Je, Mama yake Gigy Money ndio chanzo cha tabia alizonazo mtoto wake?

Na ikishafikia hatua huna cha kupoteza ni mbaya sana, unaweza fanya lolote, niliona BBC wanawahoji sijui waasi huko uarabuni, wale waasi wanasema tuna watu wanaopenda kufa kama nyie mlivyo na watu wanaopenda kuishi, nikasema hii hatari.
 
Na ikishafikia hatua huna cha kupoteza ni mbaya sana, unaweza fanya lolote, niliona BBC wanawahoji sijui waasi huko uarabuni, wale waasi wanasema tuna watu wanaopenda kufa kama nyie mlivyo na watu wanaopenda kuishi, nikasema hii hatari.
Wanakuwa tayari kwa lolote
 
Jf imejaa matahira na watu wenye upungufu wa akili.Yaani badala ya kuelewa mada wao wanacatch baadhi ya maneno na kuyafanya ndio msingi wa mada.

Nchi hii inawapuuzi wengi.

#Bloody wahed,Gaddemit!!!
 
📌📌Naendelea kukazia....kama hujiwezi kiuchumi linda nyeti zako na kutuletea watoto design hii ambao wanatrauma iliyokithiri!!!

Vijana wa kiume kutia mimba hovyo,na kuzaazaa kama panya sio sifa.Hawa watoto mnaowatotolesha hawa mabinti ipo siku watawalamba makofi.Starehe zako fanya kwa tahadhari.

Mabinti acheni kuzaa hovyohovyo.Uzazi ni zaidi ya kwenda labour.Mtaendelea kuzalilishwa na watoto zenu kwasababu miaka minhi nyuma hamkutaka kutumia akili.

UZAZI WA MPANGO NI BORA ZAIDI YA KUZAA HOVYO!!!

#KATAA MIMBA ZA CHIPSI KUKU!!!
 
Gigy ana matatizo ya akili, aache kutia huruma na kumuona mama ake ndio chanzo cha yeye kupotea wakati hapo alipo bado ana nafasi ya kurekebisha mana bado yupo hai.
Ngoja amuaibishe mama yake ili iwe fundisho kwa yeyote anayechukulia mimba kama mzaha,wakati hiyo ni hatma ya maisha ya kiumbe utakachokileta duniani.
 
Kwanini ayafiche ili iweje???

Kwnini mnapenda kuficha ujinga alafu mnataka kila mtu aamini upumbavu kama huo.

Huyo mama anatakiwa aanikwe live ili iwe funzo na kwa wengine wanaovitembezacvikojoleo vyao bil huruma kwa watoto ambao watawazaa baada ya uzinzi na ukahaba.
 
KUPITIA FMILI HII UMALAYA UMETAMALAKI NA UNAENDELEA KURITHIWA KIZAZI HADI KIZAZI.

MALEZI MABOVU NA MTINDO MBAYA WA MAISHA NDIO CHIMBUKO LA HUU UJUHA!!!

📌📌📌VIJANA WAELEZWE WAZI KUZAA SIO FASHION BALI NI MPANGO TENA LAZIMA MTU AWE NA UTIMAMU WA AKILI NA MWILI PLUS UCHUMI!!!
 
Mbona una panic kwenye comment yangu kwema usalama upo?

Nimesema kwa upande wangu na ni haki yangu kusema hivyo
 
Dogo ni mwamba
 
Kwani hakuna Watoto waliokutana na malezi mabovu ya Mzazi/Wazazi na bado wakaishia kuwa Watu wa maana?

Mbona yeye kachagua njia hiyo anayoenda wakati njia iliyo bora ipo?

Kama Mama alikosea basi yeye ageuze meza awe baraka kwa Mama yake.

Hapo alipo yeye hajawahi kutoa mimba? Mkumbusheni ya kuwa imeandikwa "kila Mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe".
 
Kuna watoto wengi wa kike wana ya pitia mengi magumu kama anayo ya pitia Gigy,akili zao hazipo sawa na wana maumivu makali yani mioyo yao kama imepigwa mihuri ya chuma kilichopata moto, kovu lake kuliondoa ni kazi. Gigy analamika bi mkubwa wake anamatumizi mabaya ya hela mpaka kauza viwanja vya kwa bei ya kutupa, analamika kufanyiwa vitendo vibaya na mabawana wa bi mkubwa wake na bado anadai bi mkubwa wake anaruka na kubadilisha vijana wadogo kila siku na tokea ujana wake bi mkubwa wake ni akakitembeza na kuandilisha mabwaa. Giggy anapitia maumivu makali.Ukimsikiliza Gigy ndio wale mabinti wakishavunja ungo wanambiwa ,hapa chai tu ila vitafunio na milo mingine utajitegemea, hizi type uswahili zipo kibao.

Single parent uwe na hela usiwe nayo always inachangamoto ,wengi wao huwaga wanashindwa kujizuia na kujificha wanapokuwa na wapenzi wao wapya mbele ya watoto zao na zaidi uzae na mtu hasiye jielewa ndio output yake ni akina Gigy.

Kuna jamaa mmoja ni HB mademu wengi wanamshobokea mpaka sasa na uzee wake, akaja kuzaa na binti mmoja mrembo anakaa kwa bibi yake,ila jamaa kila siku anabadilisha wanawake na anawatambulisha kwa mwanae.Mwanae alivyo vunja ungo, watu wakaanza kuruka nae yaani karithi tabia ya mzee wake,katembea mpaka na marafiki wa baba yake.Kuna siku alimfuma analiwa mate akambonda ila ndio hivyo,dogo sasa hivi oya oya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…