Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

Ni kweli tumekengeuka ila
Wapo walioona kabisa na ndoa zikavunjika ndio Hawa tunaozungumzia
"...mke/mume mwema atoke kwa Mungu...." Kuna namna pia huwa tunakoseaga hapa. Kweli kwa macho uliona he/she is a good spouse material kabisa LAKINI kumbe hakuwa wa kwako wewe. Nikupe mfano rahisi, unaamini waweza fanya jambo sahihi kwa wakati USIO sahihi na mahali SIO sahihi na vice versa is true pia. Kweli restaurants ni mahali pa kula msosi, BUT ukiinuka saa tisa usiku kwamba nataka kula ukaenda then yakakukuta njiani then ulipatia kutaka kwenda kula BUT muda haukuwa sahihi though mahali palikua sahihi. Ukiitafakari hii pia labda ni moja ya sababu, though sometimes ni shetani tu anapenda hangaisha watu, kwahiyo tumkemee na kumfukuza kwa Jina la Yesu.
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜…
 
Mkuu huyo jamaa anayetaka kukuoa aliachana na mke wake wa kwanza au mke wake alifariki na ana watoto wa ngapi na huyo mke wa kwanza ambaye hujatuambia kama aliachana naye au alitangulia mbele ya haki.
NB: Kuwa mama nzuri wa kambo, usije ukawasanyanyasa watoto wa mke mwenzako, mungu hapendi.
 
Kama Una New model tena Ya china Ushaur Wetu Wa nn!! Anatakiwa Mihanga hapa ndio Tuumize Vichwa
Anavunja ndoa ya mtu halafu jamaa akitaka kumwoa anakuja kuomba ushauri, mbona hajatuambia kuwa alikuwa anafanya mahaba pori na huyo jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…