Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

Huna ukijuacho the Man is a typical Failure to that Post japo Mheshimiwa Rais anaendelea kuwa nae akidhani he's that Competent hapo ( pale ) Idarani / Taasisini.

Mmeshaanza majungu tena kwa Diwani Msuya, mlimpiga majungu ya wivu enzi za JPM atolewe kwa kisingizio haijui idara vizuri alikua afisa kipenyo, mmeanza tena

Mlimtengenezea sabotage aonekane ni failure JPM akaziba maskio
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )

Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi na ulichokifanya ni Kuwaondoa ( Kuwabadili ) tu Wakuu wa Vitengo ila Yeye unamuacha wakati kwa Matukio kadhaa na Muhimu yaliyotokea katika Kipindi chake yameshaonyesha kuwa hiyo nafasi ni Kubwa Kwake na haiwezi.

Na kwa taarifa zisizo rasmi bado ( ila binafsi ) naziona zina Ukweli zinadai kuwa huku kupotea Kwake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuna Mikono kadhaa ya Kiutaratibu kutoka kwa baadhi ya Watendaji wa Taasisi hii ( hiyo ) Nyeti kwani alijijengea ukaribu nao mkubwa na ikisemekana ( ikidaiwa ) kuwa huenda nae ni Mwenzao ( TISS Agent ) japo ninachelea Kulisadiki ( Kuliamini ) hili.

Sijalilaumu Jeshi la Polisi ( PT ) kwa Kutoonekana kwa Paul Makonda au UHAMIAJI au TAKUKURU kwa sababu zangu Binafsi ila hapa nalia na nakomaa zaidi na TISS kwani wanajua alipo Makonda na waache Kutufanya Watanzania ni Mambumbumbu.

Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa wala huyu Paul Makonda asingekuwa na Jeuri aliyokuwa nayo kwa Mamlaka yake ila TISS ilimlea, ikamdekeza, ikamchelewesha, akawasumbua, akawatumia ajuavyo na leo ndiyo yamekuwa haya na tumefikia hapa.

Natamani mno kuiona ile TISS imara iliyokuwa Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwani ndizo zilikuwa TISS Imara, zinazojitambua hasa Kiutendaji kiasi cha Kusifika na Kuogopeka sana ndani na nje ya Tanzania.

Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!
Tatizo umu Jamii forum hakuna Mtu au Mwanachama anae tumia jina la ukweli ungetumia jina lako la ukweli basi hapo hapo ukweli ungefahamika
 
Tatizo kubwa sana la hii nchi Ni hili wimbi la vijana wengi kubugia POMBE KALI na BANGI.

Muda wote wanaona MARUWERUWE na kuhisi his vitu hata ambavyo HAVIPO.

Bashite akimbie kwa ISSUE gani kubwa hiyo?

Serikali mpaka sasa haijaonesha Nia ya KUMSHTAKI.

Clouds wenyewe ambao ndio WAHUSIKA ( VICTIMS) mpaka sasa wamejiweka pembeni, hawatoi ushirikiano Wala KUHUSIKA kwenye KESI.

Kilichopo Ni KUBENEA KUPIGA SIASA na kuuza vipeperushi vyake tu. Hakuna kitu serious chochote mpaka sasa zaidi ya UPUMBAVU na wapumbavu tu kupata vijiagenda vya kusukumia SIKU mitandaoni.
Kwani siku zote Kubenea Alikuwa Wapi? Au ndiyo chuki binafsi?
 
TISS ilikuwa TISS kweli wakati wa Mwalim. Enzi za Mkapa ilikuwa hovyo kabisa. Iliachia Kikwete na Lowassa wachukuwe uongozi wa nchi kwa kutumia fedha, na wengi wao walinunuliwa wakawa kwenye mtandao.
Zamani siyo sasa kila Zama na Zama Zake
 
Kwa comment hii, mada imefungwa.
Big up mkubwa!
 
Kwani siku zote Kubenea Alikuwa Wapi? Au ndiyo chuki binafsi?
KUBENEA siku zote anaishinkwa UNAFIKI.

Na tena Unafiki unamlipa sana.

Unafiki huo huo umewahi kumpa mpaka Ubunge.

KUBENEA aliwahi kuandika kuwa Lowassa Ni FISADI papa kwa miaka 8 na ghafla ndani ya usiku mmoja, akamsafisha Lowassa na kupewa nafasi ya kugombea Ubunge Ubungo kupitia CDM.

Aliwadanganya watu wa Ubungo, akishinda atawataja waliobeba pesa za Stanbic Escrow mpaka leo kimya.

Amekuwa akitumika na Mbowe kujifanya anapata taarifa za TISS kuwa Zitto Ni msaliti kama kawaida yake, Mara ACT imeanzishwa na Lowassa na Mara ghafla uchaguzi wa 2020 akahamia huko huko ACT kwa Zitto.

In short, huyu KUBENEA Ni mpuuzi fualani anayejua kukoroga akili za misukule went mtindio wa ubongo wasio na kumbukumbu.

