Huna ukijuacho the Man is a typical Failure to that Post japo Mheshimiwa Rais anaendelea kuwa nae akidhani he's that Competent hapo ( pale ) Idarani / Taasisini.
Tatizo umu Jamii forum hakuna Mtu au Mwanachama anae tumia jina la ukweli ungetumia jina lako la ukweli basi hapo hapo ukweli ungefahamikaNitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )
Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi na ulichokifanya ni Kuwaondoa ( Kuwabadili ) tu Wakuu wa Vitengo ila Yeye unamuacha wakati kwa Matukio kadhaa na Muhimu yaliyotokea katika Kipindi chake yameshaonyesha kuwa hiyo nafasi ni Kubwa Kwake na haiwezi.
Na kwa taarifa zisizo rasmi bado ( ila binafsi ) naziona zina Ukweli zinadai kuwa huku kupotea Kwake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuna Mikono kadhaa ya Kiutaratibu kutoka kwa baadhi ya Watendaji wa Taasisi hii ( hiyo ) Nyeti kwani alijijengea ukaribu nao mkubwa na ikisemekana ( ikidaiwa ) kuwa huenda nae ni Mwenzao ( TISS Agent ) japo ninachelea Kulisadiki ( Kuliamini ) hili.
Sijalilaumu Jeshi la Polisi ( PT ) kwa Kutoonekana kwa Paul Makonda au UHAMIAJI au TAKUKURU kwa sababu zangu Binafsi ila hapa nalia na nakomaa zaidi na TISS kwani wanajua alipo Makonda na waache Kutufanya Watanzania ni Mambumbumbu.
Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa wala huyu Paul Makonda asingekuwa na Jeuri aliyokuwa nayo kwa Mamlaka yake ila TISS ilimlea, ikamdekeza, ikamchelewesha, akawasumbua, akawatumia ajuavyo na leo ndiyo yamekuwa haya na tumefikia hapa.
Natamani mno kuiona ile TISS imara iliyokuwa Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwani ndizo zilikuwa TISS Imara, zinazojitambua hasa Kiutendaji kiasi cha Kusifika na Kuogopeka sana ndani na nje ya Tanzania.
Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!
Kwani siku zote Kubenea Alikuwa Wapi? Au ndiyo chuki binafsi?Tatizo kubwa sana la hii nchi Ni hili wimbi la vijana wengi kubugia POMBE KALI na BANGI.
Muda wote wanaona MARUWERUWE na kuhisi his vitu hata ambavyo HAVIPO.
Bashite akimbie kwa ISSUE gani kubwa hiyo?
Serikali mpaka sasa haijaonesha Nia ya KUMSHTAKI.
Clouds wenyewe ambao ndio WAHUSIKA ( VICTIMS) mpaka sasa wamejiweka pembeni, hawatoi ushirikiano Wala KUHUSIKA kwenye KESI.
Kilichopo Ni KUBENEA KUPIGA SIASA na kuuza vipeperushi vyake tu. Hakuna kitu serious chochote mpaka sasa zaidi ya UPUMBAVU na wapumbavu tu kupata vijiagenda vya kusukumia SIKU mitandaoni.
Zamani siyo sasa kila Zama na Zama ZakeTISS ilikuwa TISS kweli wakati wa Mwalim. Enzi za Mkapa ilikuwa hovyo kabisa. Iliachia Kikwete na Lowassa wachukuwe uongozi wa nchi kwa kutumia fedha, na wengi wao walinunuliwa wakawa kwenye mtandao.
Kwani aiwezekani ? Unamjuwa vizuri Diwani Athumani vizuri au unamsikia juu juu?Unamchagua Polisi kuwa DG wa TISS what a joke
Labda Wewe Mamsampu wake utueleze Kiundani hasa Wasifu wake ili tusiomjua vyema tumjue.Kwani aiwezekani ? Unamjuwa vizuri Diwani Athumani vizuri au unamsikia juu juu?
Hili siyo tusi kweli!Pumbavu.
Kwa comment hii, mada imefungwa.Tatizo kubwa sana la hii nchi Ni hili wimbi la vijana wengi kubugia POMBE KALI na BANGI.
Muda wote wanaona MARUWERUWE na kuhisi his vitu hata ambavyo HAVIPO.
Bashite akimbie kwa ISSUE gani kubwa hiyo?
Serikali mpaka sasa haijaonesha Nia ya KUMSHTAKI.
Clouds wenyewe ambao ndio WAHUSIKA ( VICTIMS) mpaka sasa wamejiweka pembeni, hawatoi ushirikiano Wala KUHUSIKA kwenye KESI.
Kilichopo Ni KUBENEA KUPIGA SIASA na kuuza vipeperushi vyake tu. Hakuna kitu serious chochote mpaka sasa zaidi ya UPUMBAVU na wapumbavu tu kupata vijiagenda vya kusukumia SIKU mitandaoni.
