g vizy
JF-Expert Member
- Jan 5, 2016
- 922
- 1,028
Hivi bro hela unaitoajesasa hapo najaaje kwa mfano wakati hela yangu isharudi kitambo saiz nakula za kwao, si useme tu wao ndo wamejaa na unipe maua yangu 😃😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi bro hela unaitoajesasa hapo najaaje kwa mfano wakati hela yangu isharudi kitambo saiz nakula za kwao, si useme tu wao ndo wamejaa na unipe maua yangu 😃😃
Hongera, Pambana mkuu.uoga wako ndo umaskini wako, ungekuwa mbali sana unakula mifaida tu. Mimi mwenyewe nimeingia mwezi huohuo
Kwann mkuu..?K
kumbe wajinga mpo wengi sana
Utakuwa huna ujanja wowote ukijiunga kwa kuona eti imesajiliwa na BRELLA.Dogo baada ya kunifowadia hayo ikabidi nimuulize maswali haya
Ntaomba vithibitisho vifuatavyo ukinipa soon na mimi ntajiunga na wewe
Yangu ni hayo tu
- HQ za hio kampuni zipo wapi?
- Leseni za uthibitsho wa kuthibitisha kuwa ni kampuni halali ya kurun bussiness Tanzania kutoka BRELA na mamlaka mengine husika
- Mawasiliano yao endapo utapata changamoto yoyote
unabonyeza withdraw, unaandika kiasi na withdraw password then unasubmit, mpunga unaingia kwenye mpesa yakoHivi bro hela unaitoaje
vyovyote vile, zingatia maokotoSio kwamba kwenye ndoano huwa kinawekwa Chambo kilichonona.
Mkuu, Mimi deci hadi inasepa nilikuwa nimepanda 6M zikafiamo, lakini sasa 😃😃 nilikuwa nimevuna 13M. Nami pia ilinipa fundisho, kwa hiyo ikitokea fursa kama hizo huwa nawahi mapemaaa, yaani sie ndo huwa wa kwanza kwanza kabisa 😃😃😃, mchezo unaitwa wa kwanza ndiyo mshindi 😂😂😂😂, deci ikirudi hata leo naingia, kwa hiyo kila mtu anafundisho lake alilopata.Kuna ule wa 'sungura project' mradi huu upo same,watu wameweka pesa zao,Kuna jamaa alinifuata na kunishawishi nijiunge,nikamwambia DECI ilinipa fundisho zuri sana!
Hata deci walianza hivi hivi mwisho kiliouoga wako ndo umaskini wako, ungekuwa mbali sana unakula mifaida tu. Mimi mwenyewe nimeingia mwezi huohuo
Duh, na watu wanajiunga kabisa kwenye huu uharo? Watanzania acha tu wapigwe.IELEWE LBL
💠💠TANZANIA ADVERTISING MEDIA LIMITED 💠💠
✅LBL Imeanza tangu mwaka 1967
✅LBL kirefu chake ni Leo burnett London
♻️Hapa Tanzania imeingia mwaka huu mwezi wa pili baada ya kualikwa na serikali yetu ya jamuhuri ya Muunguano wa Tanzania. Baada ya usajili na kukamilisha taratibu zote ikaanza kufanya kazi rasmi mwezi wa saba mwaka huu.
♻️Hapa manispaa ya Morogoro mtu wa kwanza/muasisi wetu ni Dr David Lugomela ambaye ndiye kiongozi wetu mkuu na kutushirikisha fursa hii.
♻️ LBL inafanyaje kazi.
Kumbuka ni kampuni inayohusiana na utangazaji. Ni kampuni iliyobobevu duniani.
1. Makampuni mengi makubwa ya filamu dunia. Wale wapenzi wa movie mtaelewa hili. Mfano.
🌀 *Paramount,
🌀20th century Fox,
🌀 destiny* ,
🌀Warner Brothers,
🌀DreamWorks picture,
🌀Universal Picture
🌀MGM Picture na mengine mengi
Yameweka ubia na kampuni ya LBL isaidie kutangaza matangazo yao ya movie na filamu ili yawafikie watu wengi duniani.
Hivyo basi ili kampuni ya LBL ifanye jukumu hilo vyema wakaona iajiri watu wengi ambao watatazama matangazo ya movie na hapo idadi ya watu wengi itafikiwa. Ndo mana inasisitiza kualika watu zaidi
🔰 _Baada ya muda wanapeleka kwa makampuni na kuwaonesha mfano:...........
_
🌀*PARAMOUNT * movie yako hii imetazamwa na watu milioni 10.5 mwezi huu.( Utakuta walikubaliana hivi kwamba Kila viewers mmoja( mtu mmoja aliyetazama) Lbl watalipwa Dola 1. Hebu jaribu kuchukua Dola 1 × mil 10.5 LBL wanaingiza. Kwanini wasirudishe fadhira. Hivyo ndivy LBL Inavyofanya kazi.
✅UZOEFU
_Wengi wetu twajua nyakati hizi wengi hupata pesa Kwa mitandao.
_Diamond huingiza fedha YouTube kwa kuwa tu na viewers wengi.