Sasa hivi ,ameona atoke vipi ndio kaamua kuleta hizi drama uchwara za Making🤣🤣🤣🤣
 
huna akili, umeandika comment ndefu iliyojaa ujinga.

kwa hiyo kama ikatokea unamuona jirani yako amedhuru watu kwa panga, utamuacha aende zake bila kumchukulia hatua kwasababu alichofanya hakijaleta threat kwa usalama wa nchi?.

Kama tu unashindwa kuelewa nilichojibu dhidi ya content za bandiko husika, basi wewe ni kiazi tupu upstairs!

Kwahiyo hizo tuhuma za Makonda (kunyima watu haki ya kuishi, matumizi mabaya ya madaraka kwa kuvamia clouds fm, etc) ndiyo mnaiambia TISS imkamate Makonda na kumshitaki? Unafahamu majukumu ya TISS?

Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga? Punguan wa head!

-Kaveli-
 
Watanzania wana wivu mkali anadhani DG TISS akitumbuliwa atapewa yeye nafasi

Halafu sasa wanaandika mataputapu tu. Hawajuwi hata TISS ni nini na majukumu yake ni yepi.

Yaani hizo tuhuma dhidi ya Makonda (matumizi mabaya ya madaraka mfano kuvamia clouds fm, etc) eti wanaitaka TISS ndiyo imkamate Makonda na kumshtaki.

Nchi hii ina mangumbaru wengi sana mkuu. Huyu mleta uzi si ajabu hapo alipo naye eti ana elimu ya shahada kabisa.

-Kaveli-
 
Kama tu unashindwa kuelewa nilichojibu dhidi ya content za bandiko husika, basi wewe ni kiazi tupu upstairs!

Kwahiyo hizo tuhuma za Makonda (kunyima watu haki ya kuishi, matumizi mabaya ya madaraka kwa kuvamia clouds fm, etc) ndiyo mnaiambia TISS imkamate Makonda na kumshitaki? Unafahamu majukumu ya TISS?

Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga? Punguan wa head!

-Kaveli-
Majukumu yao ni ikiwemo kulinda haki ya kuishi ya watz.
Kama ilishindwa kwann isipewe lawama kwamba pia ni sehemu ya ushiriki wa uovu
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )

Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi na ulichokifanya ni Kuwaondoa ( Kuwabadili ) tu Wakuu wa Vitengo ila Yeye unamuacha wakati kwa Matukio kadhaa na Muhimu yaliyotokea katika Kipindi chake yameshaonyesha kuwa hiyo nafasi ni Kubwa Kwake na haiwezi.

Na kwa taarifa zisizo rasmi bado ( ila binafsi ) naziona zina Ukweli zinadai kuwa huku kupotea Kwake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuna Mikono kadhaa ya Kiutaratibu kutoka kwa baadhi ya Watendaji wa Taasisi hii ( hiyo ) Nyeti kwani alijijengea ukaribu nao mkubwa na ikisemekana ( ikidaiwa ) kuwa huenda nae ni Mwenzao ( TISS Agent ) japo ninachelea Kulisadiki ( Kuliamini ) hili.

Sijalilaumu Jeshi la Polisi ( PT ) kwa Kutoonekana kwa Paul Makonda au UHAMIAJI au TAKUKURU kwa sababu zangu Binafsi ila hapa nalia na nakomaa zaidi na TISS kwani wanajua alipo Makonda na waache Kutufanya Watanzania ni Mambumbumbu.

Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa wala huyu Paul Makonda asingekuwa na Jeuri aliyokuwa nayo kwa Mamlaka yake ila TISS ilimlea, ikamdekeza, ikamchelewesha, akawasumbua, akawatumia ajuavyo na leo ndiyo yamekuwa haya na tumefikia hapa.

Natamani mno kuiona ile TISS imara iliyokuwa Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwani ndizo zilikuwa TISS Imara, zinazojitambua hasa Kiutendaji kiasi cha Kusifika na Kuogopeka sana ndani na nje ya Tanzania.

Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!
Ile idara ina kazi nyingi sana,yaani iache zake ije kufanya kazi ya ukamataji?,unajua majukumu ya hiyo idara?

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
TISS ilikuwa TISS kweli wakati wa Mwalim. Enzi za Mkapa ilikuwa hovyo kabisa. Iliachia Kikwete na Lowassa wachukuwe uongozi wa nchi kwa kutumia fedha, na wengi wao walinunuliwa wakawa kwenye mtandao.
Lakini baadae walikuja kufungua macho,ndio waliowagombanisha Mkwere na Lowasa zikawa haziivi

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Kama tu unashindwa kuelewa nilichojibu dhidi ya content za bandiko husika, basi wewe ni kiazi tupu upstairs!

Kwahiyo hizo tuhuma za Makonda (kunyima watu haki ya kuishi, matumizi mabaya ya madaraka kwa kuvamia clouds fm, etc) ndiyo mnaiambia TISS imkamate Makonda na kumshitaki? Unafahamu majukumu ya TISS?

Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga? Punguan wa head!

-Kaveli-
Majukumu yao ni ikiwemo kulinda haki ya kuishi ya watz.
Kama ilishindwa kwann isipewe lawama kwamba pia ni sehemu ya uovu
 
Back
Top Bottom