Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃😂 Wewe sio mume bwana. Wewe ni afsa gegedo ndio mambo unayopenda.Aisee nimechekaaaaa🤣🤣🤣🤣
Sawa basi usijali mume umepata ngoja kuna dili nasikilizia likitiki tuu watu wanakula wali mchafu na honeymoon maldives my future wife
Ndo nawataka😀😀Tulia mm lishangazi nitakubemenda
😂😂😂 afadhali😃😃😂 Wewe sio mume bwana. Wewe ni afsa gegedo ndio mambo unayopenda.
😋😋😋Jichanganye tu 😀
Mno yani😅😀😀Mwendo wa tag tu
Huyu ni mpare mkuu😂😋😋😋
Hiyo ndio yenyewe grade one 😂Half american njoo uone dipresheni🤣🤣🤣
hiki😊Mama mchunga unataka kuvaa vipi ?
Asante kwa kuniita Mamdogo. Eksipiriense zinatofautiana.
Unajua nitakuletea kweli wewe fanya utani tu mama mchunga wangu🤔🤔🤔
Nakuaminia nataka uwe mshauri wangu aseee😊Asante kwa kuniita Mamdogo. Eksipiriense zinatofautiana.
Kwenye group la mashost zangu walioolewa; Shogaetu aliyeolewa na bwana (muislamu) Aliyewahi kuoa akadivorce with 3 kids ndio our best couple so far. Wana struggle zao chache tu, Mwanaume ni Muislamu, dada ni mkristo amebadilisha dini kumfuata mume, so kuna vitu bado wanaeleweshana otherwise hawana matatizo kivileeee , wameongeza watoto wawili so wanao watano hadi sasa, na kapesa kapo. Ukiwajua vizuri unajua kabisa upendo unaishi mule.
My take: Aliyewahi kuoa/kuolewa ahakikishe ameheal trauma za first marriage, na awe na uhakika kama anataka second marriage things will be easier. Na sijui sana kama age range yao has something to do with their life style, Wako late 40’s na earlier 30’s, Mwanaume leads everything, dada ana amani and as much as i know, hakuna drama ya former wife/baby mama.
Shemeji etu ate it! 👌
Sasa huu ni ndani mmoja tu wa my very own best-shost, Wengine wanaweza kuwa na ekspiriensi tofauti.
Shauri yako! tutabaki hapa kataa ndoa wawili tuna angaliana 😂Nakuaminia nataka uwe mshauri wangu aseee😊
😂😂 nataka tubaki wawili sasa.Shauri yako! tutabaki hapa kataa ndoa wawili tuna angaliana 😂
Sasa itakuwaje? 🤣 Unaujua ule msemo wa “hata tukibali wawili duniani hatuwezi kuoana?😂😂 nataka tubaki wawili sasa.