Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

Ukiona unampenda Mumeo halafu yeye anampenda Mke wa zamani, itakuwa Kuna sehemu unamkosea.

Itakuwa Kuna vitu anavikosa kwako, ndiyo maana anapata muda wa kumfikiria wa zamani.

Hadi kufikia Jana, tulipokea Posa 12 kwaajili yako.

Tutakaa kuzichambua Kwa kuzingatia vigezo na masharti uliyoyasema 🤗
Nilete na yangu ? 😅😅😅
 
Shukuru Kama uliachwa salama Kaka.
Mwenzako nilinyang'anywa watoto na bado Mali za baba yangu na zangu zikagawiwa Kati wanasema 50/50 basi miezi miwili toka anipige naa kitu kizito nikadakwa na kesi za udokozi kazini ,nikasota jela mzee .

Natoka naambiwa Mimi sio baba wa wale watoto eti baba yao yupo ukicheki mitoto imerithi mpaka meno na kuongea ila bado alisema si wangu na watoto wakanikana kabisa Mimi si baba yao .

Kaka nilipowaza kuanza harakati za DNA na majanga nilipitia nikaamua kumuachia ushindi wake .

Sasa nipo mwenyewe Kama kinda aliyekosa mama no family no parents bad enough no relative naishi ili nisife ila Sina Raha nimejaribu kufuga paka na mbwa walau wawe ndugu zangu na wafariji ila mbwa naye kanisaliti amehamia kwa jirani kufuata wanawake ,hivyo ndugu ni paka wangu ,nicotine .

Japo bado naaamini kwenye mahusiano ila sikatai kuwa nilikosea kuoa lile kabila .
Ni hivyo bro ,jipe Imani kesho ni njema bado wanawake wazuri wapo na wabaya wapo kaka
Pole mkuu,
Ulioa malay *
 
Ukiona unampenda Mumeo halafu yeye anampenda Mke wa zamani, itakuwa Kuna sehemu unamkosea.

Itakuwa Kuna vitu anavikosa kwako, ndiyo maana anapata muda wa kumfikiria wa zamani.

Hadi kufikia Jana, tulipokea Posa 12 kwaajili yako.

Tutakaa kuzichambua Kwa kuzingatia vigezo na masharti uliyoyasema 🤗
Kumbe eeh
Zichambue vizuri babu Vigezo vizingatiwe 😂
 
Back
Top Bottom