Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

Kazi ni kazi tu ila kule hakuna haki kwa mwanaume kabisa ,watu wanatumia hisia zaidi kufanya maamuzi
Mfano mtu ukimmwambia rafikiyako mpenzwako hajakupigiasiku nzima ataanza kucompare na yeye asipopigiwa anareact vipi ushauri utatoka kulingana na hisia zake sio logic kama wafanyavyo wanaume
 
sio kweli, wanaume wako very flexible,
 
Hata mwanamke aliyeachwa pia ni ngumu kuishi nae.
 
Hakuna formula dada maakuli, oa au olewa na mtu sahihi, aliyekupangia mola. Sema sikuhizi tunajifungisha ndoa mkeka wenyewe kwanza, baadae ndo tunazirasimisha na kuhalalisha. Only if tungemsikilizaga Mungu na kujiepusha na zinaa, yote haya yasingekuwapo.
 
Kazi ni kazi tu ila kule hakuna haki kwa mwanaume kabisa ,watu wanatumia hisia zaidi kufanya maamuzi
Ustawi mara nyingi mwanamke ndio hupendelewa. Ila si sehemu nzuri sana ya kukimbilia shida watu wengi hawajui, unashangaa mkikosana kidogo tayari ushapokea wito uende huko kuna kesi.
 
This is a theory. Huwezi kupata jibu sahihi ama lisilo sahihi. Kama wengi wanavyopost "it depends.....yes it depends how?

Mwanaume ameachana na mwanamke mwenye maneno machado....je huyo mwanaume aliyewahi kuwa na ndoa no mtu mby? Ni mwanaume mkimya asiyependa kelele.

Na.2. Mwanaume ameacha na mkewe coz of witches etc.

So.it depends ubaya waweza kuwa kt yao watalaka.
 
Umesema sahihi kabisa

Changamoto inayozikabilia Ndoa nyingi ama mahusiano mengi ni kudhani umeoa ama umeolewa na Malaika.

Unakuta Mume mzima, anagombana na mkewe kisa Mke hataki kumnyonya mb***o wakiwa falagha.

Ama Mke hataki kumpa mumewe tamu, kisa mumewe ni mtu wa sekunde 45 kabla hajamwaga🙌

Ukikaa uangalie hayo, unagundua ni suala la wao kushindwa kukaa chini na kuzungumza.

Wanahisi watu wao ni Malaika, hivyo wanatakiwa kujua Kila kitu hata kama wahajazungumza.

Muhimu sana kuwa na bed-talk Kwa Wanandoa, kupitia hilo magomvi mengi na kuchokana kutaisha miongoni mwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…