Je, kweli ni bora kuamini Mungu yupo halafu siku ya mwisho usimkute, kuliko kutoamini halafu ukamkuta?

Haya maneno ya Marcus Aurelius ni mazuri sana;

"Live a good life. If there are gods and they are just, then they will not care how devout you have been, but will welcome you based on the virtues you have lived by. If there are gods, but unjust, then you should not want to worship them. If there are no gods, then you will be gone, but will have lived a noble life that will live on in the memories of your loved ones.”
Haya ni maneno ya maana sana mkuu. Kama wanadamu tungeyazingatia na kuishi maisha mazuri ya kuwajali wengine, kupendana na kuheshimiana, dunia ingekua sehemu nzuri sana ya kuishi whether kuna Mungu au la.

Kuna watu wanaamini Mungu yupo ila wanafanya kila aina ya ubaya unaoujua wewe kwa binadamu wenzao mpaka unashindwa kuelewa huyo Mungu wanamuamini wa kazi gani.?
 
Nashuhudia kuwa ; hakuna mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allaah na Muhammad ni Mtume wake.
 
Sioni tofauti sana ya mtu ambaye anaamini Mungu/dini na mtu ambaye ameacha kuamini Mungu anaenda kuwa atheist au Agnostic, kwa sababu huko pia kuna mitazamo ambayo atajikuta a alazmika kuifuata na kuisimamia.

Watu wa aina hiyo ukijadiliana nao unaona kabisa jinsi wanavyokazana kutetea hiyo misimamo kwa hali yeyote ile yani kuna mambo unaona kabisa wanalazimika kupinga kwa sababu tu yeye ni atheist.
 
Mfano wa misimamo gani atheists au agnostics huwa wanakuwa nayo na wanalazimika kuitetea kwa kwa hali yoyote?
 
Hizo ni kauli mbiu (motto ) tu za dini zisikuchanganye ukajihisi kana kwamba wewe ndio special sana na kwamba wenzako ni inferior kwasababu wamekosa kauli mbiu kama hizo.

Hiyo ni kauli mbiu tu ya kiuhamasishaji ni sawa na "Daima mbele nyuma mwiko"

Ukristo wanayo kauli mbiu yao inasema "Yesu ndio njia ya ukweli na uzima"

Sidhani kama mkristo akitamka maneno hayo yatakufanya ukubaliane na Mungu Yesu.
 
Sioni tofauti sana ya mtu ambaye anaamini Mungu/dini na mtu ambaye ameacha kuamini Mungu anaenda kuwa atheist au Agnostic, kwa sababu huko pia kuna mitazamo ambayo atajikuta a alazmika kuifuata na kuisimamia.

Watu wa aina hiyo ukijadiliana nao unaona kabisa jinsi wanavyokazana kutetea hiyo misimamo kwa hali yeyote ile yani kuna mambo unaona kabisa wanalazimika kupinga kwa sababu tu yeye ni atheist.
Pointi sio kuepuka mitazamo.

Pointi hapa ni kuepuka uongo.

Dhana ya uwepo wa Mungu ni uongo wa wazi.

Atheist ni ukosefu wa imani ya Mungu/Miungu na maswala yote ya supernatural.

Kwa hiyo kama unazungumzia misimamo wala hauhitaji uwe na mambo mengi zaidi ya kuzingatia hiyo definition hapo juu.
 
Umeeleza vizuri, hiyo definition ndio aina ya misimamo ambayo nazungumzia kwa maana ukitaka kujitambulisha kama atheist basi utalazimika kufuata hiyo misimamo. Ukiangalia hivyo vitu kwenye hiyo definition utaona ni vitu tofauti tofauti kwa maana mtu anaweza kuamini hiki na asiamini chengine ila atheist analazimika kupinga vyote. Lakini mtu anaweza kuamini Mungu ila asiamini katika miungu, mfano daktari anaweza kuamini Mungu ila akawa haamini katika uchawi na miujiza.

Sasa unakuta mtu alikuwa anaamini katika Mungu ila ikatokea kuja kuona kuwa imani ya Mungu si ya kweli tena unaweza kukuta shida ilikuwa ni mafundisho ya hiyo dini kuhusu Mungu ndio yamemfanya aone habari za Mungu si za kweli, ila sasa mtu huyo anafanya uamuzi kujiingiza kwenye atheism ambapo ghafla anakuwa na ukosefu kabisa wa imani si ya Mungu tu bali pamoja na supernatural.

Na kibaya mtu kuwa atheist basi anaamini ana akili sana kuliko wenye kuamini Mungu na supernatural na kwamba huchukulia atheism ndio ukweli japo kuna watu hutoka huko.
 
Mfano wa misimamo gani atheists au agnostics huwa wanakuwa nayo na wanalazimika kuitetea kwa kwa hali yoyote?
Mfano uchawi au miujiza, ni mambo ambayo atheist atapinga kwa hali yeyote hata akiona kwa macho hivi yupo radhi akubali kwamba hana majibu ya kuelezea hicho alichokiona ila ataendelea kukataa kuwa huo si uchawi au miujiza kwa sababu tu anatetea msimamo wa kupinga mambo yote ya supernatural.
 
Wewe ndio huelewi, atheists wanataka uthibitisho.

Kwa mfano hakuna hata mtu mmoja amewahi kuona mtu mchawi ameanguka na ungo kutoka angani au hata video moja inonyesha mtu akianguka kwa ungo. Kila mara ukisikia story ya mtu kuanguka na ungo ni kwamba mtu tayari amekutwa yuko chini na majivu na ungo wake. Sasa mtu mwenye akili hawezi kuamini tu kirahisi hivyo.

Mfano Mtu akiugua, au akipata ajali akafa huwa kuna uthibitisho ambao utonyesha kama ni bacteria, virusi, cancer cells, jeraha n.k ambavyo vitakuwa vimesababisha kifo na maelezo yanaeleweka. Sasa utakuta mtu anasema alikufa akafufuliwa, au alikuwa anaumwa ukimwi akaponywa ukimuuliza cheti cha daktari kuonyesha alikufa au alikuwa unaumwa ukimwi kiko wapi hana.

Mtu anasema alienda kwa mganga akapewa dawa akawa tajiri, unamuuliza ulila ukaamka ukawa tajiri anakuambia hapana anaanza kukupa story jinsi alivyofanya kazi kwa bidii na muda mrefu alipotoka kwa mganga. Sasa hapo unathibitishaje ni dawa ya mganga na sio juhudi zake za kazi ja bahati nyingine?!
 
Umeeleza vizuri, hiyo definition ndio aina ya misimamo ambayo nazungumzia kwa maana ukitaka kujitambulisha kama atheist basi utalazimika kufuata hiyo misimamo. Ukiangalia hivyo vitu kwenye hiyo definition utaona ni vitu tofauti tofauti kwa maana mtu anaweza kuamini hiki na asiamini chengine ila atheist analazimika kupinga vyote. Lakini mtu anaweza kuamini Mungu ila asiamini katika miungu, mfano daktari anaweza kuamini Mungu ila akawa haamini katika uchawi na miujiza.

Sasa unakuta mtu alikuwa anaamini katika Mungu ila ikatokea kuja kuona kuwa imani ya Mungu si ya kweli tena unaweza kukuta shida ilikuwa ni mafundisho ya hiyo dini kuhusu Mungu ndio yamemfanya aone habari za Mungu si za kweli, ila sasa mtu huyo anafanya uamuzi kujiingiza kwenye atheism ambapo ghafla anakuwa na ukosefu kabisa wa imani si ya Mungu tu bali pamoja na supernatural.

Na kibaya mtu kuwa atheist basi anaamini ana akili sana kuliko wenye kuamini Mungu na supernatural na kwamba huchukulia atheism ndio ukweli japo kuna watu hutoka huko.
Kuwa Atheist sio mpaka ujue Atheist ni nini.

Kuwa Atheist ni kuishi katika misingi ambayo haufungamani na imani yoyote eidha kwa kujua au kutojua.

Maana yake hata wewe kipindi uko mtoto ulikuwa Atheist.

Baada ya wazazi wako kuku-feed indoctrinations ndio ukaja kuhasi na kuwa Theist.

Atheists sio mpaka apinge ndio aonekane ni Atheist. Tafadhali usipotoshe maana halisi ya Atheism.

Kwasababu hata wewe zipo imani nyingi unazipinga, je inakufanya uwe Atheist??
 
Na kibaya mtu kuwa atheist basi anaamini ana akili sana kuliko wenye kuamini Mungu na supernatural na kwamba huchukulia atheism ndio ukweli japo kuna watu hutoka huko.
Usituwekee fikra zako potofu vichwani mwetu kwasababu tu ya inferior yako

Hata waislamu wengi wanaamini kuwa wakristo wanawaona waislamu hawana akili kwasababu wamewekeza nguvu kwenye madrasa kuliko ku focus na elimu dunia.

Kwa hiyo usijaribu kuweka mipaka ya kuzuia ukosoaji pale ambapo mambo ya kijinga yanafanyika kwa kufikiri tutafumbia macho ujinga kuofia tutaonekana tuna akili kuliko nyie.
 
Mfano uchawi au miujiza, ni mambo ambayo atheist atapinga kwa hali yeyote hata akiona kwa macho hivi yupo radhi akubali kwamba hana majibu ya kuelezea hicho alichokiona ila ataendelea kukataa kuwa huo si uchawi au miujiza kwa sababu tu anatetea msimamo wa kupinga mambo yote ya supernatural.
Uchawi ni nini?

Unajuaje ni uchawi katika form ya supernatural na sio some tricks tu ambazo hujazijua zinafanyikaje??

Hayo matukio ambayo pengine unadhani ni ushahidi wa kutosha kuonesha uchawi upo na unahisi Atheists wakioneshwa watapinga, hivi unajua most of hayo matukio yanafanywa na Atheists??
James Randi huyu ni magician ambaye ni maarufu sana na alitambulika zaidi kwa jina la mchawi.

Mara kadhaa alikuwa akisema kuwa anachokifanya sio uchawi bali ni tricks tu ambazo kila mtu akifundishwa anafanya.

Aliwahi kumuumbua magician mmoja anaitwa Uri Geller ambaye alikuwa akijinasibu kuwa ana uwezo wa kupindisha kijiko cha chuma kwa kukiangalia tu kupitia nguvu zake za uchawi

1734425959020.jpeg

James Randi alikuja kum expose Geller alipotoa elimu ya namna ya kuweza kutengeneza hicho kijiko chenye kuleta hiyo effects kupitia sleight of hand.
 
Wewe ndio huelewi, atheists wanataka uthibitisho.

Kwa mfano hakuna hata mtu mmoja amewahi kuona mtu mchawi ameanguka na ungo kutoka angani au hata video moja inonyesha mtu akianguka kwa ungo. Kila mara ukisikia story ya mtu kuanguka na ungo ni kwamba mtu tayari amekutwa yuko chini na majivu na ungo wake. Sasa mtu mwenye akili hawezi kuamini tu kirahisi hivyo.

Mfano Mtu akiugua, au akipata ajali akafa huwa kuna uthibitisho ambao utonyesha kama ni bacteria, virusi, cancer cells, jeraha n.k ambavyo vitakuwa vimesababisha kifo na maelezo yanaeleweka. Sasa utakuta mtu anasema alikufa akafufuliwa, au alikuwa anaumwa ukimwi akaponywa ukimuuliza cheti cha daktari kuonyesha alikufa au alikuwa unaumwa ukimwi kiko wapi hana.

Mtu anasema alienda kwa mganga akapewa dawa akawa tajiri, unamuuliza ulila ukaamka ukawa tajiri anakuambia hapana anaanza kukupa story jinsi alivyofanya kazi kwa bidii na muda mrefu alipotoka kwa mganga. Sasa hapo unathibitishaje ni dawa ya mganga na sio juhudi zake za kazi ja bahati nyingine?!
Hata huko kusema atheists wanataka uthibitisho ukianglia vizuri ni kwamba wanajizuia kwa kutokukubali au kutaka kujifunza chochote kwa kigezo hakuna uthibitisho, ukiangalia hata hiyo mifano uliyoiweka na jinsi ulivyoeleza ni wazi ni mambo ambayo unapinga kwa sababu ya kusimamia huo msimamo wa kwamba hakuna uthibitisho ila si kwamba unapinga kwa sababu unaelewa ukweli wa hayo mambo.

Sasa ndio unakuta mtu alikuwa anaamini Mungu na hayo mambo ya uchawi na miujiza ila ikitokea ameona imani ya Mungu si ya kweli basi akitaka kuwa atheist basi atalazimika kushikilia huo msimamo wa kudai uthibitisho na hivyo atapinga na hayo mengine yote kwa sababu tu kuna atheist hawaamini supernatural.
 
Usituwekee fikra zako potofu vichwani mwetu kwasababu tu ya inferior yako

Hata waislamu wengi wanaamini kuwa wakristo wanawaona waislamu hawana akili kwasababu wamewekeza nguvu kwenye madrasa kuliko ku focus na elimu dunia.

Kwa hiyo usijaribu kuweka mipaka ya kuzuia ukosoaji pale ambapo mambo ya kijinga yanafanyika kwa kufikiri tutafumbia macho ujinga kuofia tutaonekana tuna akili kuliko nyie.
Nachoeleza ndio uhalisi kwa ushahidi wa aina ya majadiliano yenu yanavyokuwa huwa mnajionyesha wazi, mnawachukulia wanaoamini Mungu ni kama watu wasio na maarifa ya kutosha na wasiofuata sayansi. Mbona lipo wazi hili halifichiki naeleza ukweli kama ambavyo nawe unaeleza unachoona ni ukweli.
 
Back
Top Bottom