Tena ikikuhukumu kwa matendo yako maovu!@@Ukishalaaniwa na Jamii wewe ni SAwa na deadman,ogopa Sana jamii isikuhukumu
KUBENEA siku zote anaishinkwa UNAFIKI.Kwani siku zote Kubenea Alikuwa Wapi? Au ndiyo chuki binafsi?
huna akili, umeandika comment ndefu iliyojaa ujinga.
kwa hiyo kama ikatokea unamuona jirani yako amedhuru watu kwa panga, utamuacha aende zake bila kumchukulia hatua kwasababu alichofanya hakijaleta threat kwa usalama wa nchi?.
Watanzania wana wivu mkali anadhani DG TISS akitumbuliwa atapewa yeye nafasi
Huna unachokijua kojoa ukalaleUnamchagua Polisi kuwa DG wa TISS what a joke
Majukumu yao ni ikiwemo kulinda haki ya kuishi ya watz.Kama tu unashindwa kuelewa nilichojibu dhidi ya content za bandiko husika, basi wewe ni kiazi tupu upstairs!
Kwahiyo hizo tuhuma za Makonda (kunyima watu haki ya kuishi, matumizi mabaya ya madaraka kwa kuvamia clouds fm, etc) ndiyo mnaiambia TISS imkamate Makonda na kumshitaki? Unafahamu majukumu ya TISS?
Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga? Punguan wa head!
-Kaveli-
Ile idara ina kazi nyingi sana,yaani iache zake ije kufanya kazi ya ukamataji?,unajua majukumu ya hiyo idara?Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )
Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi na ulichokifanya ni Kuwaondoa ( Kuwabadili ) tu Wakuu wa Vitengo ila Yeye unamuacha wakati kwa Matukio kadhaa na Muhimu yaliyotokea katika Kipindi chake yameshaonyesha kuwa hiyo nafasi ni Kubwa Kwake na haiwezi.
Na kwa taarifa zisizo rasmi bado ( ila binafsi ) naziona zina Ukweli zinadai kuwa huku kupotea Kwake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuna Mikono kadhaa ya Kiutaratibu kutoka kwa baadhi ya Watendaji wa Taasisi hii ( hiyo ) Nyeti kwani alijijengea ukaribu nao mkubwa na ikisemekana ( ikidaiwa ) kuwa huenda nae ni Mwenzao ( TISS Agent ) japo ninachelea Kulisadiki ( Kuliamini ) hili.
Sijalilaumu Jeshi la Polisi ( PT ) kwa Kutoonekana kwa Paul Makonda au UHAMIAJI au TAKUKURU kwa sababu zangu Binafsi ila hapa nalia na nakomaa zaidi na TISS kwani wanajua alipo Makonda na waache Kutufanya Watanzania ni Mambumbumbu.
Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa wala huyu Paul Makonda asingekuwa na Jeuri aliyokuwa nayo kwa Mamlaka yake ila TISS ilimlea, ikamdekeza, ikamchelewesha, akawasumbua, akawatumia ajuavyo na leo ndiyo yamekuwa haya na tumefikia hapa.
Natamani mno kuiona ile TISS imara iliyokuwa Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwani ndizo zilikuwa TISS Imara, zinazojitambua hasa Kiutendaji kiasi cha Kusifika na Kuogopeka sana ndani na nje ya Tanzania.
Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!
Lakini baadae walikuja kufungua macho,ndio waliowagombanisha Mkwere na Lowasa zikawa haziiviTISS ilikuwa TISS kweli wakati wa Mwalim. Enzi za Mkapa ilikuwa hovyo kabisa. Iliachia Kikwete na Lowassa wachukuwe uongozi wa nchi kwa kutumia fedha, na wengi wao walinunuliwa wakawa kwenye mtandao.
Majukumu yao ni ikiwemo kulinda haki ya kuishi ya watz.Kama tu unashindwa kuelewa nilichojibu dhidi ya content za bandiko husika, basi wewe ni kiazi tupu upstairs!
Kwahiyo hizo tuhuma za Makonda (kunyima watu haki ya kuishi, matumizi mabaya ya madaraka kwa kuvamia clouds fm, etc) ndiyo mnaiambia TISS imkamate Makonda na kumshitaki? Unafahamu majukumu ya TISS?
Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga? Punguan wa head!
-Kaveli-
Its very normal for the Certified Nitwits to support each other as you did. Congrats..!!!Kwa comment hii, mada imefungwa.
Big up mkubwa!
Majukumu yepi zaidi ya kuisaidia ccm kuiba kura.Ile idara ina kazi nyingi sana,yaani iache zake ije kufanya kazi ya ukamataji?,unajua majukumu ya hiyo idara?
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app