Je, kwa mshahara wa Shilingi 310,000 unaweza kuishi Dar es Salaam?

Inawezekana chai inanywewa wikend tu siku za kawaida haipikwi kwa kuwa watoto wako shule.
 
Aseee[emoji848][emoji849][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Inawezekana chai inanywewa wikend tu siku za kawaida haipikwi kwa kuwa watoto wako shule.
Umenikumbusha zamani tulikuwa tunawadai wazazi hela ya shule tsh 20 ambayo kwa sasa watoto kwenda shule wanapewa buku.Ss usiombe huwe na watoto wengi .Ss hivi nimekua ndio nimeanza kumuonea huruma baba alijinyima sana,kipindi hicho usipopewa hela ya shule unagoma kwenda shuleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha kutufanya sisi watoto wadogo wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaishi zaidi ya shetani ....

Kuifupi lazima uisome namba kweli kweli
 
Wengi hawazijui, chai mnakunywa saa sita mchana na kiporo Cha Jana Cha ubwabwa na maharage , mkitoka hapo tukutane Tena usiku..
Kama jana mlikula ugali hamna kipolo,Foleni za vibakuli za mihogo zinatusaidia ,yaani unanawa uso unaenda kwenye foleni ya mihogo mpaka foleni yako ikifika saa 6 hapo unakuwa ume double impact milo miwili mchana unapita tu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…