Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

Mimi toka nimechomoka kwa yule nahisi kama nimetoka gereza la ADX Florence la huko colorado , yani mtato wa mtu anikiambia habari za kumuoa ninashtuka sana kwa kwelπŸ˜‚πŸ˜‚
Shukuru Kama uliachwa salama Kaka.
Mwenzako nilinyang'anywa watoto na bado Mali za baba yangu na zangu zikagawiwa Kati wanasema 50/50 basi miezi miwili toka anipige naa kitu kizito nikadakwa na kesi za udokozi kazini ,nikasota jela mzee .

Natoka naambiwa Mimi sio baba wa wale watoto eti baba yao yupo ukicheki mitoto imerithi mpaka meno na kuongea ila bado alisema si wangu na watoto wakanikana kabisa Mimi si baba yao .

Kaka nilipowaza kuanza harakati za DNA na majanga nilipitia nikaamua kumuachia ushindi wake .

Sasa nipo mwenyewe Kama kinda aliyekosa mama no family no parents bad enough no relative naishi ili nisife ila Sina Raha nimejaribu kufuga paka na mbwa walau wawe ndugu zangu na wafariji ila mbwa naye kanisaliti amehamia kwa jirani kufuata wanawake ,hivyo ndugu ni paka wangu ,nicotine .

Japo bado naaamini kwenye mahusiano ila sikatai kuwa nilikosea kuoa lile kabila .
Ni hivyo bro ,jipe Imani kesho ni njema bado wanawake wazuri wapo na wabaya wapo kaka
 
Iko hivi:

Binadamu wote hawapendi kurudia makosa makubwa hasa ya mahusiano.

Akiwa na watoto mwanaume anapoachana na mkewe anawaza usalama wa watoto wake bila mama yao aliewazaa so atakuwa makini sana na matendo ya mama yao wa kambo ,huo umakini ndio itakuwa kero kwa mke wake mpya maana atahisi hata ambavyo nikawaida,Mfano unaweza muadhibu mtoto kwa nia nzuri ila akachukulia kama kwa sababu hajamzaa yeye.

Historia ya matendo ya mahusiano yaliyopita:
,matendo madogo madogo au ishara zilizomuumiza kwenye mahusiano yaliyopita yanaumiza sana,so akiona dalili flan flan hiv anaona ndio yaleeeee kumbe ni kawaida tuuu.

Ndoa ni ile ya kwanza na upendo ni ule wa kwanza:
Wengi huwa na mtazamo + na ndoa zao za kwanza hizi za pili tunaingia for social security tu na sio kutazamia mambo mampyaa wala mazuri sanaa.Malezi ya watoto,upatikanaji wa huduma muhimu za mwanaume kupikiwa,kufuliwa ,kuondolewa upweke,Kuna kuumwa na kuzeeka
So upendo wake ni wa wastani tu sio ule unaowaka moto kama awali kwenye ndoa ya kwanza.

Anaogopa kujimaliza kama ndoa ya mwanzo alafu uje kuwa kichomi,unakita mtu anauwezo kabisa wa kumpa mkewe gari lakini anaona aah atavumba kichwa huyu,uwezo upo wa kumpa biashara kubwa anaona atabadilika huyu yote nibsababu wanawake mkiwezeshwa mnawaza kupindua meza na kutaka mkae juu.

NB: Naongea kwa uzoefu wangu kamili kabisaaa.
 
Ngoja nikuache ili upate uzoefu.
 
Watoto zaidi ya mmoja
Kwenye misingi hapa nimepata kitu
 
Pole sana Dr kwa sasa acha nile good time tu mkuu nilioa nikiwa na miaka 19 tu hapa kuja kuoa tena mpaka 55 labdaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…