Status
Not open for further replies.
Nimecheka sana
 
Maneno ya kujifariji. Utapeli tu
kujifariji nini sasa! kwani uongo! leo kwenye betting nimestake 700,000 na najua kuna mkeka kutick au kuchanika, hata wewe kwenye mishe zako unazofanya kuna kufanikiwa au kufail, kwa kuwa hujui hilo nyie ndo huwa mnajiua sababu ya kufail, ukweli ni kwamba mimi na wewe hatuchekani 😂😂😂
 
Wabongo mambo yao. Wametengnezewa website ya uongo na kweli, wameambiwa kampuni imanza miaka ya sitini nao wameamini. Kuna watakaopata na watakaoliwa, kapesa.
hiyo ipo kwenye kila kitu, hata kwenye shughuli unayofanya wewe kuna wanaokosa na wanaopata
 
 
Maisha ni mafupi sana,kwani ccm sio tapeli alie hai,wanajenga vibanda vichafu nchi nzima utafikiri hawana akili,mbele tembea
 
Nilijua tu hawawezi kukosekana.
Walikuwepo wenzako acha wewe 😁
Riba za benki Tanzania unazijua vizuri wewe au hujui,kila kitu ni wizi tuu,ccm.
wanatukopa kura kwa ahadi hewa na.wanajenga mabanda nchi nzima kuchafua miji eti.ili watu wapange takataka zao hizo.
 
Ifike wakati mtu akitapeliwa kama mtumishi wa umma afukuzwe kazi, kama kijana tu anyang'anywe vyeti vyote isipokuwa cha drs la 7 na kuzaliwa.
Haiingii akilini mtu mwenye elimu ya kuanzia kidato cha 4 atapeliwe kijilic

Serikali itawaelimisha wananchi mara ngapi?. Waache wapigwe wajifunze in a hard way.
Jukumu la serikali ni kuhakikisha ulinzi wa raia na mali zao,na kuhakikisha sheria zinafuatwa. Sheria zinakataza ponzi scheme. Ujinga wa raia hauondoi jukumu hilo
Ifike wakati mtu akitapeliwa kama mtumishi wa umma afukuzwe kazi, kama kijana tu anyang'anywe vyeti vyote isipokuwa cha drs la 7 na kuzaliwa.
Haiingii akilini mtu mwenye elimu ya kuanzia kidato cha 4 atapeliwe kijinga
 
Kuna ule wa 'sungura project' mradi huu upo same,watu wameweka pesa zao,Kuna jamaa alinifuata na kunishawishi nijiunge,nikamwambia DECI ilinipa fundisho zuri sana!
 
Sawa sawa mkuu
 
Hio wanakwenda wenyewe Je hii ambayo inachukuliwa kutoka kwenye vipato vyetu na hakuna value for money ? Tunamlalamikia nani ?

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…