GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Msisahau leo #MariaSpaces saa 2 usiku tunajadili Way Forward
Mjadala wa kitaifa njoo uchangie ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ

#MO29 #OktobaTunatoka #tanzania #FreeTunduLissu
 
View attachment 3496166
Msisahau leo #MariaSpaces saa 2 usiku tunajadili Way Forward
Mjadala wa kitaifa njoo uchangie ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ

#MO29 #OktobaTunatoka #tanzania #FreeTunduLissu
Way Forward ๐Ÿซ‚๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ“๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
#FreeTunduLissu #FreePolepoleNow #StopAbductionsTz #SamiaMustGo #OktobaTunatoka #tanzania
Join #MariaSpaces ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

๐Ÿ”—https://x.com/i/spaces/1jMJgRAdEZwGL
 
MTOA MADA NA MACHUNGUDOA WENZAKO MLIOKASHIFU WATANZANIA, EHEE MNAJISIKIAJE KWA SASA๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ..BADO MTAENDELEA KUSEMA MAANDAMANO YAMEFELI?๐Ÿคฃ.

MLITAKIWA MTAMBUE KUWA TANZANIA YA SASA SI ILE YA JANA WALA JUZI, WATU WAMEAMKA HAWADANGANYIKI TENA.

HII IWAFIKIE CHAWA&TAKATAKA WOTE WANAOPINGA JUHUDI ZA RAIA KUIKOMBOA NCHI
 
Sikuwai kujua kama ni mweupe hivi
 
Sikuwai kujua kama ni mweupe hivi
Ana ujuaji wa kijinga. Anaijiita taikuni wa fasihi. Hapo ukimuuliza kwa nini usingesubiri hata saa 4 ndio uandike, atakosa jibu.
Aliwahi kuweka thread akisema ameoteshwa na watibeli wenzie akaaminisha watu lissu ataachiwa kabla ya tarehe 7 September, asipoachiwa hiyo siku kutatokea jambo kubwa. Baada ya siku kupita akapotea humu jukwaani, aliporudi akauchuna
Hili lenyewe katoa boko lingine, hutamuona tena hadi zipite siku nyingi
 
Kuna watu walikuwa wanasema maandamano hayatakuwepo, acha niwatag ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Lucas Mwashambwa huyu jamaa ni chawa mkubwa wa Samia humu JF, Samia aking'olewa madarakani sijui ataweka wapi sura yake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Stuxnet fundi wa matusi huyu. Sasahivi haamini macho yake

ChoiceVariable kijana wa Mbeya halafu ana support CCM wakati CCM imeisahau Mbeya na kuinyima maendeleo muda mrefu. Thank God watu wa Mbeya ni intelligent wameandamana na kupinga serikali katili ya Bi Chura

Robert Heriel Mtibeli Mwanzo alikuwa ana support sana maandamano baadae akaacha, akaanza kuandika thread ndefu za kukatisha tamaa maandamano na kutuletea utabiri wake uchwara eti maandamano yatafeli vibaya. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Lucha huyu dada siku za mwanzo alikuwa anapretend kuwa hana side yoyote, hayupo upande wa wananchi wala CCM. Lakini akawa anakandia sana wananchi na kuwaita nyumbu, waoga na kwamba hamna watakachofanya. Siku za mbele akazidi kujionesha kuwa ni Pro CCM, alikuwa mkali dhidi ya comments za kumpinga Samia. Haya, kiko wapi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Siku hazigandi!
 


The worst mistake is to announce results when there was no #election ๐Ÿ”ฅโš ๏ธThey'll face it rough

@SuluhuSamia โš ๏ธ be careful, the real protest will commence ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ

Kosa mbaya zaidi ni kutangaza matokeo wakati hakukuwa na #uchaguzi ๐Ÿ”ฅโš ๏ธWatakumbana na hali mbaya @SuluhuSamia โš ๏ธ kuwa makini, maandamano ya kweli yataanza.๐Ÿ’ช๐Ÿฟ

#MO29 #OktobaTunatoka ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #SamiaMustGo #tanzania #riseupTanzania @MariaSTsehai #FreePolepoleNow #FreeTunduLissu โœ๐Ÿฟ
 
โ€ผ๏ธZanzibar WAKE UP!โ€ผ๏ธ
Hawa waliowaambia hamtawatoa kwa karatasi waambie Tanganyika tunamalizana na huyo Bi Kizimkazi wao waliomtuma atuuue na kutaka kutufanya koloni!
This is the time ndugu zetu Zanzibar - achaneni na wanasiasa madalali!
#MO29
 
JamiiForums 's Maxence Melo Mubyazi
@macdemelo / X account unaccessible, might be compromised


Hope He's SAFE ๐Ÿ’•
@MariaSTsehai
#MO29 #OktobaTunatoka #tanzania #FreeTunduLissu #wakeupTanzania
 
Ikulu Dar es Salaam ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Ni ya #WenyeNchiWananchi wa TANGANYIKA na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndo alikuwa Rais wa kwanza kukaa hapo
Tusiogope ni la kwetu!
Alisema โ€œIkulu ni mahala patakatifuโ€ na alituambia tuache woga! Anataka vijana jeuri!
Gen Z ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ wamekusikia Baba๐Ÿ’ช๐Ÿฝ


Kwa sasa hatuutambui UCHAFUZJ uliofanyika na Tume feki na Mama yao na tunaenda kukaa hapo Ikulu hadi tu- sort out things
@SuluhuSamia si Rais tena ameingia kwenye uchaguzi na amekodi jeshi kutoka Uganda kuua raia hadi majumbani
Hawezi kuwa kiongozi wetu! Alichofanya ni UHAINI!
Akamatwe na afunguliwe kesi!
Watanganyika
#MO29 #TutaelewanaTu
 



JOHN_JACOB_MKUNDA anaweza kuwa miongoni mwa #MAADUI wanaodhaminiwa na #diktetaM7&wana, habari za uhakika zinasema โš ๏ธโš ๏ธ Iwapo jeshi litachukua madaraka, na ni #mkunda ujue tu #diktetaM7&wana wanatawala #MO29
๐Ÿ“Œ ๐Ÿ“Œ ๐Ÿ“Œ ๐Ÿ“Œ ๐Ÿ“Œ ๐Ÿ“Œ ๐Ÿ“Œ ๐Ÿ“Œ ๐Ÿ“Œ ๐Ÿ“Œ
#JOHN_JACOB_MKUNDA might be among #ENEMIES sponsored by #dictatorM7&sons, reliable sources say โš ๏ธโš ๏ธ
Just in case the army takes over, and it's #mkunda just know #dictatorM7&sons are in control โš ๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Mkunda is believed to be from #Rwanda Kabano group ๐Ÿšฎ more vigilance about him and contacts
#MO29

๐Ÿ“Œ @MariaSTsehai ๐Ÿ“๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #MO29 #OktobaTunatoka #tanzania #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #FreePolepoleNow #struggle_for_africa #riseupTanzania #SamiaMustGo
 
On top that, who is responsible for foreign mercenaries / armies entry in #Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, who permits them, under whose order ๐Ÿšฎ
Something doesn't add up with #Tanzania security system army in general,,,, that's why people are killed in that style ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’ฏ #dictatorM7&sons will pay ๐Ÿ’”
 


#wananchi must deal with #ugandan mercenaries definitely, they came to #Tanzania illegally, and killing innocent civilians

๐Ÿ“Œ #ugandan mercenaries must be held accountable,,,, #dictatorM7&sons in particular ๐Ÿšฎ #MO29 ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