Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilete na yangu ? 😅😅😅Ukiona unampenda Mumeo halafu yeye anampenda Mke wa zamani, itakuwa Kuna sehemu unamkosea.
Itakuwa Kuna vitu anavikosa kwako, ndiyo maana anapata muda wa kumfikiria wa zamani.
Hadi kufikia Jana, tulipokea Posa 12 kwaajili yako.
Tutakaa kuzichambua Kwa kuzingatia vigezo na masharti uliyoyasema 🤗
Dah kwa sasa siwezi kupanic kabisa yalishapita hayo, yeye kama mama wa mwanangu akikwama namsadia tu, sema kurudiana ndio atataga yai la bata , nilishanywesha mpka maji ya kwa mwamposa lakini wapi😂😂😂😂Sio wewe ndio unapanic totoo🤣🤣
Fanya hivyo, Ijumaa tunafunga mchakato 😜Nilete na yangu ? 😅😅😅
Babu ana wivu tu huyo naye 🤣🤣🤣Yani kwakweli 😂
Babu wewe mtu sana
Pole mkuu,Shukuru Kama uliachwa salama Kaka.
Mwenzako nilinyang'anywa watoto na bado Mali za baba yangu na zangu zikagawiwa Kati wanasema 50/50 basi miezi miwili toka anipige naa kitu kizito nikadakwa na kesi za udokozi kazini ,nikasota jela mzee .
Natoka naambiwa Mimi sio baba wa wale watoto eti baba yao yupo ukicheki mitoto imerithi mpaka meno na kuongea ila bado alisema si wangu na watoto wakanikana kabisa Mimi si baba yao .
Kaka nilipowaza kuanza harakati za DNA na majanga nilipitia nikaamua kumuachia ushindi wake .
Sasa nipo mwenyewe Kama kinda aliyekosa mama no family no parents bad enough no relative naishi ili nisife ila Sina Raha nimejaribu kufuga paka na mbwa walau wawe ndugu zangu na wafariji ila mbwa naye kanisaliti amehamia kwa jirani kufuata wanawake ,hivyo ndugu ni paka wangu ,nicotine .
Japo bado naaamini kwenye mahusiano ila sikatai kuwa nilikosea kuoa lile kabila .
Ni hivyo bro ,jipe Imani kesho ni njema bado wanawake wazuri wapo na wabaya wapo kaka
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ah wanasema eti mie nyoka wa kibisa kwenye mijadala yao
Sasa hivi acha nioge nayo tu kabisa 😂😂😂😂 Endelea tu kunywa mbege.
Chapchap mpaka saa 23:59 leo nitakuwa nisha submit 😍Fanya hivyo, Ijumaa tunafunga mchakato 😜
Sio yeye ni AI 😃Sawa Asante sana
Umefafanua vizuri sana Asante
Hapa ndio umenena kishujaa sasa 😃😃😃
😂😂Sasa hivi acha nioge nayo tu kabisa 😂
Nimesema kwa msaada wa akili mnemba kwa sababu sina experience na haya mambo 😃Sio yeye ni AI 😃
Kumbe eehUkiona unampenda Mumeo halafu yeye anampenda Mke wa zamani, itakuwa Kuna sehemu unamkosea.
Itakuwa Kuna vitu anavikosa kwako, ndiyo maana anapata muda wa kumfikiria wa zamani.
Hadi kufikia Jana, tulipokea Posa 12 kwaajili yako.
Tutakaa kuzichambua Kwa kuzingatia vigezo na masharti uliyoyasema 🤗
Malaya lililokubuhu ila naendelea kujipa kazi ya kumtoa moyoni yule mdada bado imekuwa kazi Sana ila ni paka shume kabisa .Pole mkuu,
Ulioa malay *
Yangu itamfikia saa tano na dk 59 usiku wa leo 🤣🤣🤣Kumbe eeh
Zichambue vizuri babu Vigezo vizingatiwe 😂
Sema nini tuliwahi kuoa tuna ka ozoefu ka kuishi na mke sana, sema tulioa vichaa tu ndio maana tuna kawasiwasi fulani🤔