujui hata majukum ya TISS ni yapi Yani hapo ulipo unahisi wanaruhusiwa hata kukamata mtu na kumfikisha mahakamani kumbe hawana hayo mamlaka
 
Yale maringo ya kusema yeye ndio mwenye maisha ya raha sijui nini
Unafikiri yalikuwa hayaendi na pesa za dhuluma?

Na ukijitengenezea maadui unatengeneza wa kukulinda kwa hela zako za wizi

Sasa jamaa anaweza kusindikizwa kabisa na kuondoka au ameisha sepa tayari kwa msaada

Subiri aanze ku tweet akiwa nje
 
Hii kauli si njema sana hasa kwa mkuu wa nchi...."Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi"


Amuondoe halafu akuweke wewe ? Tanzania Nchi Yangu
 
Back
Top Bottom