Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
- Thread starter
- #161
Mfano mtu ukimmwambia rafikiyako mpenzwako hajakupigiasiku nzima ataanza kucompare na yeye asipopigiwa anareact vipi ushauri utatoka kulingana na hisia zake sio logic kama wafanyavyo wanaumeKazi ni kazi tu ila kule hakuna haki kwa mwanaume kabisa ,watu wanatumia hisia zaidi kufanya maamuzi