_MiladAyo anaingiza fedha Kwa kuwa tu na viewers wengi
🖊️Note vipi wewe unayetazama kazi zao unalipwa ? Au unagharamika bando lako?
♻️LBL UNAPOVIEW video hawakuachi hivihivi. Kwasababu wanajali ikiwa tunawaingizia fedha nyingi sana basi wakaona nasi tupate kifuta jasho. Ambacho kwetu kinathamani Kubwa, kwa level tofauti kama ifuatavyo........... 👇
1️⃣ P1 LEVEL
_💠Ukiweka 50,000
💠Unapewa picha 5 za kuangalia
💠Kila picha unalipwa 335
💠Kwa siku unalipwa 1675
💠Kwa mwezi unalipwa 50250
💠Kwa mwaka 611,375 /=_
2️⃣ P2 LEVEL
💠Ukiweka 150,000
💠Unapewa Picha 10 za kuangalia
💠Kila picha unalipwa 500
💠Kwa siku unalipwa 5000
💠Kwa mwezi 150,000
💠Kwa mwaka 1,825,000
💠Hivyo 150,000 itakuwa imezaa sh 1,675,000
💠Ukiweka 540,000
💠Unapewa picha 15 za kuangalia
💠Kila picha unalipwa 1200
💠Kwa siku unalipwa 18000
💠Kwa mwezi 540,000
💠Kwa mwaka 6,570,000
💠Hivyo 540,000 itakuwa imezaa 6,030,000 /
✳️ILI kujiunga nijulishe nikutumie Link.
✳️Kujiunga na LBL * ni bure kabisaa ila ili uwe mwajiriwa au mfanyakazi rasmi wa LBL unatakiwa kuwa na mtaji wa *50000/= kwa ngazi ya P1 , 150000/= kwa ngazi ya P2, na 540000/= kwa ngazi ya P3 Kumbuka hakuna biashara unayoweza ifanya kama hauna mtaji ni lazima uwe na mtaji. ukikamilisha account yako nitakuadd kwa group la WhatsApp
UTAKUWA TAYARI UANZE KAZI💠💠
🔰MWISHO .
✳️ LBL MAFANIKIO ni hakika
✳️LBL sio matapeli. Tuwe makini na matapeli watakao jitokeza na kuharibu sifa ya kampuni.
✳️Hii ni kazi sio kamali au bahati nasibu .
✳️Usipoview huwezi pata pesa Kwa sababu nao hawajapata pesa kupitia wewe.
Matangazo yao sasa yalivyokaa kitapeli , kuna dogo hapa namwambia ni utapeli lakini anabisha kinoma yani , sijui huwa wanawapa roho gani ya kuwa wabishi
Mi naongezea hao wananchi wanaocheza sijui LBL na nyinginezo wakienda kulalamikia wameliwa, wakamatwe na washtakiwe kwa uhujumu uchumi na kesi zao zisiwe na dhamana.Ifike wakati mtu akitapeliwa kama mtumishi wa umma afukuzwe kazi, kama kijana tu anyang'anywe vyeti vyote isipokuwa cha drs la 7 na kuzaliwa.
Haiingii akilini mtu mwenye elimu ya kuanzia kidato cha 4 atapeliwe kijinga
Hii nimo ni nzuri kabisa 😄 🤣 😂Zimekuja kwa wingi ipo nyingine kwenye soka -FIC inalipa vibaya mno! Wemefungua ofisi DSM, Mbeya na Mwz, ni obvious wana leseni na wanatoa misaada sana kwa wasio jiweza ! Huenda ndio CSR/ corporate social responsibility yao! Sio mhsukia wafuatilie kwenye mtandao utawasoma!
Wananchi hawajifunzi times and times again? Even serikal itaona mzigo sana kama wananchi vichwa vigumuKumeibuka utapeli mwingine hivi karibu wa upatu (ponzi scheme) ijulikanayo kama LBL ambako wananchi wengi wanaweka fedha zao ili kuvuna. Huu ni mwendelezo wa yale yaliyotokea awali kama Deci, QNet, ClubD9, Kalinda na Kuku.
Kabla wananchi wengi hawajawa wahanga wa uhalifu,tunaviomba vyombo vya usalama viwachukulie hatua za kisheria wahusika wote wa uhalifu huu.
Dm zangu mbona haujibu.Wa kwanza kula wa mwisho kuliwa. waliotangulia wamekula na kula na kula tena. sasa hivi lbl ina miezi kama nane, so haijulikani kama itaendelea au lini itakufa. Ni kweli hata mimi nipo nishakula na kula na kula sana. Yani ela niliyoweka ishatoka zaidi ya mara sijui 10. Stake what you are ready to lose. Ni kama kubet
kuna waliolia na waliocheka, hata kwenye shughuli zingine za utafutaji kuna wanaolia na wanaocheka. wazanaki wanasena wote Manzi ganyanzaHata deci walianza hivi hivi mwisho kilio
Kiasi cha kuanza kutoa ni ngapi na ni lazima uwe na m pesa ndo utoe helaunabonyeza withdraw, unaandika kiasi na withdraw password then unasubmit, mpunga unaingia kwenye mpesa yako