min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Na tunaopumua tu ndio tunamapenzi ya kweli π π π π ππππThubutu
Bora nife single kuliko kutaka anaepumua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na tunaopumua tu ndio tunamapenzi ya kweli π π π π ππππThubutu
Bora nife single kuliko kutaka anaepumua
Kwann hamfaiHatufai mama mchungaji π
Sisi timu kataa ndoa kama kawaida yetu tunapita kama tunaaga maitiMwanaume tuliowahi kuoa sasa ni rasmi tumeanza kunyanyasika humuππππ
Shukuru Kama uliachwa salama Kaka.Mimi toka nimechomoka kwa yule nahisi kama nimetoka gereza la ADX Florence la huko colorado , yani mtato wa mtu anikiambia habari za kumuoa ninashtuka sana kwa kwelππ
Kumbe ndio maaana...ππMimi toka nimechomoka kwa yule nahisi kama nimetoka gereza la ADX Florence la huko colorado , yani mtato wa mtu anikiambia habari za kumuoa ninashtuka sana kwa kwelππ
Kha jamani unakufaje single na wee mzuri hivyo.Thubutu
Bora nife single kuliko kutaka anaepumua
Pamoja Kaka ,yalikuwa masiharaMember wengi humu nimewawekea Standard zao kwahiyo acha kujipa Umuhimu wa kunielekeza jinsi ya kumjibu mtu. Ninavyo mjibu Lucas Mwashambwa ni tofauti nitakavyo mjibu Mshana. Au nitakavyomjibu Faiza Foxy ni tofauti nitakavyo mjibu Cute Wife.
Wadanganye chekecheaHapana sio Mimi
Nimeuliza tu kwaajili ya kujiongezea maarifa
hata Mimi nimeliona hilo mume kaolewa na mume ambaye alishaoaRafikiyangu ameolewa na mwanaume wa aina hiyo ambae alishakuwa na mume na ana watoto before hajamuoa
Ndio maana nini kaka mkubwaππKumbe ndio maaana...ππ
Ngoja nikuache ili upate uzoefu.Asante kuniita Aaliyyah, nadhani hili linajibiwa vizuri na wanawake..wale waliopitia huu uzoefu.
Ila naweza kusema tu huenda hao wanaume wanakuwa na ile tabia ya kulinganisha, kwamba wewe sio bora kama ex wife, una madhaifu mengi ni bora yule wa kwanza, labda uchafu, huwezi kupika vizuri, hunipi kipapa vile nataka, una mdomo nk. Huwa kuna tabia ya kulinganisha...ni mawazo tu, sina uzoefu!
Watoto zaidi ya mmojaInategemea alitokaje huko, anaweza chukua mda sana kukuamini, ili ukikaa naye kwa uvumilivu na upendo wa kweli, baadae atakutendea mema sana!
Mtu ambaye katoka huko kapatiwa matatizo anakujia akiwa makini, lakini mwanamke akitulia na kumwomyesha tumaini, anatulia haswa!
Shida ni: Kweli utaweza mngoja apone? Maana Amekaa mguu sawa kwa umakini asiingie kwenye mazingira aliyotoka!
Ila ni muhimu sana kujua:
1. Katokaje huko.
2. Je ni mke wa ngapi?
3. Lazima awe financial stable ( watoto)
4. Lazima aweke Msingi mzuri!
KelseaNani huyo π
Half american njoo uone dipresheniπ€£π€£π€£Mimi toka nimechomoka kwa yule nahisi kama nimetoka gereza la ADX Florence la huko colorado , yani mtato wa mtu anikiambia habari za kumuoa ninashtuka sana kwa kwelππ
Pole sana Dr kwa sasa acha nile good time tu mkuu nilioa nikiwa na miaka 19 tu hapa kuja kuoa tena mpaka 55 labdaππππShukuru Kama uliachwa salama Kaka.
Mwenzako nilinyang'anywa watoto na bado Mali za baba yangu na zangu zikagawiwa Kati wanasema 50/50 basi miezi miwili toka anipige naa kitu kizito nikadakwa na kesi za udokozi kazini ,nikasota jela mzee .
Natoka naambiwa Mimi sio baba wa wale watoto eti baba yao yupo ukicheki mitoto imerithi mpaka meno na kuongea ila bado alisema si wangu na watoto wakanikana kabisa Mimi si baba yao .
Kaka nilipowaza kuanza harakati za DNA na majanga nilipitia nikaamua kumuachia ushindi wake .
Sasa nipo mwenyewe Kama kinda aliyekosa mama no family no parents bad enough no relative naishi ili nisife ila Sina Raha nimejaribu kufuga paka na mbwa walau wawe ndugu zangu na wafariji ila mbwa naye kanisaliti amehamia kwa jirani kufuata wanawake ,hivyo ndugu ni paka wangu ,nicotine .
Japo bado naaamini kwenye mahusiano ila sikatai kuwa nilikosea kuoa lile kabila .
Ni hivyo bro ,jipe Imani kesho ni njema bado wanawake wazuri wapo na wabaya wapo kaka