Je, Mama yake Gigy Money ndio chanzo cha tabia alizonazo mtoto wake?

Gigy huwa ni mkweli mara nyingi

Anayoyasema sio mapya amekuwa akiyasema mara kadhaa hata mama yake anajua kuwa amekuwa sehemu ya Gigy kuwa hivyo

Ni mtoto aliyemtenga na kutokumzingatia kama dada zake fuatilia kipindi cha Zamaradi walikuwa wanahojiwa.......

Ingawa kuna wakati anaonekana kuwa sawa na mama yake ila naamini ana maumivu kwa maisha aliyopitia huko nyuma wakati wa kukua kwake....

Eniwei mtoto wa nyoka ni nyoka
 
Watu km wakina Gigy ni wakuchunga sana,wanakuja kutrend kusudi kuwatoa watu kwenye focus za mambo ya msingi...amka Mtanganyika.
Yeye apambane na mambo ya familiya yake kuyaleta uku Kwa social media ni kuwakosea Watanganyika.
 
hahahaha,kwamba anawatoa watanganyika kwenye reli kuelekea kumbukizi za MO29?
 
Watu km wakina Gigy ni wakuchunga sana,wanakuja kutrend kusudi kuwatoa watu kwenye focus za mambo ya msingi...amka Mtanganyika.
Yeye apambane na mambo ya familiya yake kuyaleta uku Kwa social media ni kuwakosea Watanganyika.
Kama n hv bc tatizo sio gigy bali n hao watu wanaotolewa kwenye mambo yao ya ming ndo wajinga, kama una akili timamu huwez kutolewa kwenye reli kupambania maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…