Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?
Status
Not open for further replies.
Ndugu zangu watanzania hakunaga hela nyepesi fanyeni kazi,kama mnataka fedha izae bila ya kutoa jasho fungua fixed account,nunua hisa au bond hizi njia nyingine mtakuja kuliwa vichwa mtuletee malalamiko na kuomba msaada wa serikali
 
Lbl nimepewa huu mchongo mwezi wa 11 nikasema nitajaribu ila roho inasita sita
ungekuwa umejiunga imagine toka mwezi wa nov 2014 mpaka sasa still operating si ungekuwa umepiga hatua?
kuna wakati uoga wetuu maskini wetu pia, hivi unaogopa lbl huku unaweka mzigo kwa kanji kwenye betting still unachoma mtaji vilevile
 
hata hivo pesa ni ndogo unayoingia nayo, mfano laki na nusu au kiwango cha juu ni laki tano na 40 sio pesa ya kukuumiza ukilinganisha na betting inavo pura pesa za walala hoi
 
ungekuwa umejiunga imagine toka mwezi wa nov 2014 mpaka sasa still operating si ungekuwa umepiga hatua?
kuna wakati uoga wetuu maskini wetu pia, hivi unaogopa lbl huku unaweka mzigo kwa kanji kwenye betting still unachoma mtaji vilevile
Kweli. Na kanji ana chana sio poa
 
Usiwasikilize wanjinga, mimi nina miezi miwil sahv nalipwa laki tano, ni bando langu tu
Njoo inbox ujiunge kupitia account yangu maana imeshakua verified utaanza kulipwa baada ya siku moja
Ww endelea kujipatia kipato kaka tuache sisi wajinga tusiamini
 
Jiunge na LBL uanze kufaidikahttps://lbl07.com//#/register/7835928
 
Alinishirikisha wife tangu mwaka Jana nikawa siamini, nilivoona anachapa mpunga tu na mtaji wake umerudi ameanza kupata faida x3 na Mimi nikaingia p2, badae p3. Itajulikana mbele kwa mbele. So far so good 😊
NB: You, and only you are responsible for what you decide, ingia at your own risk.
 

Attachments

  • Screenshot_20250203-101353_102311.png
    Screenshot_20250203-101353_102311.png
    245.7 KB · Views: 2
Kwa sisi tulipoteza hadi million 400 kwenye business mbalimbali kupoteza laki 540000 ni nini.
.E Kila kitu ni hatari katika maisha
 
Kuna ratiba imetolewa Leo mchana kuweka makundi ya utoaji pesa,ili kuepusha kuchelewesha muamala,nadhani pia unaleta figisu sababu Celia anajibu issue zote on line, sasa imekuja huku kulalamika kwa wasiojulikana ili iweje mkuu.Nenda Whatsapp group A101 na (802) usome details za utoaji cash.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom