Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
8,000 si lazima mpesa, hata mitandao mingine freshKiasi cha kuanza kutoa ni ngapi na ni lazima uwe na m pesa ndo utoe hela
Lain nyingine azikubali kwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
8,000 si lazima mpesa, hata mitandao mingine freshKiasi cha kuanza kutoa ni ngapi na ni lazima uwe na m pesa ndo utoe hela
Lain nyingine azikubali kwani?
haya mambo yanatabu sana imagine kituo cha habari kikubwa kama ITV kimewapa promo hawa watu, kama ilivokua kwa ile "kaylinda" nilitegemea hadi sasa wawe wametoa tamko lolote maana wakiwa kimya inakua kama endorsement fulani.Kumeibuka utapeli mwingine hivi karibu wa upatu (ponzi scheme) ijulikanayo kama LBL ambako wananchi wengi wanaweka fedha zao ili kuvuna. Huu ni mwendelezo wa yale yaliyotokea awali kama Deci, QNet, ClubD9, Kalinda na Kuku.
Kabla wananchi wengi hawajawa wahanga wa uhalifu,tunaviomba vyombo vya usalama viwachukulie hatua za kisheria wahusika wote wa uhalifu huu.
Sawa kile kiasi ulichoweka wanasema kinakaa mwaka mzima ndo kinaisha Je ni kweli?8,000 si lazima mpesa, hata mitandao mingine fresh
Wanaendeshaje kwani hadi wasipatikane na hatia?Kwa namna ya uendeshaji wao, ni ngumu kupatikana na hatia. so kama kuna upigwaji, mjinga ni atakaetapeliwa.
Hivi huwezi kuvipata kila mmoja atakwambia ana meneja wake na chain itakwenda itakurusha Kenya na Nigeria na ukienda kwa huyo meneja wa Kenya au Nigeria atakwambia meneja wake yuko MarekaniDogo baada ya kunifowadia hayo ikabidi nimuulize maswali haya
Ntaomba vithibitisho vifuatavyo ukinipa soon na mimi ntajiunga na wewe
Yangu ni hayo tu
- HQ za hio kampuni zipo wapi?
- Leseni za uthibitsho wa kuthibitisha kuwa ni kampuni halali ya kurun bussiness Tanzania kutoka BRELA na mamlaka mengine husika
- Mawasiliano yao endapo utapata changamoto yoyote
Ila usisahau kwamba polisi na mahakama hawawezi kumkamata au kumfunga mtu bila kuletewa mashitaka.Jukumu la serikali ni kuhakikisha ulinzi wa raia na mali zao,na kuhakikisha sheria zinafuatwa. Sheria zinakataza ponzi scheme. Ujinga wa raia hauondoi jukumu hilo
ni ada ya kujiunga kwa mwaka mzimaSawa kile kiasi ulichoweka wanasema kinakaa mwaka mzima ndo kinaisha Je ni kweli?
Naoba link nduguSasa kuna nyingine hiyo ina faida kinoma kama kawaida wa kwanza kula wa mwisho kuliwa nisharuka nayo. hiyo 200k inakupa 28500 kila siku na hufanyi chochote. imeanza tarehe nne nimeiwahi mapema msemo ni ule ule wa kwanza kula wa mwisho kuliwa.
Ila
TufaNye kazi wakuu maisha sio lahisi kiivyo.
Hamna ya mwisho ndo hiyo zingine Bado hazijawekwa activeHakuna level ya bilioni moja, naitaji kuwekeza Kwa hawa Matapeli LBL, maana ujinga ni mtaji
Kwani kubeti vipi,Mimi nimekula 174,000/ na LBL,asubuhi hii na vibarua wa kazi zangu nimewalipa na umeme nimenunua na Christmas tumekula kuku,huku ofisini mkuu anasema MUSE,let come what may,we don't care
TufaNye kazi wakuu maisha sio lahisi kiivyo.
woyoo woyoo woyoooo mipunga nje njeWoyooooo tukapige mpunga